Kucheza rafu za Katiba ni utamaduni wa CCM. Kufanya mambo kwa mazoea ni utaratibu wa CCM
Kukiuka kanuni na tamaduni ni taratibu za CCM.
Taratibu hizo ndizo zinawzwezesha kutuchezea Raia Rafu za Kikatiba
Kilichobadilika baada ya JPM kufariki ni uwepo wa pande mbili ambazo ilibidi zichezeane...
Huyu Mabeyo siyo tu kwamba ni Jenerali wa Jeshi vitani lakini ni Jenerali aliyevusha Taifa wakati mgumu.
Naamini version yake kwasababu
1. Ana uthubutu wa kutueleza habari ambazo angeweza kukaa nazo moyoni. Mwenyekiti wa baraza la usalama hawajibiki kwetu.
2. Hii si mara ya kwanza, kuna siku...
Jenerali Mabeyo amepita katika mtihani mgumu, yaani anastahili heshima zetu
Mabeyo anatahadharisha matatizo katika mifumo na ikiwa watatokea 'wahuni' na walikuwepo nchi itakuwa katika matatizo.
Ni kwavile tu walioendesha mahojiano hawakuwa na weledi, Jenerali alikuwa tayari kufunguka sana...
Ni Gen Mabeyo kaamua kusema tu kilichojiri vinginevyo tusingekuwa na hiyo experience
Tunahitaji kuwa na record na haya mambo yaongozwe si kutumia busara.
Yes kwasababu Rais alikuwa mgonjwa Hospiali tena mahututi.
Makamu wa Rais alitakiwa awe karibu ili kuchukua majukumu ingalitokea...
Tuliongozwa na 'Busara' za Jenerali Mabeyo, kungeweza kutokea matatizo makubwa sana.
AG (Mwanasheria Mkuu) alitakiwa asimame kutafsiri na kuelekeza Katiba inatamka nini na kama haitamki kisheria kipi kinafanyika.
Makamu wa Rais alipaswa kuapishwa usiku saa 6 na si kusubiri siku 3 au kujiuliza...
Yes ilikuwa interview nzuri sana kwa bahati mbaya sana walioendesha interview hawakuwa na weledi.
Laiti wangalikuwa nao tungejua mambo mengi sana
1. Wakati hali ya Mh Rais ikiwa mbaya kwanini Makamu wa Rais na Waziri mkuu hawakuitwa warudi Dar ?
Kwanini Makamu wa Rais na Waziri mkuu hawakuwepo...
Ni kweli.
Na kama tunataka wazawa , basi mzawa aonyeshe amefanya kitu gani. Hatutaki watu wa kubahatisha
Mh C.Kimei (Mb) ni mfano wa 'achievement' . Aliichukua CRDB Bank ikiitwa Bank ya Wakulima, leo ni moja ya Bank kubwa ukanda huu na inazidi kufanya vizuri. Huyu ukimchukua kama CEO wa...
Watanzania wenzetu si ndio wameua UDA?
Watanzania wenzetu si ndio wanaongoza UDART na inaelekea kufa?
Mbona Bandari tumeita wawekezaji! jibu ni kwamba hatuwezi kama ambavyo hatuwezi UDART
UDART ni soko kubwa lenye utayari! pita vituoni uone jinsi watu wanavyogombea usafiri.
Kinachohitajika...
Nimepitia maoni ya wadau na kubaini kuna kitu watu hawaelewi.
Waafrika na hasa Watanzania hatuwezi 'management' ya shughuli hizi
Viwanda vyote vilikufa si kwasababu nyingine bali hatuwezi kujitawala na hata kuongoza taasisi.
Tanganyika packers ilisambaza nyama nje ya nchi. Je , ilikufa...
TAASISI ZINA MBADALA, IPI YA TANZANIA NA IPI YA ZANZIBAR?
