Search results

  1. P

    Nimeipenda zawaid hii ya Birthday

    kwa kifupi sijaona hata hiyo zawadi au imefichwa? manake naomna manyama tu ya akina dada sasa sijui ndo zawadi yenyewe au vip. acheni kuiga ujinga fateni tamaduni zenu.
  2. P

    Kasheshe jijini Nairobi...Continuing Updates on Investigations

    Kwani kuna haja gani ya kuogopa umeeenda kusoma au kucheza? we zingatia masomo yako mbona hapa ubalozi wa marekani mwaka ule uliungua inamaana wageni waliokuwa wanasoma Tanzania walirudi makwao? acha hizo kaka kaza msuli na shule uraiani kugumu kaka
  3. P

    Kasheshe jijini Nairobi...Continuing Updates on Investigations

    we usiogope hayo mambo ya kawaida tu cha msingi kaka zingatia masomo hayo mengine ni matokeo bwana ndio maana biblia na misahafu inasema kila kitu kitaonja umauti lakini Mungu yupo atakuepusha na yote hayo. :hungry:
Back
Top Bottom