Search results

  1. H

    Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    Nikitumia dish dogo kama ya zuku itawezekana kupata eutelsat 7w
  2. H

    African Satellite World and Sat Gear

    Please Help!!! I need a procedure on how to add satellite list on zuku decoder!
  3. H

    African Satellite World and Sat Gear

    Help me with the frequency for citizen and ntv please!
  4. H

    African Satellite World and Sat Gear

    Which frequency did you use for citizen & ntv?
  5. H

    African Satellite World and Sat Gear

    On which satellite please?
  6. H

    Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    Mimi niko mombasa; kwa sasa napata local channels kwenye Intelsat 906 @64.2E Pia napata channels zote za Intelsat 7/10 @68.5E. Hapa kwa intel 7/10, nilieka LNB mbili C @ Ku band. C band nilipata 6 channels na Ku band nilipata 75 channels. hivyo nipo na lnb tatu kwa dish moja na zina work vizuri...
  7. H

    Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    Habari wadau!!! Leo nimejaribu kutafuta Yahsat 1A @52.5 East, kutumia dish ya 6ft lakini kwa bahati mbaya sikufaulu.Frequence zenye nimetumia ni hizi(11900H27500) (11938H27500) (11766V27500) Iwapo shida ni frequence naomba mnijulishe maana nimekwama kabisaaa!
  8. H

    Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    Aljazira nilipata signal ya juu {85-90}. kwakuwa rcva yangu haina blind scann,Nilieka tp manual na nikapata channels zaid ya 20 lakini sita pekee ndio zinafanya na hizo zingine zote zina symbol ya($) na ukijaribu kuplay hazifanyi
  9. H

    African Satellite World and Sat Gear

    Hi! will it be possible to get channels on nilesate 201, using 90cm offset dish? please help!!!
  10. H

    Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    Asante sana kakangu kwa maelekezo yako kwani nimefaulu kukamata aljazira! Je kunauwezekano wakupata channels zingine nyingi hasaa za movie?
  11. H

    Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    Ndungu Arselona mimi bado sija saidika bado, sinaujusi wakutosha lakini baada ya kupitia baadhi ya maelekekezo yako, nimefunga dishi la ft6 na nikapata channels 9za bongo katika intelsate 906,vilevile niliweza pia kukata ringi ya LNB alafu nikaeka LNB ya pili. Lengo hasaa nikupata channels kama...
  12. H

    Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    Nimejaribu kueka hizo frequence lakini sikufaulu kabisa!
  13. H

    Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

    Karibu, Hujambo!
  14. H

    Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    Asante sana ndugu,Ningeomba usaidizi wa hizo c-band frequence za Aljazira maana nimetafuta lakini bado sijazipàtà
  15. H

    Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    Naomba usaidizi, nipo na dish ya ft6 na receiver ya astrovox vsr-260, nilifunga vizuri na kwasasa hivi nimepata channels za bongo. Ningependa kufunga LNB ya pili ya ku band ndio nipate channels zingine kama aljazira, Je itawezekana? na kama inawezekana nitaifunga vipi na frequence nizipi...
  16. H

    Msaada: Frequency za ATN na UBC ktk satellite Intelsat 906 64.2E

    Naomba kusaidiwa na frequency za EATV
Back
Top Bottom