Search results

  1. Maruku Vanilla

    Anahitajika Bwana Shamba Lindi

    Mshahara utafikiwa kwa njia ya maelewano kati ya muombaji na muajiri. Pia kutakuwa na bonus ya kufikia malengo na ufanisi katika kazi.
  2. Maruku Vanilla

    Anahitajika Bwana Shamba Lindi

    Ninahitaji mtu mwenye sifa zifuatazo kwa ajili ya kusimamia shughuli za Kilimo katika Shamba binafsi Mkoani Lindi: Awe na ufahamu na maarifa juu ya kilimo cha mazao ya biashara ya muda mfupi na ya muda mrefu kama vile Ufuta, Korosho na Alizeti Awe na uzoefu katika kusimamia kazi za kilimo cha...
  3. Maruku Vanilla

    Anahitajika Bwana Shamba

    Ninahitaji mtu mwenye sifa zifuatazo kwa ajili ya kusimamia shughuli za Kilimo katika Shamba binafsi Mkoani Lindi: Awe na ufahamu na maarifa juu ya kilimo cha mazao ya biashara ya muda mfupi na ya muda mrefu kama vile Ufuta, Korosho na Alizeti Awe na uzoefu katika kusimamia kazi za kilimo cha...
  4. Maruku Vanilla

    PLEASE RESCUE ME.. najisikia kukata tamaa

    Hizi ni miongoni mwa Novena zenye nguvu sana kumuwezesha mwenye hitaji la Kazi kufanikisha hitaji lake. Ziombe kwa imani na uchaji. 1. Novena kwa Roho Kumi na Tatu Zilizobarikiwa Novena to the 13 Blessed Souls (Jesus & His 12 Apostles) Oh my 13 Blessed souls so wise and understanding, I ask...
  5. Maruku Vanilla

    Fursa kwa Wenye Account za Instagram!

    Wapendwa wana JF, Salaam. Napenda kuwatangazia fursa ifuatayo: Kama wewe ni msichana, mdada, au mmama na una account Instagram yenye kukidhi vigezo vifuatavyo; basi wasiliana nasi ili uigeuze kuwa mgodi wa almasi. Vigezo ni kama vifuatavyo: Followers kuanzia 2000 na kuendelea Posts zinazopata...
  6. Maruku Vanilla

    Fursa kwa Wenye Account za Instagram!

    Huyo King mmmh! Ni Mdada au Mmama? Naomba ID yake!
  7. Maruku Vanilla

    Fursa kwa Wenye Account za Instagram!

    Wapendwa wana JF, Salaam. Napenda kuwatangazia fursa ifuatayo: Kama wewe ni msichana, mdada, au mmama na una account Instagram yenye kukidhi vigezo vifuatavyo; basi wasiliana nasi ili uigeuze kuwa mgodi wa almasi. Vigezo ni kama vifuatavyo: Followers kuanzia 2000 na kuendelea Posts zinazopata...
  8. Maruku Vanilla

    Tunahitaji Hiriki (cardamon), Pilipili Manga (black pepper), na Karafuu (Cloves)

    Nawashukuru wote waliowasiliana nasi kuitika wito wa tangazo hili. Zoezi limekamilika Kwa mafanikio. Tumefanikiwa kumpata mkulima kutoka Turiani-Morogoro na anaanza rasmi kazi ya kutuuzia hiriki. Karibuni kwa fursa nyingine zilizobaki. Pia tunahitaji binzali nyembamba, binzali manjano, uwatu...
  9. Maruku Vanilla

    Tunahitaji Hiriki (cardamon), Pilipili Manga (black pepper), na Karafuu (Cloves)

    Malipo ni "Cash on Delivery". Destination: Dar es Salaam
  10. Maruku Vanilla

    Tunahitaji Hiriki (cardamon), Pilipili Manga (black pepper), na Karafuu (Cloves)

    Ndugu wajasiriamali, Kwa mkulima mwenye viungo vilivyotajwa hapo juu awasiliane nasi kupitia simu ya mkononi namba 0767-988-173 au barua pepe marukuvanilla@gmail.com NB: Fursa hii ni kwa wale wenye bei ya Shambani tu! Asanteni.
  11. Maruku Vanilla

    Kwenu kinaota/kinamea au kustawi kitu gani?

