Search results

  1. CHE GUEVARA-II

    Naomba msaada wa kujua gross na net salary ya mtu mwenye basic ya 2,192,540 Tshs

    Habari za jioni wadau? Naomba msaada wa kujua total overtime, gross na net salary ya mtu (KWA MWEZI), kwa mwenye basic salary ya 2,192,540 Tshs anayolipwa kwa kufanya saa 45 kwa wiki moja, i.e Mon-Fri (08:00-17:00) na Sat (08:00-13:00). Lakini akatakiwa kufanya na overtime ya kila siku kwa 12...
  2. CHE GUEVARA-II

    Naomba kujuzwa gharama ya nauli ya ndege Tanzania (Dar) - Namibia (Windhoek)

    Wadau, habari zenu? Naomba kujua aina ya ndege (flight) inayoweza kunipatia huduma ya kusafiri toka Tanzania (Dar) kwenda Namibia (Windhoek). Ni aina gani ya flight? Nauli ni kiasi gani (one way, go & return)? Wakala gani anaweza kunisaidia? Contact number ya wakala? Assuming all other...
  3. CHE GUEVARA-II

    Natafuta mkopo 2.5m tshs

    Wakuu habari zenu? Nahitaji mtu aniazime 2.5M tu. Nakurudishia 3.5M before or within 5 months (before or on 29th Feb 2020). Nisipoweza uchukue kiwanja changu chenye thamani ya zaidi ya 7.5M kutokana na vitu vilivyomo na thamani yake kwa ujumla. Nina shida nayo sana! Naomba msaada nitatue...
  4. CHE GUEVARA-II

    Nauza mashine mpya ya kufulia nguo aina ya Von

    TANGAZO LA BIASHARA: Laundry machine (VON): Ina capacity ya kufua 15kg Haina shida yoyote Ina miezi 4 tu toka inunuliwe dukani. Kimpira cha kuingizia maji tu ndicho kilikatika. Manual... Plastic (not metallic) .... haipati kutu au kuharibiwa na maji chumvi Bei ya dukani ni 550,000 -600,000...
  5. CHE GUEVARA-II

    Mashamba Kiwangwa (Bagamoyo)

    Wanajukwaa naomba kuuliza: Kiwangwa (Bagamoyo) ekari moja ya shamba wanauza bei gani? (Price range) Mazao gani yanafaa? (yanayotajwa sana) Vipi kuhusu utapeli? (Bagamoyo inasifika kwa kuuza mashamba zaidi ya mara moja na/ au maeneo yaliyopangwa na serikali kwa shughuli maalum)
  6. CHE GUEVARA-II

    Kiwanja kilichopimwa kinauzwa Visiga kwa gharama ndogo

    Wanajukwaa habari zenu? Ninauza kiwanja changu (surveyed) bado hati tu (title deed) ambayo process yake haizidi 250,000 Tshs. Atakayekinunua nitam-link na watu wa ofisi ya Ardhi Kibaha waliowasaidia wateja wangu wengine. Ninaihitaji sana na pesa (as soon as possible). Kuna shida nataka...
  7. CHE GUEVARA-II

    Rain coats

    Natafuta rain coats nzuri kwa watoto wenye umri wa miaka 3-10. Niko Dar
  8. CHE GUEVARA-II

    Nauza Incubator na Battery (AAA NS40R 12V36AH) mpya

    Incubator ya mayai 48 Nilimnunulia mtu lakini imegeuka pambo la ndani. Bei: 275,000 Tshs Battery AAA NS40R 12V36H Nilinunua mpya kwa 140,000 Tshs nikidhani inaweza kutumika katika incubator kwa sababu incubator hii pia ina option ya kutumia battery (kama back up umeme wa TANESCO...
  9. CHE GUEVARA-II

    Nauza kiwanja 960sqm - Visiga Kibaha

    Wanajukwaa habari zenu? Ninauza kiwanja changu (surveyed) bado hati tu (title deed) ambayo process yake haizidi 250,000 Tshs. Atakayekinunua nitam-link na watu wa ofisi ya Ardhi Kibaha waliowasaidia wateja wangu wengine. Ninaihitaji sana na pesa (as soon as possible). Kuna shida nataka...
  10. CHE GUEVARA-II

