Kinachojadiliwa ni mali yetu watz. Ni kwamba wachache wetu wanasahau kuwa haya madini ni yetu watz. Tunaweza kuamua kuyachimba wenyewe au kuwa na mwekezaji. Badala ya viongozi wetu kuhakikisha kilicho chetu waTz wao wamewapa wageni. Hilo ndio tatizo kubwa na sasa limekaa kisheria na tumesainisha...
Kwani shida ni nini hapo? Kama alama haziruhusu kufundisha chuo kikuu, kuna kazi nyingine ya kufanya zaidi ya kuwa mhadhiri. Fikiria kama kila mtu akitaka kuwa mhandisi, daktari, au professor, n.k. Je, nani atakuwa mama Ntilie, yaya, mwalimu, padri, mchungaji, dobi n.k? Hayo yatakuwa sio maisha...
Kama Lissu anaMSc ya sheria, basi hana utaifa ndani ya nafsi yake. Na siasa ya namna hii haitamfikisha mahala popote. Na atasahaulika mapema ktk historia ya nchi hii. Nilitegemea, kusikia kuwa kwa masuala ya ustawi wa nchi yetu tunakuwa pamoja
Wewe ndio miongoni mwa walewale wa CHADEMA. Unatakakujua harakaharaka hivyo? Acha wanaume wafanye kazi zao. ungekuwa unaitakia Tanzania mema basi usingekuwa unahangaika hivyo. Wewe unachotaka kusikia ni kuwa tumeshindwa? Hiyo haitokei. Ushindwe na ulegee hadi msuli
Mungu aliyekuumba amekuumba na madhaifu mengine ya mwili usiyoyaona au kuhisi kwa uwezo wa kawaida wa mwanadamu. Kumshambulia mtu kwa udhaifu wa mwili wake ni kitendo haramu mbele ya Mwenyezi Mungu. Mungu hajamweka au kumtupa Lowassa kwenye shimo la taka kama ambavyo umefanya wewe Mwanakijiji...
Mwanakijiji unajikanyaga tu. Slaa hawezi kukiangusha CCM hata akiwa mgombea wa maisha. Dawa ya CCM ni Lowassa. Tayari walioamua wameamua kumchagua Lowassa. Shauri yako wewe. Chagua Lowassa. Chagua mabadiliko!
Pamoja na kwamba ni mtu wa kabila langu lakini nimemfuta/ delete kabisa katika kumbukumbu zangu. Mzee mzima kuzidiwa na mtoto mdogo ni aibu kwa kabila langu na aibu kwa historia ya Tanzania. Wairaq'w tulionekana watu makini sana lkn tayari huyu mzee katuchafua vibaya sana. Hatuna hali tena kwa...
Dr Mihogo kachagua mke. Na sisi tumechagua CHADEMA. Wasiwasi wa nini? Aingie tu mtaani tuone kazi yake. Kubwa zaidi anaogopa na pia anaona aibu baada kuwaita wafuasi wa CHADEMA vijana wahuni. Yaani kwa Dr Mihogo kila mwanachama au shabiki wa CHADEMA ni mhuni. Mhhhhhhhhhhhhhhhh! Thubutu yako...
Mwanakijiji nakuhakikishia, hata utushawishi vipi, ushawishi wako ni bure kabisa. Sisi tunaoelewa hila na janja zako tumeshazielewa na hatubabaishwi na harakati zako za kipuuzi. Mimi nimeamua kwamba Oktoba 25 2015, alfajiri na mapema kama ilivyokuwa mwaka 2010 nitakuwa wa kwanza kumpigia mgombea...
Ila nikushauri kwa upole tu, mwaka huu kura ya CCM haitatosha. Hata mkiongezea na zile za kuiba pia hazitatosha. CCM wana hola ya Lowassa. Cheza na LOwassa.
Lowassa hoyeeeeeeeeeeeeeeeee! Kura yangu ipo pale pale. Hata wangesema umebaka bado kura yangu ipo kwa ajili yako. Sisi si wadini kama CCM. CCM kama ingekuwa dhehebu la kidini basi waumini wake ni mashetani. Hili jambo wanalitafsiri vibaya, kauli ya Lowassa halina tatizo hata kidogo. Huyo...
.
Hatuhitaji kumjibu Dr Slaa. Sisi tuendelee na kazi. Baada ya yeye kuanza kutoa tuhuma kwa watu na sisi tuna kazi moja ya kumwonyesha kuwa bado tupo na Lowasa hata iwe vipi. Kazi yako umemaliza na umeamua kupumzika siasa. Asante. Tuache sisi tufanye kazi yetu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.