Search results

  1. mgeni3

    Kwanini jeshi la marekani limeanza doria kusini mwa bahari ya china?

    Lengo la kufanya hivyo nikutaka kumtikisa mchina kiuchumi.
  2. mgeni3

    Msaada malware kwenye Android

    Unaweza ukafanya mwenyewe kka, but soma kidogo maelezo ndo ufanye
  3. mgeni3

    Msaada malware kwenye Android

    Hamjaelewa.... Hata ukiroot hyo kitu huwa haitoki coz imekuwa part ya system ukiiuninstall ukiizima Inapowaka inakwambia android upgrading ndo inaingiza tena, na sasa hvi ipo kwenye tecno, samsung even lg g2 moja nnayo hapa nimeletewa inatatizo kama hlo hilo... Mbaya zaidi zina ingia mpaka...
  4. mgeni3

    Msaada tatizo la Network simu ya Samsung Note 3

    Check kama imei namba ipo kwa kubonyeza *#06# Kama haipo nenda kwa fundi wakaiandikie hilo ndo huwa linafanya simu ifanye hvyo
  5. mgeni3

    Nina tatizo la simu kwenye android tecno H5

    Ina virus kaka ni very common kwa simu za tecno sasa hvi.... download stockrom ya tecno iwipe yote kwa kutumia flashtool afu iandikie system tena ndo itarudi katika hali ya kawaida.
  6. mgeni3

    Live updates: MTVMAMA Awards 2015!

    Kuna vitu vya kujifunza hapa... Nigeria wametwaa tuzo zaidi ya sita na almost kila msanii kapata tuzo moja.. maana yake walikuwa na wawakilishi zaidi ya 6, EMBU WAAMBIE WASANII WENGINE WA TANZANIA WAPUNGUZE UVIVU, TUZO KUBWA HAZINA LIMIT KUWA MWISHO MUENDE WAWAKILISHI WANGAPI. KINGINE EMBU...
  7. mgeni3

    Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

    Duh! Ndio maana walienda baada ya nominees kutangazwa si eti eeeh!?
  8. mgeni3

    Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

    Duh.... kaka umesema niko wrong kuhusu vanesa kuwa mmoja wa majaji ndio nimeulza hao maacademy kazi yao nin haujanijibu unaleta maelezo mengine. Anyway kwangu mimi haijalishi nani kashinda wasanii wote wanafanya kazi vizuri na wanastahili pongezi, hapo nlikuwa najaribu kueleza kwanin malalamiko...
  9. mgeni3

    Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

    Mfumo ulitumika hauangalii ubora wa msanii wala uwezo wake check BET mfano wao wanatumia majaji kama 500 kama mnakumbuka vanessa mdee alikuwa mmoja wao mwaka jana hvi ndio huwa wanachambua nani anastahili. kwa international awards huwa kuna majaji na kuna kitu inaitwa country votes inaangaliwa...
  10. mgeni3

    Mtazamo: Hata Kiba akifikia levo za Diamond zitaundwa team za kumshusha

    Watanzania hawamchukii kaka mkubwa ila ni wasanii wenzake ndio hao wanatengeneza magroup ya kuchafuana, kwa mfano sasa hvi ukiingia instagram kila anayepromo davido apigiwe kula mcheck profile yake utaona picha ni nani hasaa kamtuma, na pia most of hizo akaunti ni fake so kuna uwezekano mkubwa...
  11. mgeni3

    African Achievers Awards - Letter to Diamond Platinumz

    Hahahhaaaaaa. . .sasa cha kufanya mnyanyueni na huyo mnaemtaka ili tumpigie kula, sisi hatuna shida cha msingi awe mtanzania tu. Si sio kipaji ni akina nyie na mlimweka wenyewe muwekeni na hyo mwingne mnae mtaka Nigeria wanawasanii wawili pale wanawawakilisha. Tafsiri yake ni ubora sio lazma awe...
  12. mgeni3

    Nawezaje Ku-restore OS ya Smartphone iliyozima Ghafla?

    kama ni htc one mini kwa haraka haraka, check ukichomeka kwenye computer inafanyaje... kama hakuna response yoyote jaribu kushikiria power button na cha volume - kwa kama sekunde 20 hvi huku simu ikiwa imechomekwa bado kwenye computer.. kama bado iko kimya jaribu kutumia spirit au petrol...
  13. mgeni3

    Msaada ku-install playstore au appstore kwenye nokia XL

    install custom rom, uwe unatumia pure android ndani yake kuna playstore na features kibao za android.... one of the best custom roms kwa hyo simu yako ni Lewa os na s5mini rom [ROM][NOKIA X/XL][OTA] Lewa OS 5.1 (26-09-20… | Nokia X | XDA Forums
  14. mgeni3

    msaada wa haraka ku unlock apple id ktk ipad mini

    muulize vizuri kuna watu huwa wanashindwa kutofautisha huenda ni bypass yeye anasema anaremove
  15. mgeni3

    msaada wa haraka ku unlock apple id ktk ipad mini

    kuna kubypass unatumia evrythng fine isipokuwa 3g na gsm network.... kama simu inakuwa kama ipod tu using wifi!! ila hyo kitu ni bure kbsaa hata wewe unaweza ukafanya, kuna servers huwa wanazitumia
  16. mgeni3

    How to unlock the locked sony xperia!

    ni network lock au passcode za kawaida kaka? Jaribu kurepair kwa kutumia Sony pc companion, google kuna maelezo mazuri tu ya namna ya kufanya kutumia hyo software
  17. mgeni3

    Samsung trend tg-s7568i

    teh teh teh teh.....ingia kwenye forums za kichina afu utafute kaka!!
  18. mgeni3

    Kuna mtu yoyote anayeweza ku crack apple ID on IOS7

    actually inawezekana sasa hivi, sema kama ni simu itakuwa kama ipod hakuna mtandao just wifi..... kuna post nlitoa inamaelezo ya namna y akubypass hyo apple id au activation lock
  19. mgeni3

    Vodacom Unlimited Data bundle for 1000/= Tshs.

    kaka hiyo speed kwa IDM ni kubwa sana afu MBPS kwenye dashboard ni ndogo, ukiconvert hzifiki huko..... must be a 1time thing
Back
Top Bottom