Search results

  1. wiseboy.

    DOKEZO No money, no job at Bulyanhulu Gold Mine

    Corruption is not a bizarre thing in the cursed African community, when you talk of it and happens to wonder of its existence, some members who don't abhor it but merely adore it will treat you like a stray nut. Well, Bulyanhulu Gold Mine, a company owned by Barrick, the world's giant Gold...
  2. wiseboy.

    Usalama wa nchi hautangazwi kwenye TV wala Magazeti

    Mods nawaomba sana pls huu Uzi muuache ujitegemee wenyewe kwa Sababu una maudhui tofauti. Waziri Lugola ameita media na kuonya mtu yeyote asije kujaribu kuwaonyesha wawekezaji wala kuwatisha kuwa "eti Tanzania hakuna amani". Kauli ya Lugola imejaa kichekesho kweli,amani ya Taifa lolote hujiuza...
  3. wiseboy.

    Israel itayakalia mataifa ya kiarabu hivi karibuni

    Najua anti Israel hamtaki kusikia hii taarifa,kwenu ni ukakasi na kichekesho. Niseme tu kwamba kati ya watu wasiojitambua hapa Duniani ,waarabu hawajitambui kabisa,japokuwa Iran ni waajemi lakini wana damu ya kiarabu kwa 45%. Israel ikijua kabisa kuwa ina maadui wengi na imezungukwa na maadui...
  4. wiseboy.

    Israel inataka kupigana vita na Russia, Russia inaogopa

    Russia ni taifa kubwa hapa Duniani, ina jeshi imara na silaha Kali,kiuchumi Russia haiko vizuri sana,tofauti na Marekani yenye uchumi bora na jeshi zuri. China imekuja juu sana kiuchumi, imejitahidi sana kuwa na jeshi kubwa na lenye vifaa vya kisasa,tatizo la China ni uzoefu mdogo ktk uwanja wa...
  5. wiseboy.

    Ajira ya vijana wa Tanzania ni Kamari...

    Viongozi wa serikali wakisoma heading hii ni lazima washikwe hasira,kwao ni uongo na uchochezi,hata kwenye ukweli usiojificha wao huwa ni uchochezi tu. Idadi kubwa ya vijana wa Tanzania hawana ajira,hata wanaomaliza vyuo kupata ajira imekuwa ni sawa na kupata dhahabu. Vijana wafanyeje? Hawawezi...
  6. wiseboy.

    Kwenye kutangaza matokeo ya uchaguzi huwa hakuna giza

    Matokeo ya uchaguzi hutangazwa hata saa 9 usiku,bila kuahirisha zoezi eti kwa Sababu ya Giza. Binadamu wamezama eti zoezi la kuwaokoa likaahirishwa kwa Sababu ya Giza,akili za kikatili hivi halafu eti mnataka kufanikiwa? Mtasubiri sana.
  7. wiseboy.

    Rais Magufuli acha kuihadaa Dunia.

    Sidhani kama ushauri wangu kwako itakuwa ni kukukosea heshima,kwenye ukweli tuseme tu ukweli bila kupepesa macho. Mh Rais umekuwa ukiihadaa Dunia kwamba chama chako CCM pamoja na wewe binafsi mnapendwa mno na watanzania jambo ambalo si kweli hata kidogo. Ulipoingia madarakani ulipiga marufuku...
  8. wiseboy.

    Marais wa Africa na sifa za kishamba

    Idd Amin aliongoza kwa kupenda sifa, alitaka aitwe,profesa, Dr,Alhaji,na n.k,Nyerere alikuwa kiongozi pekee mwenye hekima kubwa,pamoja na Elimu yake hakupenda kuitwa Dr zaidi ya Mwalimu. Elimu ya Obama ni kubwa mno,(Obama ni profesa) lakini huwezi kusikia kaitwa Dr. Mtu akiwa Rais, anakuwa...
  9. wiseboy.

    Wapinzani kuhamia CCM hadi sasa hivi viwanda vingapi wamejenga?

    Nataka mtuambie nyie watu,hao wapinzani wanaohamia huko CCM hadi sasa hivi wamejenga viwanda vingapi? Kauli mbiu ya awamu ya tano ni kuwa na Tanzania ya viwanda, sasa badala ya ujenzi wa viwanda kuna mlipuko wa wapinzani kuhamia CCM kwa kile kinachoitwa kuunga mkono kazi nzuri inayofanywa na...
  10. wiseboy.

    Mkimaliza kuwanunua nini kitafuata?

    Labda niwakumbushe tu historia rahisi Sana ambayo mlipaswa kuitafakari kabla ya kujitia ujuha. 1.Hayati Dr Waridi Kabur alikuwa kiongozi mwenye nguvu kubwa mno CHADEMA, mkamshawishi akajitoa CHADEMA na kujiunga CCM Sina kumbukumbu sahihi endapo alirejea nyumbani CCM au ndo alianza rasmi kuwa...
  11. wiseboy.

