Search results

  1. T

    Kampuni ya Silent Ocean China hawapokei tena lose cargo, wanapokea makontena tu

    There are other small companies who does the same job Kama silent ocean, mm nimezitumia sana tu Na sijawahi kupoteza mzigo. Issue walikuwa wanasumbuliwa Na hivyo ku operate kawa shida. Mfanyabiashara akipeleka parcel kawa wengine basi kwakuwa silent walikuwa Na network kuwa TRA huyo agent...
  2. T

    Mwanafunzi wa Masters UDOM achomwa kisu

    Poleni Sana wafiwa. Mungu awabariki
  3. T

    Picha: Lowassa afanya kufuru Babati Mjini

    Usihofu ndugu The unstoppable president alisema wewe amka mapema kapige Kura mambo ya Nani atatangazwa mshindi Na tume tumwachie yeye
  4. T

    Hii imenitoa machozi sio siri

    This is so sad jamani. Sio kwamba wanaimba wanaraha au wanafurahia Hili in bomu siku litakuja kulipuka .. Mungu atusaidie
  5. T

    TANZIA: Mch. na Mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili, John Komanya hatunaye tena

    Rest In Peace Mchungaji Nyimbo zako zitaendelea kusikika masikioni Na mioyoni mwetu.
  6. T

    Pando la mlaaniwa (USA)

    Interesting!,,
  7. T

    Mada maalum: Ushauri kulingana na matokeo yako ya kidato cha nne(2014)

    Hakufanya alikuwa arts Kwa hiyo ni hiyo moja tu Na me uwezekano wa kuchaguliwa upo? Asante
  8. T

    Mada maalum: Ushauri kulingana na matokeo yako ya kidato cha nne(2014)

    Civ D Geo C Kisw C Geo C History C Eng B+ Bio C Atachaguliwa A level? Combination zipi? Shule Zenye elimu nzuri Na maadili Natanguliza shukrani
  9. T

    Mada maalum: Ushauri kulingana na matokeo yako ya kidato cha nne(2014)

    Msaada wapendwa, kwa matokeo haya A level anaweza chaguliwa kwa combinations zip Civ D His C Geo C Kiswahili C Eng B+ Bio C Math B
  10. T

    Mada maalum: Ushauri kulingana na matokeo yako ya kidato cha nne(2014)

    Msaada tafadhali, kwa matokeo haya Atapata A level combination zipi? Civ D Hist C Geo C Kisw C Eng B+ Bio C Math B
  11. T

    Charlie Hebdo: Makanisa yachomwa moto Niger

    Mi sijui kifaransa kwani inamaanisha nn
  12. T

    Panya Road wavamia maeneo ya Magomeni, Mwananyamala na Kinondoni jijini Dar

    Wamekamatwa wawili tu!! Pamoja na kuwa na taarifa ya ki intelijensia.,.. Perfomance is 0%
  13. T

    Ben Saanane na wenzake wapata ajali mbaya

    Mungu awape faraja ya kweli ndugu Na marafiki wote wa Marehemu. Hakika ni kipindi kuhusu. Hakika Mungu wetu anamakusudi ya kila atendalo. Tushukuru kwa kila jambo Na tumrudishie utukufu.
  14. T

    Shule nzuri za A-Level

    Wapendwa habari, naomba kujua shule nzuri za A Level zenye mchepuo wa Arts
  15. T

    Hii Shule ni Nzuri sana! Nimeipenda

    Me natafuta A level kwa masomo ya arts. Pls. Wadau nisaidieni ni shule ipi nzuri kimaadili na kielimu Natanguliza shukrani
Back
Top Bottom