Search results

  1. Lutala

    Msaada contacts za Halmashauri ya Mufindi

    Wana jamvi, naombeni msaada wa anuani na namba ya simu ya Halmashauri ya Mufindi. Asanteni sana
  2. Lutala

    Wameanza kuongea ukweli

    Kumbe hizo tuzo anakusanya Diamond ni kwa mgongo wa Davido. Ina maana hakuna hata wimbo alioimba peke yake ambao umekuwa nominated. Ngoja niachie hapa wazee wa data waanze kuzishusha kuona kama kweli anabebwa na Davido au lah. Kama huna data potezea
  3. Lutala

    Heshima kwa marehemu

    Huwa najiuliza na kuwaza sana. Hivi huu utaratibu wa kubeba marehemu kwenye pick ups (magari) kama mizogo utaisha lini? Kwani serikali haiwezi kufanya utaratibu wa kuwa na magari maalum ya kubeba marehemu? Najaribu kuwaza tu....naamini wakati umefika wa kuanza kuheshimu marehemu wetu. Nawakilisha
  4. Lutala

    Kwa heri wasomaji wangu mie nimeamua kujinyonga

    Na Nyaronyo Mwita Kicheere Mambo mengi yamefanyika nchi hii nikayapuuzia lakini hili la juzi limezidi kipimo nami siwezi kulivumilia kwa hiyo nitajinyonga tu ili kuondoa udhia. Siko tayari kuendelea kutazama upuuzi huu, ushenzi huu, upumbavu huu, uhuni huu, uhayawani huu...
  5. Lutala

    Simu original vs fake

    Wakuuu za asub. poleni na mishe mishe. Naomba kujuzwa nitajuaje kama simu ni original au fake? Nipeni maujuzi kabla sijaibiwa. Asanteni
  6. Lutala

    Kama mbwai na iwe mbwai

    Great thinkers, nimechoshwa na hizi tabia za polisi kujichukulia sheria mikononi kama hatuna mahakama. Imekuwa ni kitu cha kawaida kusikia jambazi sugu limeuawa na polisi au polisi wameua wamajambazi. Sisi raia tumebaki kushangilia. Ikumbukwe kuwa hata kuua mtu kuna taratibu zake...na hizo...
  7. Lutala

    Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya Juma Idd apoteza wadhifa wake

    Alitumia nguvu zote kumharibia Sugu,alitelekeza familia yake Ilomba Mbeya kwenye kibanda cha mbavu za mbwa. Alishindwa kusimamia miradi ya maendeleo akaamua kununua timu badala ya kusaidia miradi ya maendeleo. Aliendesha Jiji kwa majungu. HATIMAYE WAZIRI WA TAMISEMI KAMFUNGASHIA VIRAGO. HILI...
  8. Lutala

    Maadui wa waandishi wa habari

    Kwa muda mrefu baadhi ya wananchi na baadhi ya waandishi wa habari wenyewe wamekuwa wakiwatafuta maadui zao. Kutokana na hali hiyo mtandao huu wa ww.kalulunga.blogspot.com umeamua kuanika maadui watatu wa wanataaluma hao. Maadui hao ni 1. Njaa; kwasababu wengi wao hawajaajiriwa na hawana...
  9. Lutala

    Aibu ya kulindana Jiji la Mbeya, sasa ni shamba la kuchumia wenye madaraka

    * Mkandarasi aliyeboronga ujenzi wa barabara za lami mitaa ya Jiji hilo aachishwa kazi bila kuchukuliwa hatua, akabidhiwa kazi mkandarasi mwingine. * Uchafu wazidi kila kona ya Jiji, Halmashauri yakwama kutengeneza magari kwa kipuli cha Shilingi Laki moja na elfu hamsini! *Ili kuwazima...
  10. Lutala

    Jiji la Mbeya na uozo katika Uongozi

    Sunday, July 8, 2012SAKATA LA WATUMISHI WASIO NA SIFA JIJI LA MBEYA KUPANDISHWA VYEO LASABABISHA MAKUBWA SAKATA la baadhi ya watumishi wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya kupandishwa vyeo pasipokuwa na sifa, limechukua sura mpya ambapo aliyekuwa afisa utumishi wa Jiji hilo aliyejulikana kwa jina la...
  11. Lutala

    Kusimamishwa kazi kupisha uchungu

    Kwa wale wanaojua sheria za kazi. Mimi ni mtumishi katika moja ya kampuni binafsi jijini Dar. Mwezi ulopita nilimjibu vibaya bosi wangu wa kitengo (idara). Siku saba baadaye akaniandikia barua ya kutaka nitoe maelezo kwanini nilimjibu vibaya. Wakati nipokea barua hiyo yaani ndani ya masaa matatu...
  12. Lutala

    Nauza Nissan Hardbody

    Sold to a serious buyer
  13. Lutala

    Kilichotokea Igunga kinasikitisha

    Kwa kweli huu sasa ni uchokozi. Mie simo
  14. Lutala

    Mwaka wa Tabu kwa Yanga

  15. Lutala

    Heaven for ladies

    When a woman dies,God asks the angels,'Was she married?'If the answer is 'Yes', he says,'Angel Micheal,take her to heaven,she has already been through hell!
  16. Lutala

    Leo nimetimiza miak 3 ya ndoa

    Wapendwa wana wa JF, napenda kuungana nanyi katika kusherehekea miaka 3 ya ndoa na miaka 11 ya mahusiano na my wife wangu. Ni jambo dhahiri kuwa kufikia hapa tumevuka milima na mabonde mengi lakini kila wakati sala imekuwa ndo nguzo yetu. mungu ameijalia ndoa yetu watoto waiwili wa kiume na...
  17. Lutala

    Mh. Sitta alikuwa baba asiye na mfano

    Kila ninapoangalia vikao vya Bunge vinavyoendelea naishia kumbuka Baba mpendwa Mh. Sitta alivyokuwa mahiri katika kuungoza mhimili muhimu wa nchi. Kwangu mimi alikuwa baba mwenye kuijua vizuri familia yake (bunge) na wakati wote alitenda bila kuangalia kuwa huyu ni mtoto wa nyumba kubwa au...
  18. Lutala

    Re: Mwakalebela amshinda Mizizi mahakamani

    Lile sakata la kesi ya rushwa iliyokuwa inamkabili Fredrick Mwakalebela mahakama ya mkoa Iringa, limehitimishwa leo baada ya Mwakalebela kumshinda tena mwanasheria wa TAKUKURU mahakamani. Kesi hiyo ilirudishwatena mahakamani baada ya Bwana Imani Mizizi (TAKUKURU) kupinga hukumu iliyotelewa...
  19. Lutala

    Huu ndo ubaya wa kuachwa na yule unayempenda

    Kwa kweli anatia huruma
  20. Lutala

    Miaka 50 ya uhuru

    Salam ndugu wanaJF, Nina tambua kuwa maandalizi ya weekend yashapamba moto kwa serious issue ni vigumu kuzijadili. Kinachonisumbua ni kuona kuwa watanzania wenzangu kukosa ule uthamini kwa taifa lao. Mwaka huu nchi yetu inatimiza miaka 50 lakini mpaka sasa sijaona jitihada za...
Back
Top Bottom