Search results

  1. Lovery

    Nikikumbuka huwa nacheka sana

    Hakika hata mimi nimecheka sana
  2. Lovery

    Serikali ishushe hadhi Jiji la Tanga kwa vile haina mpango wa kufanya lolote kusapoti mji huo

    Chanzo kikubwa cha awali ni Nyerere, alikataa kuujenga mji huo kutokana na idadi kubwa ya wakazi wa nji huo walikuwa jamii na din fulani, hii ingemletea upinzani mkubwa kwake kwa hofu , hili pia lilipelekea yeye kuchukua kuunganisha kisiwa cha Zanzibar.... Nje ya mada.. Ikikupendeza fafanua...
  3. Lovery

    Kati mamba, simba na chatu yupi mrahisi kuokoka tukikutana naye?

    1,678.45 Kilogram bite Force. Ni kama umegongwa na gari
  4. Lovery

    Unawezaje kuvumilia miaka 2 bila sex kwa mke wako

    Muda mwingine nawaza kuwa na mchepuko lakini naona ni dhambi kumsaliti wife... Acha utoto. Badilisha ratiba yako hasa ya kurudi nyumbani hakikisha unachelewa, ikitokea umewahi nyumbani ondoka mida mibaya na uchelewe kurudi. Usimuombe tendo. Zoezi hili fanya kwa mwezi mzima uone kama atajihisi...
  5. Lovery

    Utajuaje kama Mwanamke amefika Kileleni Kweli?

    Hata ukimfikisha Kibo bado haitakuletea manufaa wewe, endapo atataka kufika atajiandaa mwenyewe afike.. usijitese na usimhurumie mwanamke
  6. Lovery

    Naomba msaada wa kupata (plummy nut) au chakula dawa

    Hiki chakula kinatolewa kwa watoto wenye malnutrition hakika ni msaada mkubwa sana, ila kwasasa hapa bongo hazipatikani kiurahisi kwasababu zilikuja kwa ufadhili, nguvu kubwa imepelekwa sudan, congo na somalia.
  7. Lovery

    Kuna madhara kutumia ARV's kwa mtu asiye mgonjwa?

    Nikama vile kula chakula ukiwa umeshiba... Watakuja...
  8. Lovery

    Watumiaji wa simu za Google Pixel pitieni hapa

    3a haina tabia ya kupata moto wakati wa matumizi mazito? Na vipi ustahimilivu wa charge?
  9. Lovery

    Kurudi nyumbani mapema

    Ni bora kuchelewa hata akichukia potelea mbali, kuliko kuwahi kila siku, tabia ya kuwahi ataigeuza kuwa sheria na wewe unageuka kuwa mfungwa nyumbani kwako. Mbususu zenyewe za ratiba ni bora uchelewe uepushe migogoro
  10. Lovery

    WANAUME: Umewahi kukutana na mwanamke mzuri anayejiuza barabarani mpaka ukajiuliza pamoja na uzuri wote kakosaje mwanaume wa kumhudumia?

    Kuna malaya nilimkuta sehemu, yule demu ni mzuri sana, ikabidi nimtoe eneo la biashara nimpeleke lodge, huko napo nikagundua ni mzuri wa nje hadi ndani, nilitamani nioe kabisa... Mungu akanipigania nikashinda kishawishi Najiuliza yule demu ana tatizo gani hadi yupo pale sijapata majibu.
  11. Lovery

    Kuchunguzana kwenye ndoa ni udhaifu

    Kumchunguza mkeo ni jambo muhimu, kwasababu unaweza ukaepusha majanga kwenye familia kabla hayajawafika, Mwanamke ni kiumbe wa kulindwa na kuongozwa kama watoto wako unavyowatunza. Binafsi naona kuna faida zaidi ya hasara.
  12. Lovery

    Mwanza: Nimekutana na handsome balaa

    Haka Kauzi katakimbia kweli kweli...
  13. Lovery

    Ni wimbo gani wa gospel hukutia nguvu unapopita katika bonde la mauti

    Paul clement - mwaminifu Fanuel sedekia -Nishike mkono Sarah K -Mnyunyizi wangu Solomon Mukubwa- Mungu mwenye nguvu St.Lavendar Obuya - Sema nami Paul mwangosi -kila siku u mwaminifu Essence of worship - mimi siwezi Paul Clement -mwema Boaz danken -haufaninishwi Fanuel sedekia - Manukato
  14. Lovery

    Maelfu ya Wakulima wakesha wakisafiri usiku kucha kumfuata Rais Samia mkoani Mbeya

    Shamba lipo mkoa gani? Naomba kufahamu Mbegu gani ya mahindi na karanga unayotumia na inakuletea matokea mazuri.
  15. Lovery

    Muonekano Cynthia Rock, aisee hazeeeki. Yaani bado kigoli, mtoto mbichiiii

    Nakumbuka ile movie Above the law akiwa na Biu Yuen na Melvin wong. Movie Top Squad na movie No retreat No surender akiwa na Loren avendon, max thayer na matthias Hues
  16. Lovery

    Bei ya Vanilla yaporomoka kwa kasi Mkoani Kagera, sasa kilo ni Tsh. 3,000

    Poleni sana kwa hasara na maumivu mnayoyapitia, tuna safari ndefu sana kumkomboa mkulima, na hayo mabadiliko yataanzia kwa wakulima Mwenyewe kuwa na umoja. Vanilla international wanao tuhadaa kununua kilo moja kwa 1m wapo wapi?
Back
Top Bottom