Search results

  1. WA MAMNDENII

    Showcase fridge ya biashara

    Habari wadau, Nataka kufungua ka grocery kangu nipate hapo japo mia 2 mia 2, sasa issue napata utata kati ya fridge brand ya Boss au Hisence showcase. Naombeni wazoefu au wataalam wa hizi mambo ili nifanye maamuzi mujarab
  2. WA MAMNDENII

    Kupotelea ni neno sahihi?

    Asante mkuu kwa ufafanuzi
  3. WA MAMNDENII

    Kupotelea ni neno sahihi?

    Naomba kujuzwa kama ni sahihi kutumia neno tajwa kwenye lugha yetu adhimu ya Kiswahili, mfano " Barua ilipotelea ofisini kwako "
  4. WA MAMNDENII

    Car4Sale Mitsubishi Canter inauzwa

    Mazungumzo yapo braza ,we toa offer yako
  5. WA MAMNDENII

    Car4Sale Mitsubishi Canter inauzwa

    Condition: Used Eng Type : 4D33D YOM : 1993 Eng CC : 3660 Location : Mbezi Jogoo , Dsm Price: TZS 25M Contact : 0788 907760
  6. WA MAMNDENII

    Operation Wet-i-e Counter-Coup

    Imekaa vyema sana, big up broda
  7. WA MAMNDENII

    Sababu za Kubadili Jina kwenye Uraia(Birth certificate) wa Tanzania

    Hii topic ishajadiliwa mara kadhaa kwenye hili jukwa la sheria , jaribu ku search. Kwa kifupu japo mi si mwanasheria ni kwamba, Cheti cha kuzaliwa ikishapita 2 yrs tangia kisajiliwe RITA hawahusiki tena na mabadiliko ya chochote kwenye cheti, unatakiwa umwone mwanasheria kwa ushauri nadhani...
  8. WA MAMNDENII

    Kubadilisha Jina kwenye cheti cha kuzaliwa

    Ok , hii nayo yakuzingatia ,noted mkuu
  9. WA MAMNDENII

    Kubadilisha Jina kwenye cheti cha kuzaliwa

    Habarini wabobezi wa hili jukwaa, kuna binti wa shem wangu amesoma shule hadi f4 kutumia majina ya babu yake cause alilelewa na nyanya yk, cheti cha kuzaliwa kinasoma majina ya baba yke mzazi. Navyojua academic certificates kubadilika kwenda kwa jina la cheti cha kuzaliwa ni ngumu unless...
  10. WA MAMNDENII

    Haki ya kudai na kilipwa fedha ya pango pasipo na mkataba wa maandishi

    Wakuu naomba kujuzwa hii imekaaje kisheria , endapo nimempangisha mtu chumba akakitumia kwa muda mrefu bila kunilipa kodi na hakuna mkataba wa maandishi tuliofanya, Je, nguvu ya kudai malipo yangu ya kodi ikoje kisheria ?
  11. WA MAMNDENII

    Wawekezaji Sekta ya Mifugo

    Pole mkuu kwa changamoto ulizopata, hope hutokatishwa tamaa .natamani kuunganishwa na hao wanaokuletea nipate Gala dume la mbegu ,mi nimeanza na hawa wa kwetu kienyeji nafugia mlandizi
  12. WA MAMNDENII

    Je, Ole Sabaya kushitakiwa?

    Duuu!!
  13. WA MAMNDENII

    Naombeni msaada Tafsiri sahihi ya maana ya neno lililoandikwa before 40 kwenye picha ambatishwa

    Asante mkuu, nimetelezea google lens kiulaini kinyama , kweli hili jukwaa ni kisima cha ilmu dunia . Big up
  14. WA MAMNDENII

    Naombeni msaada Tafsiri sahihi ya maana ya neno lililoandikwa before 40 kwenye picha ambatishwa

    Hakika mkuu ,ila naamin hii thread ikipitiwa na wabobezi wa lugha ya Hiho watanisaidia
Back
Top Bottom