Search results

  1. zipompa

    Kwa dalili hizi Ninahisi nina maambukizi ya VVU

    hii ni tafiti mpya, inakinzana na ile ya miezi mitatu hii itakuwa toka chuo kikuu kampala
  2. zipompa

    Nyumba ni kaburi lililojengwa juu ya ardhi

    mawazo yako uko sawa mkuu
  3. zipompa

    Nyumba ni kaburi lililojengwa juu ya ardhi

    shida iko wap
  4. zipompa

    Nyumba ni kaburi lililojengwa juu ya ardhi

    mabandiko mengine yanachekesha sana
  5. zipompa

    Kwa dalili hizi Ninahisi nina maambukizi ya VVU

    huu unaitwa ujuaji kupita kiasi mimi niliwahi pima ikaja mistari mi 3, nikadata kama ww nikashinda mtandaoni kusoma dalili za ngoma nikawa nahisi ninao nikasema liwalo na liwe hosp. nikapima sina mdudu nikarudi miezi saba baadae sina sasa ni miaka 10+ sina, hadi kuna kipindi nimepigiwa...
  6. zipompa

    FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

    mkuu hii ilikuwa badi ujue n tofauti na nyingine
  7. zipompa

    FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

    kwamba ile penati ya mchongo, alijiangusha ama
  8. zipompa

    FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

    walienda zanzibar kupunguza goli toka 5 hadi 2
  9. zipompa

    FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

    hawawafikii yanga, watu wamekuja wakijiamini huwa hawapigwi mara mbili yanga kawaudhi sana
  10. zipompa

    FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

    aliwahamasisha sana wajitahidi goli zisizidi nne (4) alijua wanapigwa ila juu chini zisizidi nne
  11. zipompa

    FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

    hadi chama anacheza faulo kweli hali tete
  12. zipompa

    FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

    tunaomba refa na kamisaa waruhusu inonga arudi uwanjani (sheria ivunjwe tu) maana wamesha anza lalamika wanafungwa kwa kuwa inonga hayupo
  13. zipompa

    FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

    chama kaonekana anakula miwa uwanjani hahahahahaha
  14. zipompa

    FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

    refa anatafuta namna ya kuwalegeza yanga,kadi za ajabu ajabu
  15. zipompa

    FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

    amesha omba kuachana na simba mapema tu
  16. zipompa

    FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

    nyau hahahaha kwa yanga kila mechi ni fixed maana yanayo tegemewa hayatokei hukawii sema hadi mamelod wali fix draw zote mbili
  17. zipompa

    FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

    tayari na inonga kaishia njiani
Back
Top Bottom