Search results

  1. Uncle Rukus

    EasyTV No signal kulikoni?

    Habari zenu wakuu? Mimi natumia king'amuzi cha Easytv Leo asubuhi nilikuwa najiandaa kuangalia bunge la katiba, ghafla tu na shangaa signal imepotea hadi mda huu ijarudi, channel nazopata ni za startimes tu ambazo ni za kuchakachua. Je ilitatizo ni kwangu tu au ni kwa watumiaji wote wa...
  2. Uncle Rukus

    Matumizi ya modem 2 kwa wakati mmoja!

    Habari wa kuu? nilikuwa nauliza kama kuna uwezekano wa ku-connect modem mbili za huawei @ the same time? najua hii kitu inawezekana kwa ZTE na Huawei ... Hii ya 2 huawei modems nimejaribu imeshindikana kutokana na kuingiliana kwa driver.... Ningependa kujua toka kwa wengine kama upo uwezekano...
  3. Uncle Rukus

    Sharefest Njia mbadala ya ku-share ma-file

    Wakuu teknolojia inazidi kushika kasi, wengi wetu tumezoea kushare mafile kwa njia ya ku-uploud kwenye mitandao mbali mbali kama Mediafire 4shared kushare kwa njia hii inakulazima kutumia mda mwingi hasa kama mtandao wako uko slow na kutegemeana na ukubwa wa file lenyewe. pia tumezoea...
  4. Uncle Rukus

    Tamthilia ya A woman Of Steel English Version

    Habari wakuu, Mimi ni mfuatiliaji wa tamthilia ya A woman of Steel (Soy tu Duena), Kutokana na mambo ya digital nimekwama kuweza kuifuatilia. Hivyo naomba mwenye kujua namna ya kuipata online in English version nitashukuru sana
  5. Uncle Rukus

    Kuishiwa nguvu za iganja vya mikono

    Habari wana JF Kheri ya mwaka mpya Siku za hivi karibuni nimekubwa na hali ambayo sijaweza kuielewa kama ni ugonjwa au la, ni kwamba kila niamkapo asubuhi au mda wowote kama nilikuwa nimelala, na kuwa siwezi kushika kitu chochote kwa dakika kama 5 hivi,viganja vya mikono vinakuwa havina nguvu...
  6. Uncle Rukus

    sera ya serikali ya CCM ni kushinda 2015

    Ndugu Watanzania mimi nilisikitishwa sana na Kauli za Waziri Mkuu Mizengo Kayanza Peter Pinda kuwa Sera ya Serekali ya CCM ni kupita katika majimbo ya Wapinzani na hata majimbo yao kuhakikisha wanashinda katika uchaguzi Mwaka 2015. Kauli hii inamaanisha kwamba: *-Sera ya...
  7. Uncle Rukus

    sheria ya polisi kutomshikilia raia zaidi ya 24 hrs

    Wakuu nigependa kupewa ufafanuzi kuhusu hii sheria ya polisi kutotakiwa kumshikilia raia kutuo zaidi ya masaa 24
  8. Uncle Rukus

    how to dial *104# on blackberry

    Habari wakuu nina blackberry 9630, 9650 na 8830WE toka kampuni ya Verizon zinanipa taabu sana kuweka salio na kuangalia salio, haziku bali kwa kupiga *104* au *102# zina kuwa kama vile unapiga namba ya simu kwa njia ya kawaida hivyo nalazimika kuweka salio kwa njia ya sauti, Hivi...
  9. Uncle Rukus

    Mobile internet costs in Tanzania

    IntroductionThe cost of internet has been dropping dramatically in East Africa, since even before the advent of the undersea fibre-optic cables which came in 2011. There are now a lot of options for visitors and residents; this article focusses on the costs of access for mobile access via the...
  10. Uncle Rukus

    Internet ya tiGO Kimeo

    Mimi ni mtumiaji mzuri wa huduma za tigo hasa huduma ya internet , nimekuwa mtumiaji wa package ya standard month tsh 40,000/- (kabla hawajabadilsha bei )kwa takribani miezi 8 hivi hadi walipo badilisha mashart na kutoa 4gb only, nikahamia max month kutokana na matumizi yangu kuwa juu nikaona...
  11. Uncle Rukus

    Pata baraka za bwana kwa jioni ya leo

    http://41.59.13.185:88/broadwave.asx?src=1&rate=0 tumia link hii (hapo juu) kusikiliza maubiri ya mwalimu Christopher Mwakasege live, kila siku kuanzia saa 4:30 jioni hadi saa moja usiku. mbarikiwe sana wapendwa!
  12. Uncle Rukus

    Elections 2010 Live CHADEMA Igunga kupitia sibuka tv..

    Kwa wale wenye king'amuzi tizameni Sibuka TV Wanaonyesha mkutano wa chadema live
  13. Uncle Rukus

    Wilfred Rwakatare augua ghafla

    TAARIFA ambazo zimethibitishwa na katibu wa CDM mkoa wa Mwanza Willson Mshumbusi ni kuwa Mkurugenzi wa taifa wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasi na Maendeleo (Chadema) Wilfred Rwakatare amelazwa hosipitali ya rufaa ya Bugado wadi namba J-2 chumba namba J217, baada ya kuzidiwa akiwa...
  14. Uncle Rukus

    Fiesta 2011

    Hizi kucha za huyu dada zimeniacha hoi!
  15. Uncle Rukus

    Salamu za Mshikamano kwa Mdahalo wa Katiba

    "Nikiwa bungeni Dodoma nimefuatilia kupitia vyombo vya habari mdahalo wa katiba ambao umefanyika Ubungo Plaza. Natoa salamu za mshikamano na pongezi kwa waandaaji, watoa mada na washiriki wa mdahalo huu wenye kuchangia katika mjadala wa katiba mpya. Kupitia kongamano hilo maoni mbalimbali...
  16. Uncle Rukus

    Dashboard ya 3broadband connecting"Hakuna haja tena ya kuchakachua modem"

    Hizi Dashboar ziko mbili tofauti, ipo ya Huawei kwa modem zote za Huawei, download dashboard For all other Huawei dongles on Windows XP, Vista and 7 Download hapa here Pia ipo ya ZTE ambayo ni maalumu kwa modem za ZTE tu. For For all other...
  17. Uncle Rukus

    Speed ya Internet ya tiGO inatisha

    Haya mliokuwa mkibisha tizameni speed nayoipata ni 2.81mbps. hapa imeshuka hadi 2.50mbps. Hapa imeshuka tena hadi 2.42mbps, ambako haishuki shini zaidi ya hapa iwe asabuhi au usiku speed inakuwa hivi hivi. Hii ni IP Adress ya tiGO .... Hapa nilikuwa napima speed nayoipata wakati na...
  18. Uncle Rukus

    Mambo ya pasaka kwenye beach zetu

  19. Uncle Rukus

    WikiLeaks:The Guantanamo Files.Ahmed Khalfan Ghailani

    Ahmed Khalfan Ghailani - The Guantanamo Files Mnaweza kupakua hilo file kwenye hiyo link hapo juu...
  20. Uncle Rukus

    Watu sita mbaroni kwa kula njama za kumuua Dk. Chegeni

    Taarifa ambazo zimethibitishwa na kamanda wa polisi mkoa Simon Sirro, zinadai jeshi hilo linawashikilia watu sita ikiwa ni pamoja na mjumbe wa kamati ya siasa wa CCM Mkoa Ellen Bogohe wakidaiwa kuhusika na kupanga njama za kumuua aliyekuwa mbunge wa Busega Dk. Raphael Chegeni. Inadaiwa...
Back
Top Bottom