Search results

  1. Uncle Rukus

    Wapi Nurueli?

    Dah! Jamaa me na mkubali sana, hapa kwenyewe nilikuwa na googled wimbo wake wa mng'aro wa silver nikakutana na thread hii. Katika wasanii wenye sauti nzuri na wanaojua kuzitumia na huyu jamaa, japo amefulia ila ukimsikiliza kwenye wimbo wa usikate tamaa ya kala Jeremiah utakubali bado yupo vizuri
  2. Uncle Rukus

    Vodacom expo tena

    Haina primking unajua nilimnunulia wife bila kuifanyia utafiti hata kidogo, ni bora ningemnunulia hata Vodafone smart4 kwani ina 3G na uwezo sawa na hii star plus sema tu kwa ubora samsung wako juu ila kwa hii simu wamechemka vibaya sana yaani
  3. Uncle Rukus

    Vodacom expo tena

    Ni kweli smartphone za vodafone zina punguzo la 55% toka tsh 220,000 hadi 100,000... Ila sio simu zote zina punguzo la 55% nyingine ni punguzo la 5% na kuendelea hadi 50% Nimemchukulia wife Samsung gallaxy star plus kwa tsh 175,000 na iko poa kabisa, sema ndio simu ya kijinga ambayo imewahi...
  4. Uncle Rukus

    Gharama za Photo Printers!

    Mfumo huo unaitwa CISS (Continuous ink system supply) ni mzuri sana na gharama yake ni nafuu, tatizo kupata hayo matank yake ndio kazi kwani bei yake iko juu ukiongezea pesa kidogo tu unanua priter nyingine.. Ila ukifanikiwa kuyapata ni mazuri na utapata faida kubwa sana kama unawateja wakutosha.
  5. Uncle Rukus

    Kutana na Selebu Mboni

    She was my GF 2 years a go. Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  6. Uncle Rukus

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Ijumaa Tarehe 11 Aprili 2014 - Uwasilishaji wa Taarifa za Kamati

    Anauwezo mkubwa kukushinda na bado unataka awe mke wako?
  7. Uncle Rukus

    Taarifa ya Serikali juu ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba yamkera Jaji Warioba! Afunguka...

    Ukitaka mambo yako yaende sawa akikisha unafuta matakwa ya wakubwa vinginevyo utaona uchungu wakuwa chini ya serikali ya CCM.
  8. Uncle Rukus

    Laptop

    Hii hapana mkuu.
  9. Uncle Rukus

    Lenovo laptop for sale

    Inashida gani hadi umefikia hatua ya kuiuza? Kama upo tayari nikupe 400,000
  10. Uncle Rukus

    Laptop

    Mkuu nikupe 45K? Kama upo tayari nikuletee kesho.
  11. Uncle Rukus

    EasyTV No signal kulikoni?

    Yaani nikiwaza nilitoa tsh 140,000 kununua huu upuuzi naumia sana kwanza chanel za maana zote siku hizi hamna ni michannel ya kihindi tu na kiarabu. hivi lambalamba kwa mwezi unalipia bei gani? Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  12. Uncle Rukus

    EasyTV No signal kulikoni?

    Habari zenu wakuu? Mimi natumia king'amuzi cha Easytv Leo asubuhi nilikuwa najiandaa kuangalia bunge la katiba, ghafla tu na shangaa signal imepotea hadi mda huu ijarudi, channel nazopata ni za startimes tu ambazo ni za kuchakachua. Je ilitatizo ni kwangu tu au ni kwa watumiaji wote wa...
  13. Uncle Rukus

    Nape: ameagiza vijana wote nchi nzima wa Green guard kutoa ulinzi kwa wapiga kura!

    Tukisema ndani ya ccm kuna jeshi lisilo rasmi mtakataa?
  14. Uncle Rukus

    Easy TV kulikoni?

    Mimi nimekwenda kwa wakala wao akaniambia kuwa amewasiliana nao wakamwambia kuwa channel hizo labda zinaweza kurudi baada ya wiki moja. Neno "labda" limenikatisha tamaa kabisa. Ilikuwa hivi hivi ilipopotea hewani Startv. Kama ukipata mda ebu pitia kwa ofisi zao utuletee majibu ya kueleweka
  15. Uncle Rukus

    Easy TV kulikoni?

    Hawa Easytv nilikua nawakubali sana. Ila nimegundua ni wababaishaji wakubwa,hawana huduma kwa wateja,simu zao hazipatikani.
  16. Uncle Rukus

    CHADEMA- maliza mgogoro kwa busara

    Jini ndio kitu gani ?
  17. Uncle Rukus

    Ting decoder packages

    Hii thread ni ya mwaka 2011, leo hii ni 2013... Startv wamejitoa Easytz kama miezi mitatu hivi imepita.
  18. Uncle Rukus

    CHADEMA- maliza mgogoro kwa busara

    Mgogoro upi huo mkuu? chadema Hamna mgogoro wowote.
  19. Uncle Rukus

    Cancer inachukua maisha yangu

    Mkuu, nimefarijika sana na ulivyo malizia comment yako, nimepata nguvu, mwanzo niliumia sana na maandishi yako ya mwanzo kwenye thread hii... Mungu wetu ni mwema sana, tuna paswa kumshukuru na kumsifu wakati wote ule, iwe kwa furaha au shida...
  20. Uncle Rukus

    AZSKY G6: Please share your experience

    Mkuu munjy1 kuja pande hii utupe maelezo ya kueleweka maana hii kitu imekua kero sasa.
Back
Top Bottom