Search results

  1. Mbekenga

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Hatuchanjwanji
  2. Mbekenga

    Kitu gani bei rahisi naweza kurudi nacho jijini kutoka mkoa wa Kagera?

    Hiyo ni wilaya mojawapo ya mkoa wa Kagera ila si rahisi kusikia Kihaya kwenye eneo hilo. Nenda wilaya za Muleba, Karagwe, Missenyi na Bukoba vijijini
  3. Mbekenga

    Kitu gani bei rahisi naweza kurudi nacho jijini kutoka mkoa wa Kagera?

    Uko wilaya gani? Viashiria kwamba ulikuwa Kagera nunua senene na ukifika Runazi nunua sato na sangara
  4. Mbekenga

    Kuna wanaume wanafeli sana, hawala anakula vyakula vya nyota 5 nyumbani wanaishia kuviangalia kwenye TV

    Mlioolewa punguzeni vidomo domo, punguzeni kuwa ma-monitor kila mara uko wapi, leo nilikupigia kwa nini hukupokea, mbona unachelewa kutoka kazini wenzio wanawahi kurudi.....
  5. Mbekenga

    Rais Samia: Jeshi na vikosi vyote vya Ulinzi vikae tayari kwa lolote wakati wa uchaguzi

    Mvua zinanyesha ila maji na umeme hakuna. Wanajeshi waliangalie na hili.
  6. Mbekenga

    Mwanaume andaa future nzuri kwa wanao, ila usitegemee lolote kwa wanao

    Inafuatana na mambo kadhaa 1. Aina ya mke atakayekuwa naye (kuku wa kisasa au wa kienyeji) 2. Ulimpata kutoka kwa mke wa ndoa au single mother 3. Anakumbuka mazuri uliyomfanyia au ndo wale wanaoimba "bora nimpende mama yangu"
  7. Mbekenga

    Mtandao wa airtel utufidie hasara wateja wake

    Nimeenda ku-renew line nikaambiwa siku hizi hiyo huduma ni changamoto hakuna connection na NIDA. Naweza kuachana nayo japo kuna salio kwenye Airtel money
  8. Mbekenga

    Wanaume acheni kuwaogopa mabinti zenu waliovunja ungo, mama zao wamewashindwa. Hii dhambi mtaibeba

    Wanawake wanavimba wakiona baba anatembeza bakora. Ukimwogopa mke wako akaanza kuwa msemaji mkuu wa familia ujue watoto wataharibika. La pili ni hizi English medium sijui international. Zimeharibu watoto na kiukweli wife material na husband materials tutakuwa tunaagiza mikoani.
  9. Mbekenga

    DC Moshi awatolea uvivu Kilimanjaro Express, acheni wizi

    Mangi akiona neno Kilimanjaro halafu ukamwambia apande Ester hawezi kukuelewa
  10. Mbekenga

    Klabu ya Simba imemtangaza Kocha Abdelhak Benchikha kumrithi Kocha Roberto Oliveira ‘Robertinho’

    Nikumbushe mechi ijayo ya simba na Yanga ni lini kuna jambo litatokea baada ya mchezo.
  11. Mbekenga

    Wanawake wenye muonekano wa kawaida wanaolewa sana sijui kwanini

    Injini za hawa wa kawaida ni kama za Mjapani hazifunguliwi mara kwa mara
  12. Mbekenga

    Israel haipigani tena na Hamas.Inaua watu kinyama.Dunia isimame kabla janga kuliko corona halijatokea.Tanzania kwa uchache iitishe maandamano kulaani

    Acha watwangane tumezoea kuonyeshwa migogoro ya Sudani, Kongo, Afrika ya Kati, Afrika Magharibi n.k. Sasa Al-Jazeera, CNN na BBC wamehamishia makamera Urusi na Israel.
  13. Mbekenga

    Kagasheki: Mtindo wa Makonda kuwapa tumbo joto Mawaziri haufai. Dunia nzima kuna utaratibu wa kusikiliza kero za wananchi

    Kuwa mkweli, sasa hivi ni Waziri yupi unamwona ana impact kwa taifa
  14. Mbekenga

    Watanzania wengi hawasomi Katiba ndio maana wanashangaa CCM kumpa maagizo Waziri Mkuu

    Wakati unatuhabarisha hivyo usisahau kwamba mhasibu unaweza kumpa kazi na akagoma kuachia muamala kama vigezo vya kihasibu havijazingatiwa. Mtu akishakuwa Waziri Mkuu anawajibika kiserikali.
Back
Top Bottom