Search results

  1. regnaldshirima

    Haya ni Madini gani?

  2. regnaldshirima

    Watanzania Wavivu wachagua kazi

    Mchagua kazi hufa masikini,pesa unayoipata kwa taabu ndio itayokufanikishia mambo yako,epuka kuajiriwa,acha kulalamika wawekezaji wanafanya kazi zinazoweza fanywa na watanzania,wakati mkizipewa mnasema maslai madogo.wakati bajeti yako unataka uishi jumba la maana,msosi wa 3000,bia 3,ukodi...
  3. regnaldshirima

    Kitu gani ulikipenda ukiwa Mtoto

    Mimi nilipenda Ukuti ukuti wa mnazi wa mwisho akamatwe atiwe gerezaaaaaaani.... we ulipenda mchezo gani zaidi
  4. regnaldshirima

    Bei za viungo vya binadamu zatoka. Uza ulicho nacho

    Ni haki ya Kila mtu kuuza mali yake mwenyewe kwani hakuna mwenye mlitafuta nae, huruhusiwi kumuuza mtu. mwache ajiuze. Vipimo vitafanyika kwa uko mzima kuepusha genesis za maradhi ya kurithi na laana. Masharti: 1.usiwe na magonjwa yoyote. 2.ukoo wenu asipatikane...
  5. regnaldshirima

    Hivi wanaotoa elimu za Ujasiriamali wao wametajirika?

    Hivi hawa wanaotoa elimu ya ujasiriamali wanautajiri kiasi gani? na hawa wanaosema kilimo kinalipa tena mpaka wanatoa gharama zake na faida wao nao wana utajiri kiasi gani toka waanze. ASante
  6. regnaldshirima

    Blogger Template kwa ajili ya Online Store.

    Habari Wadau, Nauza Blogger Template niliyoitengeneza Mimi mwenyewe Kwa ajili ya online Shopping, Template hii nimeitengeneza kwa SimpleCart ikisupport Fedha za Kitanzania,pia inatuma invoice bure unlimeted.iwapo mnuaji atachagua bidhaa atazohitaji mfumo wake utazikusanya bidhaa zote Kisha...
  7. regnaldshirima

    Kwa Wafanyabiashara wa vifaa vya simu

    Habari wadau, Kwa wale wafanyabiashara wa vifaa vya Simu(mobile accessories) vya aina zote pamoja na simu kwa bei ya Jumla(wholesale/bulk) Karibuni hapa. jumlasupply bidhaa na bei zipo
  8. regnaldshirima

    Kwanini kodi Tanzania inapanda tu?

    Kumekua naongezeko kubwa la kodi zinazotozwa na serikali dhidi ya watanzania, hali hii imesababisha wanaichi kuwa katika kipindi kigumu cha maisha na huku ongezeko la mfumuko wa bei likiongezeka hali inayopelekea baadhi ya viongozi kila mmoja kwa sababu zake binafsi amaa kipimo cha akili...
  9. regnaldshirima

    Bloggers Codding

    u
  10. regnaldshirima

    Barua Kwa Rais Magufuli

    Najua sio Rahisi kukuona raisi Magufuli,Lakini Najivunia kua mtanzania. Barua inatoka kijiji cha mbali kisicho na hadhi lakini bado tunafurahia kua Watanzania. Barua Tumeituma na baiskeli hatujui lini utaipata,tunakusikia Kwenye redio,tunatamani kukuona rais magufuli,tukueleze yanayotusonga...
  11. regnaldshirima

    Jinsi ya kuangalia channel za ving'amuzi vyote Tz

    For Education Purpose. Zima King'amuzi. Bonyeza OK botton katika King'amuzi Kisha washaa kwa kutumia remote. subiri iwake.... kisha zima kwa power botton iliyopo katika king'amuzi. baada ya kuzima bonyeza botton power katika remote mara 5 ita andika OTA kisha menu sellect Modulations chagua...
  12. regnaldshirima

    Nafasi ya Mwanamke na Mwanaume katika Soko la Ajira

    Kutokana na hali ya soko la ajira nchini kumekua na ubaguzi wa kijinsia katika soko la ajira huku wengine wakisisitiza jinsia fulani ndio wanahitajika pekee pasipo kuangalia Elimu,Sifa na Uzoefu. Inaaminika Wanawake hasa warembo wasio na sifa ama Elimu wana nafasi Kubwa zaidi katika Kupata...
  13. regnaldshirima

    Natafuta Kazi nina sifa hizi

    Naitwa Regnald Shirima nina umri wa miaka 24,ni mchapa kazi mwenye nidhamu,ninaejituma na mbunifu katika kazi.ni mwepesi kujifunza binafsi ama kwa kufuata maelekezo. Mawasiliano: +255758489123 regnaldshirima@gmail.com. Moshi - Kilimanjaro Elimu: kidato cha nne Basic & computer Maintenace...
  14. regnaldshirima

    Natafuta Kazi

    o
  15. regnaldshirima

    Nauza hp pavilion dv7 core i7 500gb

    Nauza hp pavilion dv7 core i7 laptop haina tatizo lolote wala mikwaruzo Ram 4GB Processor 1.3ghz Quard-core i7 Graphic memory 3.5GB Inasupport harddisk mbili iliyo nayo lwasasa ni 500GB Super LED display 17.3inches Chaji massa 3:50 Dvd rom with light-scribe burn and print Bei maelewano...
  16. regnaldshirima

    Msaada: Mambo gani nifanye ili kusimamia maduka ya rejareja?

    Habari wana jamii... Sikuweza kusomea masuala ya biashara kutokana umaskin wa familia. Na ningependa kwa anaefahamu masuala ya kusimamia biashara nini kinatakiwa napenda niwezeze isimamia biashara katika ubora unaostahili
  17. regnaldshirima

    Samsung Galaxy A3 Used 12days for sale

    Habari wanajamii nipo na simu yangu na iuza ni samsung galaxy A3 original.. nimeitumia siku kumi na mbili pekee nimeiuza kutokana na kupata ingine kubwa galaxy A7 Bei laki 5 maelewano yapo 0758489123 Money back garranty Samsung Galaxy A3 (SM-A300H) Display: Super AMOLED 4.5inches...
  18. regnaldshirima

    Salama kondom yapigwa marufuku Kenya

    Licha ya mipira ya ngono aina ya Salama kupigwa marufuku humu nchini kwa kuibua tashwishi kuhusu ubora wake, bado bidhaa hiyo ingali katika baadhi ya maduka. Shirika la kiafya la PSI lilitoa tangazo rasmi kwenye jarida moja la humu nchini kwamba mipira hiyo haifai kuuzwa humu nchini ila nchi ya...
  19. regnaldshirima

    Msaada: Mifuko ya dhamana UTT (Umoja Fund n.k)

    Ningependa kujua jinsi mifuko hii ya dhamana toka kwa Utt inavyofanya kazi mfano. Kununua vipande.kuuza vipande.kutoa fedha zako
  20. regnaldshirima

    Bicmarkshops Wholesales Mobile Accessories and Electronics

    Habari, Bicmark Trading Inakukaribisha Katika Maduka yake ya Jumla na Rejareja Pia Katika blog yetu ya bicmarkshops - Official Bicmark Trading Products Mag katika Msimu huu wa Sabasaba Tukiwa na punguzo kubwa la bei la bidhaa zetu za jumla kama vile >vifaa vya Simu >Bettry Original na za...
Back
Top Bottom