Tumeeleza huko nyuma kwamba hakuna! hakuna taasisi yoyote ya ''Tanzania'' isiyo na mbadala nchini Zanzibar
Huo ndio msingi wa kusema taasisi za Tanzania ni za Tanganyika au kwa wanaoona aibu huita Tanzania Bara
Pamoja na kufichwa kwa...
Sikiliza, marehemu Jambazi alitoa kauli na ilitekelezwa kwa vitendo.
Jambazi alikuwa mkweli katika kutenda uharamia
Kule Korogwe Mkurugenzi alikimbia Ofisi kutimiza kauli ya marehemu ' ... umtangaze mpinzani''
Idadi ya watu walioenguliwa ilikithiri chaguzi yoyote. Mzee Warioba, AG , VP na PM...
Unachanganya vitu viwili, kushinda uchaguzi na kutenda haki.
Hakuna anyedai Wapinzani wangeshinda au kushindwa. Kinachozungumziwa ni haki kutokuwepo, uchaguzi ulivurugwa chini ya uangalizi wa Marehemu Jambazi
Mkuu wa Polis Hai alimwambia mgombea '' Wewe hutashinda hata ukifanya nini wakati...
Najinukuu '' Ni kweli lakini kuna udokozi na Ujambazi. Mwaka 2020 ulikuwa ujambazi''
Hili linajibu hoja ya Mzee Mwanakijiji ya kumbebesha madhambi. Hapana! anabeba madhambi yake
Dhambi yake ni Ujambazi. Nia ya Jambazi ni uovu na dhambi.
Ukifanikiwa kuruka dirisha haina maana jambazi ni zuri...
J.K.Nyerere ana sifa; Utamtupia vinyesi, samadi na majitaka. Kitu usichoweza kuondoa kwake ni harufu ya mema yake
J.P. Magufuli anasifa hizi; Utamsafisha kwa jiki na msasa na kumvalisha darzi lilofumwa na hariri na kupuliziwa utuli mkali. Kitu usichoweza kuondoa kwake ni harufu ya uvundo wa...
Naam! ni kupitia uhalifu wake ninathubutu kutambua madaraja ya uhalifu ; Wadokozi, vibaka na Majambazi
JPM ni daraja la juu la Ujambazi kama alivyothibitisha 2020. Ni Jambazi tu ndani ya suti. Ni jambazi tu
Nadhani hukunisoma vizuri au umesoma hukuzingatia alama . Nilisema hivi Biden anajaribu kuleta '' SULUHU''
Neno suluhu lina alama '' '' hiyo inaeleza kifungu kizima
Hata hivyo kwa minajili ya mjadala, jibu ni kwamba Biden hana utetezi wowote kwa Wapalestina.
Tunachokiona ni kutafuta kura...
Hakuna aliye na ufahamu wa Management kweli! miaka 60.
Ndoa inafungwa na DC, Sheikh au Padri halafu Rais wa watu milioni 60 anakaa kusikiliza wanandoa wakigombania nyumba! Wanandoa wakigombani nani akae na watoto
Kuna Afisa Ardhi Wilaya, Mkoa, makao makuu , manaibu mawaziri, Waziri , Naibu...
Hakuna mahali nimezungumzia upuuzi wa dini! Yes ni upuuzi kwasababu dini zimewapumbaza
Nilichokueleza ni kwamba hakuna vita ya Hamas na Israel, kuna Vita ya Hamas vs Marekani, UK na France
Hayo si maneno yangu ni kauli zao. Nikakueleza katika 'war room' Majenerali waliopo ni wa Marekani
Tena...
Taratibu za Admin zinasema issue inaposhindikana hatua moja ina kuwa 'escalated' .
Kwa maana tayari hayo matatizo unayosema yangemfikia kupitia wasaidizi wake
Tatizo la Tanzania si matatizo ya mtu mmoja mmoja kama kuporwa kiwanja.
Ni matatizo ya kimfumo yanayokwamisha hatua za utatuzi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.