Search results

  1. Omuchimati

    Wapinzani mnavuna mlichokipanda

    Assalam aleykhum wana JF, Nimekaa na kutafakari nimetamani kunyamaza lakini nimeshindwa kujizuia kwa yale yanayotokea na kuendelea kwa jamii yangu pendwa ya Tanzania , nikiwa mtanzania halisi nilielelewa katika maandili ya kitanzania na...
  2. Omuchimati

    Bunge limeisha wabunge rudini majimboni mwenu mfanye maendeleo

    Leo waziri Mkuu wa jamhuri ya muungano amehitimisha bunge la Jamhuri ya muungano kwa hotuba yake iliogusa Nyanja zote za kimaisha, kisiasa, kijamiii na kiuchumi, hiki huwa ni kipindi kitamu sana kwa wabunge wote wa Jamhuri ya muungano...
  3. Omuchimati

    NIMEMUONA COMRADE KINANA

    Nimemuona Comrade Kinana kwenye mkutano mkuu wa RPF wa kumpitisha mgombea wao wa URAIS,ambaye ni Mhe Paulo Kagame....amepita kwa kura nyingi tena kupeperusha bendera ya chama chake katika kugombea nafasi ya Kuiongoza Rwanda tena. Hongera Comrade Kinana umetoa hotuba nzuri sana iliojaa...
  4. Omuchimati

    LOWASSA USIENDELEE KUWA MUONGO ACHA KABISA MZEE

    Juzi baada ya Rais wangu mpendwa John Joseph Pombe Magufuli, kupokea ripoti ya pili inayohusu usafirishwaji wa mchanga wa dhahabu aliibuka waziri mkuuu aliestaafu kwa manufaa ya umma Edward Lowassa, na kusema kuwa anayosimamia Mhe Rais...
  5. Omuchimati

    Rais Magufuli, unapoendelea kutengeneza mfumo usivisahau vyombo vya dola

    Salamu nyingi zikufikie Rais wangu mpendwa John Joseph Pombe Magufuli, nakupongeza sana kwa namna unavyoendesha mapambano ya kiuchumi na ya kimfumo vilevile, ni miaka mingi ilipita katika bara la Africa kumpata Rais mwenye hulka na tabia kama yako...
  6. Omuchimati

    Lowassa sema ukweli

    Lowassa sema ukweli,ukweli utakuweka huru,ila usiposema kweli na kutenda kweli utashindwa kuwa huru mzee,waambie ndugu zangu wa Chadema kwamba hukwenda kwa ajili ya chama chao,ulienda kutafuta kichaka cha kujificha ukitegemea swala apite kando yake umle(URAIS) na ndio hoja umesimama nayo mpaka...
  7. Omuchimati

    International Ambassador, Primary and Secondary School

    Salam wana Jamvi,shule hyo ipo Tabata Segerea,kama mwanao anasoma shule hii muamishe haraka iwezekanavyo,ni shule ambayo awali ilikuwa ina uelekeo mzuri lkn kwa sasa inaonyesha kupoteza uelekeo,hakuna huduma kama ilivyo jina lake,ni takribani miezi sita sasa watoto wanaosoma shule ya msingi...
  8. Omuchimati

    Mhe. Rais Magufuli ziba masikio usisikilize upuuzi,sikiliza wimbo wa maendeleo tu

    Mhe mpendwa rais wangu nakuja tena baada ya kunyamaza kimya kwa mda, nilikuwa nahangaika kidogo na mambo ya dunia na kuweka sawa mambo ya kifamilia ya hapa na pale, wakati nahanagaika nilisikia mbiu , mbiu amabayo ujumbe wake siukuelewa vizuri , mbiu ambayo ilinistua...
  9. Omuchimati

    Your body is not you

    Your body is not you. It is a mechanism and organism of nature that you live in, to learn and master. Much like you sit in a car and operate it, your consciousness sits in and out of your body. You are here to gain control of this animal. By persisting in this struggle, you train and...
  10. Omuchimati

    Rais wangu una kazi kubwa sana ya kutengeneza mfumo

    Rais wangu mpendwa naandika huu ujumbe mfupi lakini wenye maana sana kama ukiutilia maanani,nakupongeza kwa kazi kubwa unayoifanya ya kutumbua majipu na kurudisha nidhamu kwa serikali na kwa raia wa Tanzania. Kama we mwenyewe unavyokiri ni kazi ngumu na haukutegemea utakutana na ugumu huo...
  11. Omuchimati

