Na Bikira
Ukiwa mkulima, sharti uifukie mbegu ardhini, ikae huko bila kuiona kwa muda fulani mpaka itakapochipuka, ikaota na kuzaa matunda. Ukiwa mfanyabiashara sharti ni hilohilo. Lazima uwekeze, yaani ukubali kuweka pesa yako mahala usiione kwa muda mpaka itakapoanza kuingiza pesa na kuzaa...
Na Bikira konk
1. Miaka mingi iliyopita nilialikwa kwenye "listening party" ya wimbo na video ya "My Favorite Artist Wangu Of All Times Lady Jay Dee. "Listening party au watch party" ni "closed event" ambayo watu wachache wanaalikwa kusikiliza wimbo au kuona video inayotarajia kutoka kabla...
Mimi na desktop yangu aina ya HP sasa nikiiwasha ile CPU feni zinafanya kazi lakini machine taa zake haziwaki na pia haipelek signal kwenye monitor kwa iyo tatizo nini hapo mkuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.