Search results

  1. T

    The Radar Scandal: Investigation & Progress

    Naam mkuu ameondoka, things are slightly back to normal na tunaweza kuchagia Kipi kilikuwa bora: Kujibu maswali mawili matatu ya wabongo na hivyo kuharibu miadi uliokwishaipanga well in advance ambayo imepelekea kupatikana kwa msaada wa Paundi milioni 105? Nadhani watu waliowengi...
  2. T

    Latest: Asha-Rose Migiro the new UN Deputy General Secretary

    Jafar na Philemon Mikael hampo sahihi kabisa. Abdul Kadir Sharif na Kikwete mwenye uzoefu zaidi kiserikali alikuwa ni JK alietumikia serikali tangu enzi za mwalimu, Sharifu aliondoka tanzania almost 30 yrs before na alipewa lifeline na Mzee Mwinyi, kwa kuteuliwa kuwa Balozi kwanza Saudi...
  3. T

    Latest: Asha-Rose Migiro the new UN Deputy General Secretary

    Kabla sijakupa data [naendelea kuzitafiti on top ya nilizonazo] niambie hao 'wanyambo' unaowaita ni raia wa nchi gani kama sio watanzania, nahisi unazungumzia wahaya hawa sio watanzania?! Unajua namna Tanzania ilivyonufaika na Mama Tibaijuka? Kama hujui kaa kimya au uliza sio kurukia, huyu ni...
  4. T

    Latest: Asha-Rose Migiro the new UN Deputy General Secretary

    Hii itatusaidia sana katika kuitangaza Tanzania. Fikiria kila atakaedeal na DR Migiro atakuwa anajua tanzania ipo wapi as a courtesy, tumeshatoa wanawake vichwa na wametusaidia katika medani ya kimataifa kama vile MAMA TIBAIJUKA, MAMA MONGELLA NA Sasa Mama Migiro. Kuna mmoja kahoji ina maana...
  5. T

    Mbowe vs Chifupa + CHADEMA vs Family Business

    Mwanasiasa nakujua ulipo na najua hasa kazi yako, in my line of job it is very easy kukujua. Nakutumia PM kukusalimu kwa jina lako halisi..... anyway let us not personalise this, niliposema mtu wa kaskazini kakerwa sikumean wewe nilimean Administrator anajijjua anatokea wapi! soma vizuri, ni...
  6. T

    Mbowe vs Chifupa + CHADEMA vs Family Business

    Nilishagive up on this topic kwa vile I am angered by Admin kwa kukoroga mambo mambo, we were fine all along lakini akaona afanyizie....nimetumiwa PM kumbe Admin na wewe ni wa kaskazini?!! pole najua unaumia tukiiisema hii familly business.... Mwanasiasa, I acknowlefdge to have read your...
  7. T

    Mbowe vs Chifupa + CHADEMA vs Family Business

    admin umeanza kukoroga mambo, topic unataka kuidilute ilikuwa ina analysis za mtandao wa chadema familly ltd sasa umeichanganya na hoja nyingine itakosa ladha, tafadhali restore things back to normal....ni ombi tu!
  8. T

    Mbowe vs Chifupa + CHADEMA vs Family Business

    Mnyika Very well answered manake ningeshangaa kama mwenyekiti amekuja nchini halafu wewe hujui! Good points on misaada lakini mwanasiasa alirukia I have to say, likizo za academic institutions zinaanza wiki hii friday not before, hata hao HULL wanaanza on the 18th DECEMBER 2006 kama...
  9. T

    Mbowe vs Chifupa + CHADEMA vs Family Business

    Afadhali umeweka habari hii sawa bwana Mnyika manake niliweka mimi tarehe tuliyoambiwa mwenyekiti anarejea. What is interesting ni kuwa kuna watu kama Mwanasiasa wao walipoona mwenyekiti anapigwa mawe wakaanza kutafuta jusitifications bila kuangalia kama taarifa ni kweli au la...
  10. T

    Mbowe vs Chifupa + CHADEMA vs Family Business

    Naam Mwanasiasa: Hujajibu swali la msingi nililokuuliza mara mbili takriban: Ulikuwa unajua kama Lucy Owenya na Grace Kihwelu wana mahusiano na Mzee Ndesamburo ya uzazi kabisa? Kama ulijua kabla je huhisi kwamba hapa kuna walakini, hata kama wamechaguliwa kwa kura, is it fair kichama...
  11. T