    Asante Rais Magufuli kwa kuua vyama vya siasa na CCM ya Lowassa

    Nakupa tena pongezi mkuu wa kaya JPM,kwa spidi hiii unayoenda nayo, vyama vya siasa na siasa sasa inakufa ndani ya nchi yetu, pamoja na ccm aliotengeneza Lowassa nayo inakufa , hizi ni zama z a HAPA KAZI TU.
  12. Omuchimati

    Huwezi kujua mbivu kama hujawahi kula mbichi

    Nampa heko rafiki yangu mpendwa Rais wangu John Pombe Magufuli anavyochukua hatua kila kukicha kupamabana na uovu uliokithiri ndani ya Taifa lillosifika kuwa la wapenda amani, lakini ilibaki kidogo tu amani hiyo kupotea kutokana...
  13. Omuchimati

    Watanzania tukubali kubadilika

    Namshukuru Mungu kwanza kabisa kwa kunipa uhai na kuniwezesha kupumua hadi leo hii ni wengi nimeshawapoteza ndugu jamaa na marafiki, achilia mbali walioko mahospitalini na jela, hakika ni vyema kumshukuru MUNGU. Sitaki kwenda nje ya mada hapo juu,watanzani wakati tunamtafuta Rais wa...
  14. Omuchimati

    Muacheni Magufuli afanye kazi

    Salamu kwa Watanzania wote natumaini hamjambo na manaendelea na majukumu ya kujenga taifa lenu pasipo kuwa na shaka na mnafanya hivyo kwa moyo mmoja pasipo manung'uniko,kama ndivyo ni vyema na ni vizuri kumshukuru mwenyezi MUNGU anayetupa uhai na pumzi tunaendelea...
  15. Omuchimati

    Lowassa amefeli kujipambanua anapenda madaraka(Power).

    Ukiangalia mwanzo wa kabisa Mhe Edward Ngoyai Lowassa alipoibuka katika duru la kutaka kugombea Urais ndani ya ccm alikuwa na nguvu ya kujipambanua sababu alikuwa na uwezo huo,na uwezo huo aliupata ndani ya chama na serikali,aliongea kwa mbwembwe nyingi sanabu chama cha mapinduzi kilimbeba...
  16. Omuchimati

    Naomba kuuliza, kura tunapigia UKAWA au CHADEMA?

    Hivi kura tutapigia UKAWA au CHADEMA? Majibu tafadhali........
  17. Omuchimati

    Lowassa ungeingia CHADEMA mwaka 1995 ungeingia ikulu kiulaini

    MZEE MZIMA LOWASSA SHIKAMOO, Mzee mzima ukitazama miaka ishirini ya nyuma na ulivyo sasa umechunja,miaka ishirini nyuma ulikuwa unatembea kwa mbwembwe na kaunda suti zako zenye mvuto,ulikuwa mtanashati haswa huku umevaa viatu aina ya travota kama sio brown basi utakuwa umevaa black...
  18. Omuchimati

    Nyumba ya UKAWA imeshabomoka bado kidogo CHADEMA

    CHADEMA niliwaambia sasa yameatokea mlifanya kosa kumchagua Archtect mgonjwa,anatetemeka,akitembea kama roboti, hawezi geuka nyuma ghafla wa kushoto wala kulia,macho yake yamepoteza uwezo wa ku blink,akikutazama ni kama unatazamana na sanamu ya kuchora,hana kumbukumbu. Mmechagua mjenzi ambae...
  19. Omuchimati

    Kweli nyani haoni kundule

    CHADEMA ni UKAWA na Ukawa ni CHADEMA, juzi nilipoona CHADEMA wametangaza wagombea ubunge majimbo mbalimbali nilijua moto utawaka, na kweli umewaka, tumeona Sengerema watu wakifanya boxing (kupigana ngumi hadharani mithili ya wacheza sinema za kick boxing). Bunda watu wamekimbia chama kwani...
  20. Omuchimati

    Lowassa jiandae na mikikimikiki,jipime kama unaweza,kama huwezi kaa pembeni usije singizia watu kwa

    MHE LOWASSA, Salamu sana MHE,ni siku nyingi sasa sijakuandikia barua binafsi,mimi ni mtanzania mpenda amani mpenda mabadiliko ndugu Mhe,kati ya watu wanaokupenda mimi ni mmoja wapo,nilikupenda toka umaanza kuwa Waziri ndani ya Jamhuri hii ya muungano licha ya kukutwa na kashfa za...
Back
Top Bottom