    NAUZA MPUNGA - TABORA

    Habari za asubuhi wadau? Natafuta wateja niwauzie gunia 175 za mpunga. Gunia 1 = debe 6 (si chini ya kilo 100) Bei kwa gunia 1: 60,000 Tshs Mpunga upo Ndala (Tabora) 0763718328
  11. CHE GUEVARA-II

    Nauza gunia 175 za mpunga (Ndala - Tabora)

    Habari za asubuhi wadau? Natafuta wateja niwauzie gunia 175 za mpunga. Mpunga upo Ndala (Tabora)
  12. CHE GUEVARA-II

    Dawa ya mimea passion

    Habari za asubuhi wadau? Ni dawa gani nzuri kwa kuzuia kudondoka kwa maua ya passion na matunda yakiwa bado machanga? Dawa za fungus (ukungu) na bacteria (wadudu) wanaoshambulia majani. Nina passion miche 10 nilipanda nyumbani kwa ajili ya watoto, inatoa vikonyo vingi sana kwa ajili ya maua/...
  13. CHE GUEVARA-II

    Water proof floor/wall

    Wadau, habari zenu? Wapi kwa hapa Tanzania naweza kupata materials + wataalamu wa kunitengenezea floor na ukuta wa bafu langu la mbao isipenyeze maji katika mbao?
  14. CHE GUEVARA-II

    NATAFUTA MASHAMBA YA MPUNGA

    Wadau, habari zenu? Naomba msaada wenu. Ni wapi naweza kupata maeneo ya kukodi mashamba ya mpunga wanapolima kwa umwagiliaji? Nataka nipate sehemu ili niwe nalima mara mbili kwa mwaka. Au ni wapi ninaweza kupata mashamba ya kununua wanapopata sana mpunga? Na gharama zake zikoje?
  15. CHE GUEVARA-II

    MSAADA: Ramani ya mipango miji (Tabora)

    Habari zenu wadau? Naomba msaada kwa yeyote aliyepo Tabora anayeweza kunisaidia kujua na kupata ramani ya mipango miji ya Tabora inayohusisha eneo letu lililopo ktk GPS coordinates hizi 4 57' 57" S 32 49' 12" E Kama yupo nitamuunganisha na wanaojua mipaka ya shamba letu ili akachukue...
  16. CHE GUEVARA-II

    Kilimo cha miti ya mbao - Kibondo

    Mkuu, mambo vipi? Naomba ushauri wako. Kuna eneo naweza kupata Kibondo (Kigoma), nahitaji nipande miti ya mbao. Nimeambiwa miti hii inastawi Kibondo. 1)Acrocarpus (2)Casuarina spp (3)Cedrela odorata (4)Pinus (5)Cypres (6)Acacia mangium Naomba kujua kwa ujumla ni miti ya aina gani katika hiyo...
  17. CHE GUEVARA-II

    Kilimoo cha miti ya mbao Kibondo

    Mkuu, mambo vipi? Naomba ushauri wako. Kuna eneo naweza kupata Kibondo (Kigoma), nahitaji nipande miti ya mbao. Nimeambiwa miti hii inastawi Kibondo. 1)Acrocarpus (2)Casuarina spp (3)Cedrela odorata (4)Pinus (5)Cypres (6)Acacia mangium Naomba kujua kwa ujumla ni miti ya aina gani katika hiyo...
  18. CHE GUEVARA-II

    Ardhi: Bwama - Kisarawe

    Habari za asubuhi wadau? Naomba kuuliza: Bwama - Kisarawe ina ardhi nzuri na tambarare ambayo mtu anaweza skalima mananasi? Na je huduma za jamii kama vile shule, maji, umeme, afya, usalama wa raia (polisi) zipo karibu? Vipi kuhusu barabara? Na mashamba yanauzwa bei gani huko?
  19. CHE GUEVARA-II

    Msaada: Namna ya ku-download video/ audio kwa kutumia iphone 4s

    Wadau, habari zenu? Naomba msaada wa namna ya kuiwezesha simu yangu iweze ku-download youtube videos/ audios. Natanguliza shukrani.
  20. CHE GUEVARA-II

    Natafuta Black soldier flies hapa Tanzania

    Habari zenu wadau? Naomba kujua, hapa Tanzania ni wapi kuna project ya kuzalisha black sodier fly larva kwa ajili ya chakula cha kuku au samaki? Au hao flies wanapatikana humu Tanzania, wakoje? Please. Malila na wengine okoeni jahazi!
Back
Top Bottom