    Mbowe vs Chifupa + CHADEMA vs Family Business

    Naam Nashukuru mjumbe ulieniletea list ya viongozi, nadhani haijakamilika manake kwa mfano sijaona mwenyekiti bara. Lakini nashukuru kwa efforts. Sasa mheshimiwa mwanasiasa naona unaendeleza political manipulation yako kwa kuja na superficial answers. Nimekuuliza kama ulikuwa unajua hawa...
  12. T

    Mbowe vs Chifupa + CHADEMA vs Family Business

    Mwanasiasa/CHINGA Sina hakika kama info hii itawasaidia au la: Wakati akitoa tamko lake kuhusu kwenda kusoma programmu maalum aliyotungiwa na chuo/vyuo MHESHIMIWA MWENYEKITI MBOWE alisema kwamba angerejea tanzania tarehe 18 DECEMBA 2006. Leo ni tarehe kumi, yupo bongo siku kadhaa na...
  13. T

    Mbowe vs Chifupa + CHADEMA vs Family Business

    Mwanasiasa napenda hoja zako za kisomi the problem is you have a tendency of running away from the real issues kutokuzijibu na kuanza kuphilosophise the subject, katika efforts za kumoderate, I have to admit you are good in political manipulations. Itasaidia sana ukituletea hiyo analysis ya...
  14. T

    Mbowe vs Chifupa + CHADEMA vs Family Business

    Samahani wajumbe manake najua sasa mtaona kama mtandao huu upo obsessed na CHADEMA. Lakini kuna habari nimezitafiti baada ya kuguswa na CHINGA kuhusu hii habari ya CHADEMA kwa kweli inashangaza, nimeingiza kuingia deep doubt kuhusu taasisi hii ningeomba msajili aangalie kama CHADEMA ni kweli...
  15. T

    Mbowe vs Chifupa + CHADEMA vs Family Business

    No way wazee sasa mnaenda mbali? Mnataka kusema MBOWE nae alikuwa akishiriki katika WAPUKI? Are talking the same WAPUKI ya kibaha au nimekosea manake nilipokuwa kwenye semina siku moja pale KIBAHA nikakutana na EX KIBAHA STUDENTS wakanipa habari hizi za WAPUKI sasa mnataka kusema MBOWE nae...
  16. T

    Mbowe vs Chifupa + CHADEMA vs Family Business

    Mwanasiasa: 1.Sincere apologies for misleading note on NDESAMBURO, I meant to write Wilbroad Slaa, slip of keyboard/tongue, [HUU NDIO UTAFITI, ukikosea una-apologise sio unang'ang'ania hata kama ni uongo] nevertheless Wilbroad Slaa is in the same league with all of them, the fact is that the...
  17. T

    Mbowe vs Chifupa + CHADEMA vs Family Business

    DR WHO This marriage of CHADEMA and CONSERVATIVES as you have said is a curious specie of its own, frankly I think CCM/Labour partnership used to be better focused and they were on the same paths. If you look at the idea/logic behind in order to be in partnership or an alliance of some...
  18. T

    Mbowe vs Chifupa + CHADEMA vs Family Business

    Haya wazee nashukuru kwa acknowledge na kuchallenge hii habari ya ahmed rajab, nawaombeni radhi wale mlionitumia PM kwamba naharibu muenendo wa mada yenu. nawaachieni tena uwanja muendelee na Nani Zaidi series...
  19. T

    Mbowe vs Chifupa + CHADEMA vs Family Business

    Hili ni jarida ambalo lilikuwa [because now the magazine is as good as dead] linasomwa na watu wengi sana including politicians, academicians and researchers and the like... Sasa Ahmed Rajab kama watu hawamjui yeye ameondoka tanzania miaka zaidi ya arobaini iliyopita, hana mwandishi tanzania...
  20. T

    Mbowe vs Chifupa + CHADEMA vs Family Business

    At last naona kuna mambo ya hoja na utafiti nk hii ndio mijadala inatia raha sio kusoma ''madongo'' baina ya wajumbe! Naam naomba kukuweka sawa bwana Jasusi kuhusu habari ya JK kupokea misaada kutoka Iran, hii habari nadhani haikuwa ya kweli manake haikuwa proved. Kama walivyosema wengine...
Back
Top Bottom