    Vanilla ni zao linakubali kwenye maeneo yenye mwinuko na mvua za wastani. Linachavua vizuri vichakani au kwenye shamba lenye uvuli na miti ya kutoa support. Ni changamoto kulima vanilla nyikani maana itakuhitaji kutafuta miti ya kutoa support kwa malando ya vanilla. Kwa Kagera na Kilimanjaro...
  12. Maruku Vanilla

    Kwenu kinaota/kinamea au kustawi kitu gani?

    LAT, Tayari Maruk Vanilla Farming and Processing Ltd tumeingia Kilimanjaro toka mwaka 2011 kukuza zao la Vanilla. Tunafanya kazi kwa karibu na Chama cha Wakulima wa Vanilla Kilimanjaro (CHAWAVAKI) chini ya Mtanzania mwenye hamasa na maendeleo ya watu-Profesa Nkya. Tunawakaribisha wakulima...
  13. Maruku Vanilla

    Tunanunua Light Speckled Kidney Beans (Oval Shape)

    Nimekuwa nikipata walau order mbili kwa mwaka bila kuzifanyia kazi. Mwaka huu tena nimepata kutoka Yemen si chini ya Buyers wawili. Ndo maana nikaona nisidharau bali nichangamkie fursa. Hivyo siwezi kuthibitisha kama soko ni la uhakika na la kudumu au lah! Ila ninavyohisi mahitaji yanaweza kuwa...
  14. Maruku Vanilla

    Tunanunua Light Speckled Kidney Beans (Oval Shape)

    Coturnix, Asante kwa taarifa. Naanzia hapo kufuatilia.
  15. Maruku Vanilla

    Tunanunua Light Speckled Kidney Beans (Oval Shape)

    Zinahitajika Kontena nne (4) za maharage yenye picha na sifa zifuatazo: Light Speckled Kidney Bean (long shape) Ukubwa: 220-240pcs/100g Admixture 0.4% max // imperfect grains 6% max //moisture 16% max Kwa mwenye taarifa za wapi naweza kupata mzigo wa kutosha au mwenye...
  16. Maruku Vanilla

    Looking for a Shipping Agency—Tanga, Muheza to Cape Town, South Africa

    I am looking for a quotation to hire a lorry for loading a 20 feet container at Muheza-Tanga and offload it in Cape Town, South Africa. This will be a one way …. ... If you are an agent PM please or contact me direct here: Maruku Vanilla
  17. Maruku Vanilla

    Nani Rafiki wa Kweli, Nani Mtu Baki?

    Kuna watu kwao twaitwa marafiki: Wakifikwa na hitaji la chumvi kwa nadra watapata kutoka kwetu, ila kutoka kwa watu-baki wana hakika ya kupokea sukari! Wakiugua hawawezi kupokea hata pakiti ya maji kutoka kwetu ilihali kwa watu-baki wanachangiwa hadi damu na kulipiwa ghalama za matibabu...
  18. Maruku Vanilla

    Msaada soko la matango na mahindi mabichi

    Kwa mtazamo wangu na uzoefu mdogo katika Food Processing and International Trade suala la certifications (organic, HACCP. Utz, FSMS, BRC, Traceability, mention all others) kwa Africa is more of the Non-Tarrif Barriers (NTBs) to trade kuliko inavyofikiriwa kuwa ndiyo njia ya kukufikisha kwa...
  19. Maruku Vanilla

    Msaada soko la matango na mahindi mabichi

    Asante sana mandieta kwa kuanzisha uzi huu na pia shukrani nyingi zimuendee kila aliyeuchangia uzi huu lakini shukrani za pekee zimuendee Mkuu Malila kwa moyo wa uwazi katika kutoa habari, maarifa na chote anachokifahamu. Nami nimekutumia SMS kukuuliza juu ya Matikiti Maji variety ya PETA NEGRA...
  20. Maruku Vanilla

    Vanilla: Planting and management

    A: VANILLA- THE PLANT Vanilla is a vine. It roots in the surface of the soil and climbs up a support. It is a perennial plant, which will grow for many years and can become very long. It is a cash crop. Main parts of the Vanilla Plant: The stem: at the end of the stem is the growing tip...
Back
Top Bottom