Search results

  1. M2WAWA2

    Kukua kwa Soko la Muziki, na Kuongezeka kwa Ushoga

    Muziki una ushawishi mkubwa Duniani kisiasa (wakati wa kampeni na ziara ),kiuchumi na kijamii. • Takwimu zinaonyesha kwa wastani mtu mmoja ana tumia masaa 961 kusikiliza muziki kwa mwaka. • 66% ya wasilizaji wa nyimbo hizi ni vijana kuanzia miaka 18 na 34+ • Pia takwimu zinaonyesha Ma...
  2. M2WAWA2

    Ukiona mume wako kachepuka na mfanyakazi wa kazi za ndani kuna mawili

    Miriam Lukindo Mauki anaandika; Ukiona mume wako kachepuka na mfanyakazi wa kazi za ndani (na mara nyingine huwaoa kabisa), kuna mambo mawili; 1. Ni mwanamke mwenye lawama nyingi, yaani malalamiko. Mwanamke asiye na kushukuru au asiyeona kitu anachokifanya mpenzi wake. Ni mwanamke mwenye...
  3. M2WAWA2

    Kampuni za kupima ardhi na mipango miji (Urasimishaji)

    Ni miaka mitatu sasa tangu kuwepo kwa vuguvugu la Makampuni ya kutoa huduma za Urasimishaji Viwanja na mashamba kwa gharama ya 250,000 (baadaye gharama ikashuka kuwa 150,000). Lengo likiwa mwenye shamba /viwanja kupewa hati ya umiliki. Kwa maeneo ya Tegeta Madale, Mivumoni, Goba, Msigani jijini...
  4. M2WAWA2

    Kutoka kuwa mke wa ndoa na kuwa mchepuko

    Asante Mungu!!! Ni miezi 18 tangu Mahakama kutengua ndoa iliyofungwa miaka 8 iliyopita. Na huu ukawa mwanzo wa maisha mpya, maisha ya utulivu wa akili, amani moyoni na huru wa maamuzi.Na ukawa Mwisho wa maisha ya mateso ya Kihisia, kiakili, na kisaikolojia-hapa wanaume wengi wanapitia mateso...
  5. M2WAWA2

    Mike Oliver, Mzungu mtalii aliyetembea na wanawake 300 nchini Kenya

    Mike Oliver mzungu toka UK, ni mtalii aliyetembelea nchini Kenya tangu mwaka mmoja uliopita. Mpaka jana 24 August 2020 baharia amethibitisha kutembea na wanawake 300 huko Kenya. Ametoa uthibitisho huo kwa kutoa na kuchapisha picha za hao wanawake wakiwemo wake za watu, wachumba, watu wazima...
  6. M2WAWA2

    Wimbi la wanandoa kujenga nyumba kwa siri

    Awali nilikuwa nikisia kama simulizi flani, lakini kuanzia miaka ya 2015 mpaka sasa, nime shuhudia na kuthibisha hizi taarifa za wana ndoa kujenga nyumba kwa siri bila mwenza kujua kuwa ni za kweli. Wengi katika hawa nilio waona ni wanawake, kwani Kupitia hizi saccos au vikoba wana kopeshana...
  7. M2WAWA2

    TAHADHARI:AINA MPYA YA UTAPELI

    Naomba kutoa angalizo, kuna aina mpya ya utapeli imeanza kushika kasi kwa sasa. Kwamba unaunganishwa kwenye group la Whatsapp na matapeli. Ukishindwa kujitoa Mapema, utaanza ku-share taarifa zako na matapeli na kisha wao kuja kutumia taarifa zako kukuibia banki, sim swap, na majumbani. Picha...
  8. M2WAWA2

    Biashara ya mikopo feki kupitia majina ya kanisa

    Kunauwezekano mkubwa kufanya biashara kwa jina la au mgongo wa kanisa ni kujiakikishia faida kubwa kwa sababu watu huwa naimani na makanisa. Makanisamengi yana vyama vya kuweka na kukopa, hakika sina shida na utaratibu huu kwaniwanachama wake ni waumini wa makanisahayo. Shida ni palevyama...
  9. M2WAWA2

    Uhaba wa wanaume na kuongezeka kwa biashara ya urembo

    Hakuna haja ya utafiti ni jambo lililo wazi sasa kwamba biashara ya urembo kwa wanawake imepanuka sana kufuatia uhaba wa wanaume. Wanawake wamekuwa wafuasi wazuri wa makorokocho kwenye miili yao ikiwa ni mpango babukubwa wa kuwavuta wanaume. Kama mjasiliamali unashauriwa kuuza bidhaa za urembo...
  10. M2WAWA2

    Ndoa: Nipeni uzoefu wa kuishi na huyu mchaga

    Enzi za urafiki wetu wa mwaka mmoja alikuwa ni msichana mwenye lugha nzuri,mnyenyekevu,mwepesi wa kuninunulia zawadi mbalimbali,aliwapenda sana ndugu zangu na zaidi alikuwa akinipa moyo wakati wa magumu.Nilikuwa nikiridhika sana wakati wa tendo. Ni mwenyeji wa marangu,klm.Mzuri wa sura na...
  11. M2WAWA2

    Wasioolewa na kujiamini kupitia vitu

    Kuna ukweli kwamba. wasioolewa sasa hivi wanatumia nguvu nyingi kununua magari, kujichubua na kujiweka feki feki kwa kuvaa nywele bandia, kucha bandia, nyusi bandia. Yote ni kutafuta 'kujiamini'mbele za watu, wakati mioyoni ni wapweke sana. Hali hii walioolewa hawana. Muda mwingi hawa ambao...
  12. M2WAWA2

    Ndoa ni serikali ya kwanza Duniani

    Kutokana nawanawake wengi kutokuolewa, wengi wao sasa wamekuwa katika kambi ya wapingandoa, na wengi wao wamejizolea umaarufu kwa kufanya mashambulizi ya kutoshadhidi ya ndoa. Kunasimulizi nyingi humu JF na kwingineko juu ya ndoa kama ni sehemu ya stress namajuto, na watu wengi wameaminishwa...
Back
Top Bottom