Search results

  1. M2WAWA2

    Ubovu wa barabara ya Mbagala Kiburugwa

    Ni mwendo wa sifa, safari, vijembe, maudhurio kila matukio, na hotuba zilizokosa mammlaka. Na huu ni mwanzo maaka ifike 2030, mtanyooka wenyewe.
  2. M2WAWA2

    Mfanyabiashara Alex Msama akamatwa kwa tuhuma za Utapeli wa Viwanja vya Tsh. Milioni 800

    KAWAIDA WAIMBA NYIMBO ZA KUKUSIFIA, NDIO WANUFAIKA WAKUBWA. KUNA WATU WANATAKA MAMA AWEPO MPAKA 2060.
  3. M2WAWA2

    Mkurugenzi aliyetenguliwa Mafia Zanzibar kuchunguzwa kwa Ubakaji

    NAONA NI MAPEMA SANA KUMLAUMU MWANAMKE. HATUJASIKIA YA UPANDE WAKE. SAWA TUSEME YEYE HANA SIRI, HAJAFANYA MAAMUZI YA AKILI-. LAKINI TUKIO LILIFIKA KWA POLISI NA WALITAKA KUZIMA JUU KWA JUU. JE NAO HAWANA SIRI? HAWANA AKILI? PENGINE JAMAA NI UTAMADUNI WAKE, NA SASA AROBAINI YAKE IMEFIKA. KATOKA...
  4. M2WAWA2

    Kampuni ya PepsiCo

    MOJA YA UTAJIRI MKUBWA WA NCHI YETU, NI UWEPO WA WAPUMBAVU WENGI. WATU WAKIISHA TAPELIWA NDIO BRELA, TRA, MANISPAA ZINAULIZWA!
  5. M2WAWA2

    CCM ya sasa ingekuwa smart ingemkana Mwenyekiti UVCCM Kagera. Kwa kunyamaza ni kama wanathibitisha ni wauwaji

    Huyo kijana yuko sahihi sana Kasema kweli wanachofanya
  6. M2WAWA2

    Ni katika eneo gani tumefanya vizuri sana kama nchi?

    Tanzania,-uchawa, Maombi na maombezi.
  7. M2WAWA2

    DOKEZO Serikali chukueni hatua za haraka dhidi ya Nabii Dominiki "Kiboko ya Wachawi"

    Sina shida na manabii na mitume feki. Ni kama waganga wengine wa kienyeji na wachawi na matapeli wanaotafuta maisha yao kupitia upumbavu wa wengi. Soko la wapumbavu ni kubwa tanzania, kiasi kila tapeli anasajili kanisa na kuvuna pesa kwa kutumia jina la bwana!
  8. M2WAWA2

    Matumizi ya "CPA" kwenye initial za majina ni sahihi?

    Hizo initials zisikutishe, Elimu kubwa, matokeo kidogo. Kuna ambao hawajui hata maana ya CPA, lakini wana uchumi mkubwa kuliko wewe na vizazi vyako vyote
  9. M2WAWA2

    Single mothers ni athari na madhara yanayotokana na kampeni ya usawa

    Na akiondoka baada ya miezi michache anakwenda kuwa mchepuko wa mume wa mtu!
  10. M2WAWA2

    Single mothers ni athari na madhara yanayotokana na kampeni ya usawa

    Hivi umewahi sikia kampeni za usawa wa kijinsia kwenye dunia ya waarabu? na mashariki ya mbali? kwa nini Africa?. JIBU: Kutokana na watu hao kukosa maono na muelekeo wa maisha yao, na hatima yao ina amuliwa na wachache. Ebu ona: 1.Wafadhili wakubwa wa mikutano,semina,warsha na taasisi za...
  11. M2WAWA2

    Lori lililobeba mafuta limepinduka Kibaha, wananchi wachota mafuta bila woga

    NAAM WANA KIBAHA NA MUMSHUKURU MZAZI SASA. #MAMA ANAUPIGA MWINGI
  12. M2WAWA2

    Kuna vodeo inatembea mitandaoni ya bodaboda kugongana uso kwa uso na Subaru huko Arusha inahuzunisha sana

    SAFI SANA, ZINATAKIWA ZITOKEE 100 KWA SIKU. NDIO AKILI ZITAKAA SAWA KICHWANI RIP WADUDU
  13. M2WAWA2

    Msanii Mkubwa Bongo Fleva atabiriwa kifo na Wachungaji kutoka Kenya na Zimbambwe

    SINA SHIDA NA HAWA MATAPELI WA KUTABIRI, SHIDA IKO KWA HAO WAUMINI WAO! #HOPELESS
Back
Top Bottom