Search results

  1. skydmx

    DStv now Account

    Wakuu natumaini salama Naomba kama kuna member anataka kuuza account ya dstv now anione pm. Nahitaji kutumia ktk simu - please sitaki iptv za dstv
  2. skydmx

    Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

    http://viptv-pro.com:25461/get.php?username=elitiptv&password=4h1EGiYx&type=m3u
  3. skydmx

    Kwanini dish (king'amuzi) chako kinasumbua signal mara kwa mara!?

    Azam Tumalizieni tatizo la Apps mpaka sasa halipo sawa-
  4. skydmx

    Kwanini dish (king'amuzi) chako kinasumbua signal mara kwa mara!?

    Azam acheni lazima muwe makini sana yaani dish mpaka apps zote mamtatizo tu - matatizo hamkujua kuyafyatua isipokua ligi imeanza. mlitakiwa kufanya haya mapema kabla ya ligi-- apps imekua kama ya ndigila masanja!
  5. skydmx

    Udhaifu app ya AzamTV Max - wahalifu wanaweza kuitumia bure

    Naoba unitupie link ya aza two p
  6. skydmx

    Wana tech msaada wa app ya Whatsapp inayoruhusu kuforward kwa watu wengi

    hapana sio group ni members unawachagua kisha unakua unao daima kwa kuwatumia same meseji kwa wote yaani kama vile kuforward.
  7. skydmx

    Akaunti ya Netflix

    Ukitaka account ya netflix nione pm - bei chee kabisa
  8. skydmx

    Msaada: Malipo ya Netflix

    Mkuu ukitaka nitakuuzia netflix kwa bei poa sana muda wa mwezi. nione pm whatsap +1 5155180006
  9. skydmx

    Wataalamu wa Samsung, hii shida inatatulikaje?

    Hii ni waya HDMI Cable unaotoka katika decoder to Tv ndio shida. Badilisha waya kwanza.
  10. skydmx

    AZAM Apps

    wangefanya kama package za nnchi zingine unalipia kidogo unatizama ktk simu--- sasa wenyewe wanataka tununue decoder wakati wengine tupo huku india hata signal hatupati... fanyeni maendeleo jamani.
  11. skydmx

    AZAM Apps

    nashukuru sana mkuu
  12. skydmx

    AZAM Apps

    Natumaini wadau hamjambo- wengine tupo nnje ya nchi na hua tunatumia sana azam application kutizama program za kiswahili pia na habari za nyumbani ila kwa sasa tunaona matangazo tu leo siku kama ya nne. je kuna taarifa zozote kwanini zimekatwa? nashukuru sana
Back
Top Bottom