Search results

  1. kambagasa

    Kwa mparaganyiko huu wa ndoa, sitaki tena kusikia wala kupokea kadi ya mchango wa harusi tena

    Kuna ndoa nilichangia kwa kujinyima laki moja na hamsini ikadumu wiki mbili nilituma mtu akaawambie wanirudishie japo elfu 50,000/= nikanunue dompo
  2. kambagasa

    Waziri Ndumbaro usitume watu kukusafisha, jisafishe mwenyewe!

    Waziri usiombe msamaha wala kufikiria kuomba msamaha ulichosema ni sahihi
  3. kambagasa

    TANZIA Rais wa awamu ya pili wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia

    Moja ya Raisi bora kabisa mwenye asili ya Zanzibar
  4. kambagasa

    Ni kweli mabinti wa Tanzania ni omba omba sana katika mahusiano au wanaume ndio mabahili?

    Aisee naona kam wamejitoa kabisa ufahamu. Hawafamu thumuni
  5. kambagasa

    Nimepata Kazi Zanzibar. Zipi changamoto na faida wa kuishi huko?

    1.Kulazimishwa kufunga hata kama sio mhusika 2. Kukamatwa na binti wa Kizenji na kusilimishwa kwa nguvu au upelekwe kiinua miguu kutumikia kifungo (kama u mwanaume 3. Kitimoto haramu ila trako suna 4. Vyakula vina viungo viiiiingi visivyo na maana yoyoye ili mradi tu ujisikie uko Oman
  6. kambagasa

    Imenishangaza Katibu Mwenezi Chama Kikubwa Ndugu Paul Makonda hana Agenda; Anajitwangia tu

    Kawashika pabaya hadi mnakimbilia Jamii forum nenda kichwa kama Dotto Magari
  7. kambagasa

    Mabraza wa Kariakoo na dili zao

    Kariakoo s mwanamke si mzee wote wapigaji tu
  8. kambagasa

    Video: Mzungu akamatwa kwa kugawa vitabu vya ushoga kwa watoto

    Ujinga tu na uswahili wapi pameandikwa ushoga hapo?
  9. kambagasa

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kahama akalia kuti kavu kwa mara nyingine tena

    Niko Kahama Mkurungezi anakubalika kinoma
  10. kambagasa

    Nilichogundua Watanzania wengi ni watu wafupi

    Mie mfupi na mke mfupi lakini tunazaa mitoto mirefu hapa hamna namna nagongewa tu.
  11. kambagasa

    Ni sehemu gani ya nchi, mji au Kijiji ulifika mpaka ukajiuliza watu waishio huko walifuata nini?

    Kuna kijiji kinaitwa Mwanza ya Madaso kipo Ushirombo ndani ndani yaani hiki kijiji almost ni kama jamii za wawindaji hawajui hata Afcon ni nini
Back
Top Bottom