Search results

  1. T

    Papa Fransisco anaisihi Ukraine ipandishe bendera nyeupe

    Kuna upinzani mkubwa ndani ya nchi zao, watu wana maisha magumu huku wakiona mabilioni ya dola yanaenda kupiganisha vita vya Ukraine. Donald Trump anasema tunakubalije kuambiwa mabilioni ya dola yanaenda kulinda mipaka ya Ukraine wakati mipaka yetu inapitisha wabakaji na majangili kutoka...
  2. T

    Papa Fransisco anaisihi Ukraine ipandishe bendera nyeupe

    MKUU WA KANISA Katoliki duniani, Papa Fransisco, katika mahojiano na chombo cha habari cha Uswisi, RSI, amesema Ukraine inapaswa kuwa na ujasiri wa bendera nyeupe, ambayo ni alama ya kukubali yaishe kwa kupisha mazungumzo ya amani. _______________ Pope Francis: Ukraine should have the courage...
  3. T

    John Mnyika: Hakuna kesi ya Covid-19 mahakamani, Kinana mwongo, Spika awaondoe

    mods, hii thread sicho nilichoandika might as well futa thread nzima niliweka namba ya Spika kama ambavyo imetangazwa hadharani na CHADEMA jini limeshatoka kwenye chupa, huwezi kulirudisha
  4. T

    John Mnyika: Hakuna kesi ya Covid-19 mahakamani, Kinana mwongo, Spika awaondoe

    Kumpigia simu mtu bila ridhaa yake ni kosa kisheria ? Anajuaje unataka kumpigia ili atoe ridhaa ??? Na anatoaje ridhaa kabla ya kuongea nae ???? Au unapaswa ufanyaje, umtume boda boda nyumbani kwake amtaarifu kuna mtu anaomba kukupigia?
  5. T

    John Mnyika: Hakuna kesi ya Covid-19 mahakamani, Kinana mwongo, Spika awaondoe

    Katibu Mkuu CHADEMA Taifa, John Mnyika, ameanika namba ya Spika hadharani ili ahojiwe moja kwa moja na Wananchi kwa kukataa kutii sheria inayomtaka awaondoe bungeni watu 19 waliofukuzwa uanachama CHADEMA, al maaruf Covid 19. Amesema maelezo ya CCM kupitia Kinana kwamba watu hawa wanasubiri...
  6. T

    Hungary: Rais ajiuzulu kwa kumpa msamaha mtu aliyehusishwa na kesi ya unyanyasaji wa kingono kwa watoto

    Rais wa Hungary, Katalin Novak ametangaza kujiuzulu baada ya kutoa msamaha kwa mtu aliyeficha taarifa katika kesi ya unyanyasaji wa kingono dhidi ya Watoto Mtu huyo alitiwa hatiani kwa kuwalazimisha watoto kubadili kauli zao kuhusu ukatili wa kingono uliodaiwa kufanywa na msimamizi wa kituo cha...
  7. T

    Wazanzibar: Muungano unatuumiza, unatupayusha!

    Hilo la kuhusu mashamba, kasema wao hawataki sembe, maharage wala maugali yenu... Hawana shida na mazao yenu na chakula chenu.... Hujamsikia ? Tanganyika ndio tunajikomba kwenye Muungano, tunajiona kama tutaachwa na mke vile... Hata li mkataba bovu la DP World halifui dafu kwa limkataba...
  8. T

    Rais wa Namibia apata saratani, anakwenda USA kutibiwa

    Siku Waafrika wakisema tunapinga na kulaani, na ni mtindio wa akili kukubali mtu mwenye dhamana ya kukuletea huduma ya afya eti yeye ndio anasafiri kupata huduma ambazo sisi hatuzipati, tena anaenda kwa gharama zetu, siku hiyo ikifika ndio haya yatakwisha. Kwa saab, kiongozi anakosaje...
  9. T

    Kuna mahala Nyerere alikosea

    Ya nini yote hayo ????? Kama Zanzibar ingefanywa kama Singida Karume angepewa Uwaziri Mkuu kwa nini ?????????????? Singida au Tanga, kama Florida au Arizona, kwenye Muungano wa Marekani, hawajawahi kutoa Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Spika, Jaji Mkuu, nothing! Na hatujawahi kusikia...
  10. T