    Tukio lililoisisimua Dunia....

    Mwaka 1918 ktk ulimwengu wa kisiasa nchini Marekani kulitokea Tukio la kusisimua ambalo limeacha maswali mengi mno Duniani yasiyojibiwa. Mtu mmoja mweusi aliamua kugombea Ugavana wa Jimbo la Tennessee, kipindi kile kulikuwa na ubaguzi wa rangi uliotukuka, yaani mtu mweusi alionekana Kama nyani...
  12. wiseboy.

    Eric Shigongo, umemwona kaka yako?

    Kati ya waandishi waliowahi kutumia kalamu zao vibaya, wewe unaongoza. Na hakika historia itakuhukumu vibaya sana. Kwanza umekuwa ukiingilia faragha za watu ili utengeneze pesa, ingekuwa kwenye mataifa yanayojitambua ujinga huo usingejaribu. Ulitumia muda mwingi wakati wa kampeni kuhamasisha...
  13. wiseboy.

    Naomba kuuliza, Hivi kuna Tanzania ya CCM na Tanzania ya UKAWA?

    Nyie mnaoshinda mmeachamiana ndo mnijibu, kuna wengine wanasema tutakufa kwa wivu baada ya Dreamliner kutua kutoka USA na wengine wanasema wingi wa hayo madege ni disaster kwetu . Inaonekana Kama kuna mataifa mawili ndani ya nchi moja, wakosoaji wakionekana Kama maadui wakubwa na hatari Sana na...
  14. wiseboy.

    Urais ni taasisi, Magufuli anatapeliwa

    Hili jambo ni zito na linahitaji hekima sana kulijua, wengi wetu tumejikuta tunamchukia Sana Rais Magufuli kwa sababu ya mwenendo wa hali ya kisiasa na kiuchumi ndani ya taifa letu. Nimekaa chini na kutafakari kwa kina sana baada ya kuwa nimemjadili kwa kina Rais Magufuli (mjadala wangu...
  15. wiseboy.

    JF members wenye kingereza kizuri

    Ifuatayo ni idadi ya wana JamiiForums wenye English nzuri na karibia wote hakuna hata mmoja ambaye ni made in Lumumba. 1.Rutashubanyuma 2.Kiranga 3.Nyani ngabu 4.My Son drink water 5.Mshana Jr Hiyo list wana uwezo hata wa kuhutubia bunge la Congress bila kusoma popote,na wewe unaweza kuongezea...
  16. wiseboy.

    Magufuli unaitakia nini Tanzania?

    Urais tumekupa sisi,kifupi wewe siyo bosi wetu, sisi ndio mabosi wako, kwa sababu serikali si ya kwako bali ni mali ya watanzania wote mil 50. Lakini imefikia hatua sasa sisi hatuna sauti, tukikukosoa tunaonekana wasaliti wa taifa, kila jambo tusifie tu hata kama nchi inapotea. Sasa hivi kuna...
  17. wiseboy.

    Hivi ni lazima kuipenda CCM?

    Wahanga wa misukosuko wa serikali za CCM zilizopita na iliyopo ni wengi,hakuna jipya kwa serikali ya rais Magufuli,anachofanya ni kupita njia hiyo hiyo waliopitia watangulizi wake japokuwa kila mmoja kwa staili yake. Jenerali Ulimwengu alijikuta akiishi ndani ya taifa alilozaliwa na kukulia...
  18. wiseboy.

    Heshima ya nchi ni viwanda vya ndege na si kununua ndege

    Naomba tujadili kwa hekima,tutoe ushabiki wa vyama tuzungumzie uhalisia. Inasikitisha sana Rais wa nchi kupokea ndege ambayo imetengenezwa nchi nyingine ,kiprotokoli ilitakiwa ndege ipokelewe na mkuu wa mkoa au waziri husika,rais ni mtu mkubwa mno,chini yake kuna makamu wa rais,kuna waziri...
  19. wiseboy.

    Siku Idd Amin alipomkamata "inflation"

    Kwa sisi wazee wa zamani yaani vijana wa miaka ya 1978 ambao bado hadi sasa hivi tupo hai nashukuru alhamdulilahi Bakwata. Tuliona jinsi Idd Amin alivyoingia madarakani kwa mapinduzi na kushangiliwa kama mkombozi wa waganda,baadae alianza kuboronga ile mbaya,viongozi wa dini na wanaharakati...
  20. wiseboy.

    Joyce Kiria umezeeka ni vyema ukajiheshimu

    Unapokuwa unapayukapayuka eti kuna wanaume wanakufuatilia, wakufuatilie kwa lipi kama siyo kukuchora tu? Wewe umri huo sana sana utafuatwa na wazee na vijana wasiojiheshimu walioharibikiwa na maisha na au hawajielewi kabisa. Kama umeshindwa kuiheshimu ndoa yako usijidhalilishe hivyo mitandaoni...
Back
Top Bottom