Search results

  1. sinza pazuri

    Inonga anaondoka Simba mwishoni wa msimu huu 2024

    Beki wa Simba Enoch Inonga anatarajia kuondoka Simba baada ya msimu kumalizika. Japo Inonga ana mkataba mpaka 2025 ila ameomba kuondoka na ameshaanza mazungumzo na club yake wamuachie. Pia beki wa kati Che Malone nae anataka kuondoka sababu hafurahii kuwepo Simba. Za ndani zinasema Simba...
  2. sinza pazuri

    Pacome ameanza mazoezi Yanga na atajumuishwa kwenye msafara wa Mwanza

    Habari nilizonazo mpaka sasa afya ya Pacome imeimarika na atasafiri na kikosi kuelekea Mwanza. Lolote linaweza kutokea haswa mechi ya derby. Yao Kwasi bado kuna uwezekano akaikosa mechi tatu zinazokuja.
  3. sinza pazuri

    Wimbo wa Sukari wa Zuchu umefikisha views 100M kwenye mtandao wa YouTube

    Wimbo wa Zuchu Sukari umefikisha views 100M kwenye mtandao wa YouTube, hii ni historia mpya kwenye ukanda wa Africa. Sukari unakuwa wimbo wa kwanza ulioimbwa na msanii mmoja (Solo artist) Wenye views wengi Africa Mashariki na Kati kwenye mtandao wa YouTube. Na pia anaingia kwenye orodha ya...
  4. sinza pazuri

    Comedians wabongo kuna namna wanaenda kufanikiwa, waendelee kuwekeza

    Mimi si shabiki wa awa wachekeshaji wa kizazi cha sasa ambao wanatumia zaidi social media kufikisha sanaa yao. Ila nimekuwa navutiwa na juhudi zao kujaribu kusukuma kazi zao zifike kwa watu. Inawezekana kwenye ubora bado wanajitafuta lakini wanaonesha juhudi za hali ya juu. Siku zote kwenye...
  5. sinza pazuri

    Ni kweli Harmonize alimsaliti Mzee wa Mjegeje?

    Habari zinazotembea kwa kasi ya ajabu hapa mtaani kwangu ni tuhuma za usaliti wa Harmonize kwa shabiki yake na supporter wake namba moja Mzee wa Mjegeje. Mzee huyu ambae alikuwa kama balozi wa Harmonize kila pande ya nchi anapoenda lakini alipopatwa na ugonjwa alipotafutwa Harmonize kwa simu...
  6. sinza pazuri

    Hongera Maulid Kitenge na Nusrat Hanje kufunga ndoa

    Nawapongeza Maulid Kitenge na Nusrat Hanje kufunga pingu za maisha japo waliamua kufanya ndoa ya siri. Chumvi kapata chombo ya ukweli. --- NUSRAT HANJE JIKO JIPYA LA MAULIDI KITENGE Mtangazaji nguli wa Michezo Kutoka Wasafifm Maulid Kitenge amefunga ndoa na Mbunge wa Viti Maalum Nusrat Hanje...
  7. sinza pazuri

    Zuchu ajitoa kwenye mtandao wa Instagram

    Habari za hivi punde ni kwamba mwanamuziki namba moja wa kike East Africa, Zuchu aka Zuu amejitoa Instagram. Amefanya hivyo kwa ajili ya kufanya ibada mwezi huu wa Ramadhan ambao Zuchu ni binti wa kiislam anaependa sana kufanya ibada na ndio aliombadilisha Diamond kuwa mtu wa kufanya ibada...
  8. sinza pazuri

    Diamond Platinumz ni mwanamapinduzi wa kweli ni zaidi ya msanii

    Diamond Platinumz msanii namba moja Africa ni zaidi ya msanii. Mimi namuita mwanamapinduzi au kwa kilami wanasema game changer na anaendelea kulionesha ilo kwa vitendo. Jambo lolote ambalo lilionekana haliwezekani kwenye industry yetu ya burudani yeye alibadilisha mtazamo na kuwa inawezekana...
  9. sinza pazuri

    Habari za uhakika Mayele anarudi Tanzania na anasajiliwa Azam FC

    Habari za uhakika nilizopata ni kwamba Mayele ameshamalizana na Azam FC na atatua Chamazi kukiwasha. Zile kelele kuhusu Yanga alikuwa anawaandaa kisaikolojia mashabiki wa yanga ambao wanaenda kuwa maadui zake wapya. Soka letu kivyetuvyetu.
  10. sinza pazuri

    Fact: Prince Dully Sykes ndio muanzilishi wa muziki wa bongofleva

    Watu wengi hawajui historia ya muziki wa bongofleva na hawajui umeanzia wapi. Fact ni kwamba muasisi wa muziki wa bongofleva ni Prince Dully Sykes aka Mr Misifa. Sound hii unayoiskia leo ya bongofleva (baibuda) ilianzia kwa Dully. Kwa wasio na ufahamu, bongofleva ni muziki wa kizazi kipya...
  11. sinza pazuri

