Search results

  1. G

    Msaada wa kisheria

    habari wana jf, kuna rafiki yangu ameomba nimuulizie ili swali. 1. Yeye ameolewa kwa ndoa ya bomani mume wake ni mwiisilam, wana watoto wawili. Tangu waishi na mumewe takribani miaka mitatu, yeye ndiye anatunza familia kwanzia chakula mpaka ada za shule, watoto wako nursery. mume wake...
  2. G

    Msaada wa kisheria

    habari zenu, ninaomba msaada wa kisheria * kwa mfano umeolewa ukamkuta mwanamume na nyumba aliyoridhi kwa mzazi wake . kama kiwanja ni kikubwa ukijenga nyumba nyingine ni kosa? . Je utakuwa na haki huko baadaye asante sana
Back
Top Bottom