Search results

  1. M

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Huu wimbo unaitwaje,nimeona kipande kifupi TikTok? Aliyenao naomba
  2. M

    Utaratibu unaotumika kuanzisha huduma ya maabara na zahanati binafsi

    Shukrani kwa kuweka hizi,hii inasaidia sana kwa mtu anayetaka kuanza ajue walau awe na kiasi gani?Asante
  3. M

    Uliza chochote kuhusu unenepeshaji mbuzi, kilimo na biashara ujibiwe

    Mkuu kuna post namba 42 naomba kama hautojali majibu.
  4. M

    Uliza chochote kuhusu unenepeshaji mbuzi, kilimo na biashara ujibiwe

    Shukrani kwa maelezo mazuri,ningelipenda kujua ni vitu gani ambavyo vinaweza kusaidia kutambua kuwa huyu ni wa ukoo wa mapacha,mfano kwa jike ambaye hana watoto wakati wa kumununua,asante
  5. M

    Uliza chochote kuhusu unenepeshaji mbuzi, kilimo na biashara ujibiwe

    Mkuu naomba kujua kuhusiana na mbuzi kuzaa mapacha na wengine wanafikia hata kuzaa wanne kwa wakati mmoja,je hii hutegemea ukoo wa mbuzi au kuna jinsi unaweza ukawafanya wakazaa hivyo?
  6. M

    Uliza chochote kuhusu unenepeshaji mbuzi, kilimo na biashara ujibiwe

    Mkuu naomba kujua kuhusiana na suala la mbuzi kuzaa mapacha na wengine wanafikia hata kuzaa wanne kwa wakati mmoja,je hii ni ukoo wa mbuzi au kuna jinsi unaweza ukawafanya wakazaa hivyo?
  7. M

    Uliza chochote kuhusu unenepeshaji mbuzi, kilimo na biashara ujibiwe

    Mkuu yupi anakua mbuzi safi kwa ajili ya kunenepesha kati ya aliyehasiwa na ambaye hajahasiwa?
  8. M

    Msaada kwa anayefahamu gharama za kodi endapo nikiagiza tractor ya kilimo nje ya nchi

    Ok,utanipa uzoefu (ubora na mapungufu) yake maana kuna New Holland nazo ninazisikia ziko vizuri,
  9. M

    Msaada kwa anayefahamu gharama za kodi endapo nikiagiza tractor ya kilimo nje ya nchi

    Mkuu kwema? samahani,uliweza kuagiza tractor?kama ulifanikiwa naomba msaada tafadhali kuhusu nchi uliyoagiza,kampuni itakua vizuri kama nitapata website yao pia ilitumia mda gani kufika na baada ya kuiona ubora wake ukoje? Asante
  10. M

    Kwa wajuzi wa Tractor za Massey 290 au 385 ipo bora kwa kulimia

    Ubarikiwe kwa maelezo mazuri. Kuna New Holland TT 65 inauzwa na kampuni ya CMC Motors au pia wanajiita Hughes Agriculture Ltd,naomba maelezo kidogo kama hautojali, pia kama una ABC ya New Holland za hawa jamaa
  11. M

    Kwa wajuzi wa Tractor za Massey 290 au 385 ipo bora kwa kulimia

    Mkuu shukrani sana kwa maelezo yako, naomba kujua kuhusu Newholland za Suma ni za kutoka nchi gani ?pia zipi changamoto zake?
  12. M

    Wapi nitapata huduma ya kupima afya ya udongo?

    Habari wakuu? Naomba kujua wapi nitapata huduma ya kupimiwa afya ya udongo kwa ajili ya kujua udongo unafaa kwa zao lipi? Nipo Mwanza
  13. M

    Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    Mkuu pole sana,nina mdogo wangu alikua ana tatizo hilo lakini tunamshukuru Mungu alipata tiba na sasa hivi yupo vizuri anakula maharage,dagaa,pilipili ,najua maumivu unayoyapata,kama utakua haujapata msaada ni PM
  14. M

    Pump za aina hii zinapatikana wapi kwa hapa kwetu Tanzania?

    Mkuu huku kanda ya ziwa maeneo gani?
  15. M

    Pump za aina hii zinapatikana wapi kwa hapa kwetu Tanzania?

    Mkuu hii kitu hawa jamaa wamenifanya nisipate usingizi nawaza namna ya kuwapata lkn nimeangalia hawapatikani,pia lugha wanayotumia ni shida
Back
Top Bottom