Search results

  1. G

    Nauza laptop

    Nauza laptop Elitebook HP 830g5 Resolution HD Cpu2.5 -3ghz Size 14 inch Bei 400,000 Location Dar Contact 0713307733
  2. G

    Msaada PC ina shida

    Kuna file nimelifungua ghafla desktop screen imefuta app na shortcut zote then ikaleta makorokocho Aya kama unavyoona
  3. G

    ADOBE ACROBATIC PRO

    Msaada mwenye maujuzi ya kupata iyo software na keys zake
  4. G

    Utaratibu wa kuanzisha medical herbalist clinic ukoje kwa Tanzania?

    Habari wakuu, Kama nilivyojieleza, utaratibu uko vipi? Naomba mchango wenu Sent using Jamii Forums mobile app
  5. G

    Nahitaji Vitz in good condition, Nina 6m

    Mwenye kuuza Vitz iwe vizuri,gearbox,engine na body safi.Number c. 0789747452 Tuma sms
  6. G

    Msaada kwenye tablet ya tecno7cpro

    Nilikuwa na scan kwakutumia 360security, ghafra screen imekuwa black and white. Msaada ndugu
  7. G

    Naitaji Spacio au Nadia

    Nataka used car in Tanzania,iwe katika alinzuri,budget ni 4.5 0789747452
  8. G

    Msaada: Matibabu ya meno

    Habari ndugu zangu,miaka 10 iliyopita Jino la mwisho taya la chini 'wisdom tooth ,lilimeguka nikaenda muhimbili wakapiga xray. Lilikuwa limeota vibaya kitaalamu (horizontal 3 molar cimpaction),baada ya madoctor kusoma ile xray wakaanza kulidiscuss kwa muda mrefu. Kama vile tatizo nikubwa...
  9. G

    Habari zenu bana

    1. Habari zenu wana team. 2. Habari zenu ma single lady wote. 3. Habari zenu ma single boys wote ambao mnaharibu mabinti wawatu mahusiano Miaka mitano na hakuna hata dalili ya Ndoa. 4. Habari zenu madada wote ambao mnamatarajio makubwa na ndoa lakini bado Mungu hajatoa kibali. 5. Habari zenu...
  10. G

    Msaada kisheria kuhusu mirathi

    vipi kwa kifo cha mwaka 1998 waweza kufungua kesi ya mirathi leo?Ni watoto 7wa mama tofauti,baba mdogo alijichagua kuwa msimamizi,sisi watoto wa bi mkubwa tulirithishwa kijijini na watoto wa bi mdogo mjini DSM.Kulikuwepo na kiwanja cha mzee kingine jirani na nyumba va Dar,dingi mdogo...
  11. G

    Mwenye number 0719949494 Mwizi wa simu

    Ameiba simu ya rafiki yangu jana,kosa alilolifanya, aliingiza line yake akachange WASAP number.Sasa ukiwa kwenye wasap group ukabadili number,wasap wanatuma notifocation kwenye group.Alipigiwa simu akawa anababaika,leo siku nzima amezima simu.Wana JF Tunamsaidiaje uyu rafiki
  12. G

    Form za TCU kwa wale form 6 waliopo jeshini

    Naomba kuuliza,wale ambao wapo jeshini matokeo yao yametoka leo,utaratibu wa kujaza fomu za TCU ukoje?
  13. G

    Mwalimu wa Chemistry na Biology anapatikana

    Habari za kazi wanawajf.Mimi ni mwalimu natafuta kazi ya kufundisha masomo ya biol na chem olevel na Alevel.Asante.0769 713247
  14. G

    Nauza Samsung I9500 Galaxy S4. 300,000 tu

    Nauza mimi mwenyewe kitu kipya kabisa nauza nina shida. G Network GSM 850 / 900 / 1800 / 1900 3G Network HSDPA 850 / 900 / 1900 / 2100 4G Network LTE (market dependent) SIM Micro-SIM Announced 2013, March Status Available. Released 2013, April BODY Dimensions 136.6 x 69.8 x 7.9 mm...
  15. G

    Manispaa hawajaingiza mshahara wangu

    habari zenu wana jf,mimi ni mwl wa manispaa ya kinondoni.Miezi miwili iliyopita manispaa waliniingizia pesa ya likizo ,kwa bahati nzuri au mbaya walinizidishia pesa.Baada ya wk 1 nikapigiwa sm na watu wa manispaa kunitaarifu walikosea wakaniingizia pesa ya mtu mwingine! Niliwaambia ngoja niende...
  16. G

    TBC kuonesha mechi zote za kombe la Dunia

    source TBC tv
  17. G

    Aibu niliyopata nakijifunza kutongoza

    Siku moja nilimtuma dada yangu anitongozee kadem fulani jirani yetu,si utani kipindi hicho bwana mdogo domo zege ,dada akafanya kazi yake akaniambia mtoto nimemsomesha na kaingia line kazi iliyobaki ni kwako! kiroo wacha kianze kudunda. Sasa kichekesho nilipokutana na mtoto ' nikaanza mambo...
  18. G

    jamani watu wabahili

    Bahili alinunua Mbuzi akamwambia Mpishi. "Nyama nusu ipike pilau na nyingine itie kwenye friji,kichwa fanya supu na miguu fanya mchuzi wa chukuchuku,ngozi usitupe tutafanya mkeka,utumbo pika na ndizi,mifupa tutawauzia wenye mbwa,kinyesi weka kwa ajili ya mbolea ya bustani"...Mpishi akamuuliza "...
  19. G

    MSAADA,tecno p3 imeogelea kwenye maji

    nimetoa battrry baada ya sk 3 nimerudishia battery inavibrate tu bila kuwaka,naomba msaada wenu.
Back
Top Bottom