    Muungano bado una shida nyingi tusidanganyane

    Say whaaaaat? Tema mate chini na uwaombe radhi watu wa Tabora! Zanzibar hailingani hata na wilaya moja ya Tabora Zanzibar kilomita za mraba 2,462 Sikonge kilomita za mraba 27,873 Zanzibar inaingia Sikonge mara kumi na moja! Nyerere alikuwa amekunywa chakari siku anatuingiza chaka la Muungano
  11. T

    Arusha: Masheikh 6 wahukumiwa kunyongwa hadi kifo

    Sahihi, kwenye hilo la Waislam kuwa super sensitive na dini yao inapodhalilishwa -- lakini kwa mimi lina faida moja kubwa mno. Imewasaidia sana Waarabu kuheshimiwa na beberu. Foreign Minister Hillary Clinton akitua jangwani anafunga hijabu, anatia adabu! Mtu anakuheshimu na kukuogopa mpaka...
  12. T

    Masahihisho: Kinachosherehekewa ni Uhuru wa Tanganyika siyo Tanzania Bara. Hatutavumilia upotoshaji

    Hili jambo la ukombozi wa Tanganyika lilifika bungeni KABLA ya harakati za Mtikila. Si sahihi kusema Watanzania hawakumuelewa Mtikila ilhali wananchi walishalipeleka mpaka bungeni kupitia G55 ya kina Generali Ulimwengu. HAIL TANGANYIKA DOWN WITH TANZANIA
  13. T

    Futa sherehe za Tanganyika hewa Desemba 9

    That's a fact Julius Nyerere made an imbecilic offer to unite with Zanzibar and castrate our beloved nation state of Tanganyika
  14. T

    Washington: John Mnyika aanza ziara kwa kishindo, atembelea VOICE OF WASHINGTON DC. Ailipua sheria ya Uchaguzi

    HOW ? CHADEMA wanazuia vipi miswaada na hawako bungeni wala Ikulu ???
  15. T

    Kauli ya RC Chalamila ''Mtu akifia Polisi wanasema polisi kaua, lakini ikiwa ni hospitali ni mipango ya Mungu'' siyo ya kiungwana

    Very naive observation U think kweli Samia Suluhu hamjui Chalamila ni mtu wa aina gani na siasa zake na hulka yake na ukichaa wake ? WEWE NA MIMI hutujawahi kukutana na Chalamila, kukaa nae mezani kula chakula, kumhoji, ku deal nae at a personal level. Samia kawahi. Samia anamjua Chalamila...
  16. T

    CNN Report: UAE yapewa ardhi Afrika kufanya uwekezaji chechefu, watachuma mabilioni ya dola kutunza misitu ya nchi tano ikiwemo Tanzania

    E bana eeh, mimi ndio nimepondeka moyo kupita maelezo. Kama hatuwezi kutunza misitu tunaweza nini? CNN wanasema Afrika inarudi kwenye ukoloni!
  17. T

    CNN Report: UAE yapewa ardhi Afrika kufanya uwekezaji chechefu, watachuma mabilioni ya dola kutunza misitu ya nchi tano ikiwemo Tanzania

    Chanzo Kuelekea mkutano wa mazingira wa dunia, COP28, utakaofanyika mwezi December 2023 huko Dubai, CNN imetoa ripoti maalum inayoilaumu UAE kwa kuendesha miradi chechefu ya kimazingira ikiwemo kukwapua ardhi ya Afrika ikijifanya kutunza mazingira wakati nia halisi ni kujikingia kifua wakati...
  18. T

    Dar: Wananchi Mikocheni wagomea Kituo cha Mafuta kujengwa kwenye makazi yao

    Ahsante Anna Tibaijuka. Hivi ndivyo watu wenye akili ambao hawakujenga legacy nzuri wakati wa uongozi wao wanavyojisafisha na kuji redeem. Wanapostaafu wanatumia influence yao kutoa moral clarity kwenye matatizo ya kitaifa. Ulipaza sauti uuzwaji Bandari na hapa unasimamia suala la kijamii...
  19. T

    Tanganyika Occupation of Zanzibar should end ASAP

    and what does Tanganyika get in return ?
  20. T

    TCRA: Ukikutwa unatumia VPN Tanzania, faini milioni 5, kifungo mwaka mmoja

    Katiba, Ibara ya 16 Kila mtu anastahili kuheshimiwa na kupata hifadhi kwa nafsi yake, maisha yake binafsi na familia yake na unyumba wake, na pia heshima na hifadhi ya maskani yake na mawasiliano yake ya binafsi. =================================== HAKI YA FARAGHA kwenye katiba ipo...
Back
Top Bottom