Search results

  1. T

    Mtanzania ijue vizuri Escrow

    MTANZANIA MWENZANGU IJUE VIZURI ( ESCROW) Ndugu zangu watanzania napenda nichukue fursa hii niwakumbushe machache kuhusu hili sakata la Escrow maana tumedanganywa sana sasa tuseme inatosha maana ata vitabu vitakatifu vinaeleza bayana kwamba watu wangu wemeangamia kwa kukosa maarifa Ndugu...
  2. T

    Wabunge wa CCM waanza kupinga hoja ya Kumg'oa Naibu Spika, Tulia Ackson

    Ulitaka akae na ww mjinga?? Acha msomi mwenye hadhi ya kmataifa akae na msomi mwenzie. Yan Prof. Anna anakaa na mwanasheria mkuu alosomea marekani
  3. T

    Wabunge wa CCM waanza kupinga hoja ya Kumg'oa Naibu Spika, Tulia Ackson

    Ww no mwehu kweli sijui umekula maharage gani wewe. Sijui unauwendawazimu wewe. Alokuroga na kukwambia pesa za escrow ni zako ninanii?? Km no zako nenda mahakaman au nenda ukazichukue punguwani ww. Usilete cheap politics hapa ww cc no wasomi
  4. T

    Wabunge wa CCM waanza kupinga hoja ya Kumg'oa Naibu Spika, Tulia Ackson

    Prof. Nimkweli sana big up prof. Upon vzr sn kisera na kimkakat na umeongea ukweli mtupu mama. Long live
  5. T

    Wabunge wa CCM waanza kupinga hoja ya Kumg'oa Naibu Spika, Tulia Ackson

    Prof. Anna Tibaijukal no mkweli sana kwa hill. No mama msomi asiependa ubaguzi was aina yoyote ile. Big up sana mama prof. And long li Mwizi ni mama yako na babu yako. Prof. Anna tibaijuka ni msafi sana na anaheshma zake kitaifa na kimataifa
  6. T

    Baada ya M4C kutinga Mtwara, wabunge wa huko waanza kushtuka

    Prof. Anna tibaijuka anaongea ukweli kabisa. Mama tibahijuka nimkweli sana na hapendi ubaguzi was kijinsia wala itikadi wala dini. Anapenda usawa kwa wrote. Mungu akutangulie mama prof. Wetu mzalendo wa Tanzania
  7. T

    Prof. Anna Tibaijuka ni kiongozi safi na hao wanaotumwa kumchafua wataaibika tu

    Uutaaminije wakat ww co Prof.?? Pia utaaminije wakat ww ni miongn mwa watu wanaotumika km kondom na hao same zako wanaokuhonga pesa ili umchafue Prof. Anna !!!
  8. T

    Prof. Anna Tibaijuka ni kiongozi safi na hao wanaotumwa kumchafua wataaibika tu

    Ushauri utafika lakn ukwel utabaki palepale Kuwa mama ni msafi sana lakn hajajua siasa za Tanzania kuwa ni za maji taka za uzushi na uongo kibao. Wakat yy hapend uongo na nimkweli na muwazi sn kwaiyo watu wanajarb kumchafua lakn mwishowe waliozusha wanaonekana ni waongo. Mama in msafi an na CV...
  9. T

    Tibaijuka Kitanzini Tena, Atuhumiwia Kujimilikisha Shamba Hekari 4,000

    Acheni uongo nyie na kutumika kama London kumchafua mama huyu. Prof. Ni msafi an na hakuna ukweli juu ya hili.
  10. T

    Prof. Anna Tibaijuka ni kiongozi safi na hao wanaotumwa kumchafua wataaibika tu

    Kiukweli kabisa Prof. Anna Tibaijuka ninaemjua mm no mkweli mzalendo no NDA maendeleo ya watanzania mchapa kazi msomi na anaetumia usomi wake vizuri kwa jamii ya kitanzania mwenye CV hai na nzuri sana kimataifa MTU was mungu na mwenye hofu ya mungu na mwanamke shjaa ndani ya jamii ya wanawake na...
  11. T

    Prof. Anna Tibaijuka ni kiongozi safi na hao wanaotumwa kumchafua wataaibika tu

    Jaman hiyo taarifa nimeipitia na kwa kuwa wengi hawataiona ni vizuri kutoa ufafanuzi kidogo. Habari husika imetoka bungen baada ya Mbunge viti maalumu Ma Conchesta Rwamlaza( CHADEMA), kuchangia kwenye mjadala wa hotuba ya Wizara ya Ardhi. Katika mchango wake Mh. Rwamlaza alisema Mh. Prof...
  12. T

    Haya ndiyo maelezo ya prof. Tibaijuka kwa waandishi wa habari

    Mpk Acha uzandaki we mpk bichwa we. Umeongea uongo
  13. T

    Haya ndiyo maelezo ya prof. Tibaijuka kwa waandishi wa habari

    Ume Umeona eeh. That's true
  14. T

    Haya ndiyo maelezo ya prof. Tibaijuka kwa waandishi wa habari

    Baadhi ya watanzania wasiomtakia mema mama yetu Prof. Anna Tibaijuka washindwe na waregee na waanguke kifo cha mende. Wasimchunganishe na mh. Rais wetu kwa kuendelea kutumwa na watu ambao wanamaono has na mama yetu. Jamii Forum wamepost uongo. Ni watu waliolipwa kunichafua na kunigonganisha na...
  15. T

  16. T

Back
Top Bottom