mkuu kuhusu Riz1, Kikwete anatoka miaka miwili tu ijayo, tutakuwa huru kuhoji hizo mali uzisemazo kama kweli anazo na avarify amezipataje. kama kuna kona kona sheria ichukue mkondo wake. yaelekea kwa mawazo yako shida tulizonazo waTz ni kwa ajili ya Riz1. sishangai mtu kama wewe kuwa na mawazo...
mkuu umejuaje kwenye red highlight?
viongozi wengi wingi ni makada wa ccm. hebu fikiria kama ingekuwa tar5 mwakyembe asingekuwepo kazini wala wakuu wa mikua, wilaya na kadhalika.
yes, nakubaliana na wewe kuwa ccm has to go. ila sikubaliani na dhana akiwa muislam pale ndo ccm ionekane mbaya. tumeona matamko mbalimbali ya viongozi wa makanisa kipindi hiki lakini maaskofu hao hao hatukuwasikia wakitoa matamko yao kipindi cha mkapa pamoja na ufisadi ulitamalaki kipindi...
mkuu kwanza nashukuru kwa historia ya pakstan, bangladesh na India, sikuwahi hata kufikiria kitu kama hicho.
pili asante pia kwa ujumbe murua, kwamba binadamu analevel ya uvumilivu baada ya hapo liwalona liwe
na tatu nikuambie tu, wengi wanaosoma humu wanajua sana kutokana na elimu ya uraia...
inawezekana ukawa uko sahihi na hasa kwa hila za maCCM. Lakini pia kumbuka walisema walioajiriwa kufanya hiyo kazi hawakuwa na ujuzi wa kutosha kuzitumia zile program katika kuhesabu kama ujuavyo wataalamu wetu. ila fujo zilizokuwa zikiletwa pale hazikuwa nzuri. jaribu kuuliza mtu aliyekuwa pale...
mkuu hujakosea. sisi tunaishi uswahilini na tunaona jamaa hata hizi barabara za kwetu kwa mara ya kwanza katika historia ya tanzania zinajengwa tena kwa lami.
nyie mafisadi mliolifilisi taifa hili hamtaki kuona na sisi tunasonga mbele. kinawauma hata uwepo wa shule za kata kwa sababu mnajua...
probably the guy had no choice. aliambiwa afanye hivyo. yeye si wa kwanza, tunakumbuka nyerere alishawahi kumwambia Aboud Jumbe "you have to step down" historia hujirudia. hivi nilazima zitto uwe hapo chadema? unaelimu kwa nini unyanyasike kwa ajili ya dini yako tu? ya kabila laku tu? ya ukanda...
thanks mkuu maisha ya da silva ni very complicated. ni mtu aliyekulia kwenye shida, kaanza shule akiwa 10years na kuacha shule akiwa 12years, kukatika kidole akiwa kazini na kugombea urais 3 times zote akikosa. kwa mwenye nafasi ingieni kwenye wikipedia ya huyu jamaa, very interesting kwa kweli.
kwanini hii mada yako usingeipeleka kule kwenye jokes na mambo yanayofanana na hayo? hapa tunajadili great ideas kuhusu siasa na si hizi jokes zako hapa mara kuserebuka puffffffffffffff, leave me alone.
uzuri ni kwamba jamaa hana cha kupoteza sasa, 10years yake inaisha. hana chakuficha ndo maana anaweza sema haya hata hadharani. he has nothing to lose.
kwani ni wanachama wangapi wa vyama vya upinzani wanaajira. kuwa green gurd sio ajira, unatakiwa utafute kazi ya kufanya. chama hakiwezi kuajiri kila mtu. hebu nyie watu wachadema au cuf niambieni kama mnawalipa wanachama wenu wote mishahara ukiacha viongozi na hasa watendaji. poor thinking.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.