Search results

  1. T

    Uchaguzi Afrika kila mtu na kabila lake- kama mko wachache sahauni ikulu

    Ukabila mara nyingi hunatumiwa na wanasisa katika mkabala wa uchaguzi.........wanasiasa huipata fursa ya kukusanya vijana wasio na ajira ya kudumu na kuwaonyesha jinsi chanzo cha shida zao zinasababishwa na kabila jirani. Tuondoe ufukara, ukabila utakosa makali.
  2. T

    I am a language teacher just in case you are interested

    Lugha ni sarufi pekee? bila msamiati itaeleweka je? waalimu kweli! Ni language teacher ama teacher of language?
  3. T

    I am a language teacher just in case you are interested

    Lugha ni sarufi pekee? bila msamiati itaeleweka je? waalimu kweli!
  4. T

    I am a language teacher just in case you are interested

    Lugha hutegemea ulikosomea....na Mwalimu wako. tuarifu ulikosomea, shahada yako na umaarufu wako.
  5. T

    Wakenya wawili wauawa baada ya matokeo ya mechi ya Ghana!!!

    Loooo.....! waache hawa jamaa wana issues zao.
  6. T

    East African Federation (EAF) public Views

    Wakuu, nawaamkueni! jamani dua langu JUKWAA LA EAC. hii EAC utaipata katika nyuzi katika karibu kila jukwaa - international, kiuchumi, elimu, kisheria, kitamaduni, kisiasa nk. ni bora masuala ya EAC yajadiliwe chini ya jukwaa lake. dua na mtazamo wangu.
  7. T

    East African Federation (EAF) public Views

    Wakuu nawaamkueni, dua langu ni kuanzishwe jukwaa la hii EAC. Naona kutakuwa na mengi kujadili kisiasa, kiuchumi, kitamaduni nk. na itakuwa vigumu kufuatilia nyuzi zinazotaja EAC katika majukwaa tofauti. Tayari kuna nyuzi kadhaa: zihamishwe JUKWAA LA EAC. dua na mtazamo wangu.
  8. T

    Muajiri ana haki kujua hali yako ya hiv?

    Ingawa ki-sheria, muajiri hana haki kujua hali ya mfanyakazi wake, waonaje kumuachia mtoto wako yaya usiyejua hali yake ya HIV?
  9. T

    Uigizaji husisha na wa jukwaa

    Tangu enzi za wagiriki uigizaji wa jukwaa procenium theatre umechukuliwa kuwa ndiyo theatre kamili. wanachuo wasomapo huwa wanasomea stage theatre. Lakini je ni ipi iliyo bora baina ya ile ya kuhusisha umati- ambayo ndiyo ya ki-afrika? Katika jukwaa, watazamaji huwa wachunguliaji tu - huku...
  10. T

    Hii ni coincedence...?

    The fact that they are identical twins autowatically reduces divides the chances by two. ukihesabu kila set kuwa mdungo mmoja....
  11. T

    Hesabu kibantu

    GIKUYU EMBU KAMBA MERU (eastern kenya bantus) 1. imwe 2. iiri, igiri,eri 3. itatu, ithatu 4. ina, inya 5. itano, ithano 6. itandatu, ithanthatu, ithathatu 7. muanza, mugwanja. 8. inana, inyanya 9. kenda 10. ikumi 11. ikumi na imwe... 30. miongo-itatu XLINGALA 1. moko 2...
  12. T

    Hesabu kibantu

    Asante, post lako hili limeniangazia upya kuwa kweli herufi 1 hadi 5 kwa kibantu zina shina moja. 1. imo, imwe, ........ 2. ibiri, shibiri, igiri, 3. isato, ithatu, itatu... 4. inei, inya, ina.... 5. isano, ithano, itano....
  13. T

    Hesabu kibantu

    unapojifunza lugha nyingi, msamiati wa kwanza huwa tarakimu moja hadi kumi. lakini wajua kuwa neno la herufi 3 ni karibu sawa katika asilimia 70 ya lugha za ki-bantu? wajua kuwa lugha nyingi huwa base 10- yaani ni mafungu ya kumi kumi. ishirini ni mafungu ya kumi mara mbili, mia ni makumi...
  14. T

    Naomba tafsiri

    Asanteni nyote kwa mchango wenu. nafikiri kila lugga ni kukuzwa na hivyo basi jina militarism naamua ni UJESHIJESHI. tayari nachangia liorodheshwe kwenwe kamusi.
  15. T

    Lahaja gani rasmi

    Basi yaelekea kila lahaja ina dai halali kuwa yao ndiyo....ndicho kiswahili halisi- wanachuoni watuamulie. kwanza waeke nguzo tutakazo fuata. Kiswahili ni nini? lugha halisi ni nini? nini uhusiano wa lugha bayana tamaduni? je, idadi ya waneni ni hoja? kazi kwetu wanaJF.
  16. T

    Lahaja gani rasmi

    Basi kulingana na logic yako ni sawa kusema kuwa kule waarabu walipokaa wakisubiri upepo ndiko walipata wanawake wa kibantu na vile vitoto vikaiga lugha kwanza za kibantu kisha upepo ulipowapepepusha mwambao na kukikuza kiswahili. itakuwa unreasonable kutarajia kiswahili kiwe sawia kote afrika...
  17. T

    Lahaja gani rasmi

    Jamani, tutambue kiswahili sawa na lugha zingine zi na ufupisho. hata katika braille zaitwa contractions. kote uswahilini neno mimi hufupishwa kuwa mi, neno nini - kwa mfano, pilipili usoila yakuwashiani? - hutamkwa 'ni'. majungu pia humezameza baadhi ya silabi. isn't it? Tofauti za matamshi...
  18. T

    Tanzanians lets talk more english...

    Yaelekea watanzania kila wanapojichunguza wana mazoea ya kujilinganisha na wengine. mara nyingi hujilinganisha na jirani wa upande wa kaskazini. Haya basi ndo hao....next tuwaige nini? ubepari, rushwa, ukabila, na Sasa ulipuaji mabomu!
  19. T

    Onyancha: I kill and drink their blood... A Kenyan serial killer with 20 victims

    The guy comes out as a serial killer, with a cultist bent, and trying his hand in being a hijacker. each of this is bad enough - and the guy has THREE of this! Like all serial killers the guy is intelligent and had a ritual to go with the murders. it was when he added the kidnapping thing that...
  20. T

    Kasheshe jijini Nairobi...Continuing Updates on Investigations

    Obama anakashifiwa kwa kuunga mkono upande mmoja wa kampeni hizo kiasi kwamba anamtuma makamu Biden. Marekani wana nia gani afrika mashariki? baada ya kenya ulowezi utawaelekeza wapi? Idadi wa wenda zao huku ikiongezeka na manusura kujitokeza, wanaochochea ghasia - iwe wana-YES ama wana-NO...
Back
Top Bottom