    Yusuf Bakhresa pokea simu ya Mudathir kabla mambo hayajazidi kuwa mabaya

    Mudathir wakati yupo Azam FC alikuwa mwishoni wa mkataba wake akaenda kuzungumza na uongozi wa Azam kuhusu kuingia mkataba mpya na akataka kuongezewa mshahara. Viongozi wa Azam FC na tajiri wao Yusuf Bakhresa wakamwambia sawa ila nenda tunajadili kisha tutakupigia simu. Baada ya muda akiwa kwao...
  12. sinza pazuri

    Ali Kiba hapa kwa Dulla umefeli kabla ujaanza

    Wote tunajua Dulla planet bongo ni kijana aliyekuta planet bongo kama kipindi pendwa ikadondoka na kupotea kabisa. Sasa ndugu Ali kiba kapewa na mnene mmoja asimamie redio na kuipromoti ambayo inazinduliwa kabla ya pasaka. Yeye kiba akaenda kuokota dulla pale east africa radio na kumpa kitengo...
  13. sinza pazuri

    Nani anatamani kusikia Darasa na Zuchu kwenye wimbo mmoja?

    Binfasi naamini Darasa kwa uwezo wake na style yake ya kuchana akikaa kwenye ngoma moja na Zuchu watatoa chuma kimoja matata sana. Tuombe Mungu abariki siku moja tuone collabo yao ya kuisimamisha nchi.
  14. sinza pazuri

    Hakuna ubishi, S2kizzy ni producer bora kuzidi mkongwe Master Jay

    S2kizzy aka Zombie ni producer mkali kuliko Master Jay. Zombie ambaye ni Grammy nominated mara kadhaa na kafanya nyimbo ambazo ana international hits kuzidi Master Jay ambaye alikuwa akimiliki studio ya MJ production ambayo alitumia wataalam wa kutengeneza muziki kama Maron linje, Profesa...
  15. sinza pazuri

    Mwakinyo anataka apewe milioni 500 ili apambane na Kiduku

    Baada ya watanzania kuonesha shauku ya kumuona bondia namba moja Africa, Hassan Mwankinyo akipanda ulingoni na local boxer Twaha Kiduku. Mwakinyo ametoa bei yake ya kupanda ulingoni sh million 500 za kitanzania na hana maelekezo mapya. Waliomfata kulialia kawarudisha na mil 200 zao. Champez...
  16. sinza pazuri

    Unatamani kuiona collabo ya Diamond Platinumz na Mr Blue?

    Baada ya kufanya kolabo yao ya kwanza miaka zaidi ya 10 iliyopita. Je unatamani kuwaona tena kwenye wimbo mmoja?? Ogopaaa!!! 😂😂🔥
  17. sinza pazuri

    Mbosso ndiyo msanii wa bongofleva mkali kuliko wote kwa live music. The best ever!

    Tangu mapinduzi ya muziki wa Tanzania yatokee kwenye miaka ya 1990 na kuzaliwa muziki wa kizazi kipya yani bongofleva kumetokea wasanii wengi hodari. Ila hajawai kutokea mpaka sasa msanii anaeweza kuimba live nyimbo au muziki wa bongofleva kumzidi Mbosso. Mbosso ni fundi wa live music. Anaimba...
  18. sinza pazuri

    Mwijaku afunguka: Pesa ya kujenga ghorofa nimeitoa kwa Diamond Platnumz

    Ukweli unatuweka huru. Mwijaku aamua kuwa mkweli na kusema kilicho ndani ya moyo wake. Ghorofa lake alilojenga na kutrend mitandaoni pesa imetoka kwa Diamond Platnumz. Hongera mwijaku kwa kuwa muungwana. Pia sifa ziende kwa diamond kwa kuendelea kubadilisha maisha ya watu. Mungu ataendelea...
  19. sinza pazuri

    Hatimaye Anjela atimiza ndoto yake ya muda mrefu, Zuchu akubali kufanya nae kazi

    Kila mtu ana ndoto zake na malengo yake. Anjela msanii aliyekuwa konde gang wakashindwa kumpa huduma muhimu akasepa, ndoto yake kubwa ni kufanya kolabo na msanii wa kike namba moja east africa Zuchu. Leo baada ya kuelezea namna atafurahi akitimiza ndoto yake hii, Zuchu alimpa go ahead ya...
  20. sinza pazuri

    Jonijoo ni mtangazaji anaeongoza kuzipa media hasara. Ni mtangazaji mzigo

    Alianzia kuonekana pale Times Fm lakini wakubwa hakuwashawishi kumpa kipindi kikubwa hawakuridhika na kiwango chake. Baadae akatimkia Wasafi FM akapewa kipindi cha Block 89 akafeli kipindi kikafa ilikuwa hasara tu kipindi kilijaa kelele wadhamini hakuna. Akaletwa Lil Ommy pale Wasafi na akaja...
Back
Top Bottom