Search results

  1. Mukulu wa Bakulu

    Rais Samia, Umekwishalipa Fadhila Kwa Waasisi wa CCM, Sasa Fanya Kazi Yako Kama Rais

    Makamba ni ukoo wa panya. Mwamvita makamba baada ya kupata deal la maana tanesco akaacha kazi Vodacom. Makambas ni watu wa hovyo sana wasiofaa kwa lolote, yule mzee wa hovyo mkamba viatu wakuu. Yuko tayari kusema lolote ili mradi kutetea watoto wake. Samia amefanya jambo jema sana kuondoa...
  2. Mukulu wa Bakulu

    MTWARA: Rais Samia afukuza kazi kuanzia RAS, DC, DED mpaka DAS. Awaonya wateule wanaofanya kazi kwa mazoea,kushindwa kuwasikiliza na kuwajali Wananchi

    Rais amesikiliza kilio cha wananchi kwa kuondoa kirusi tanesco kwa kuondoa makamba na mazao yake. Makamba na maharage ndio ilikua tatizo tanesco. Watu wa hovyo kabisa toka Tanzania ipate uhuru. Ukoo wa makamba ni ukoo wa panya
  3. Mukulu wa Bakulu

    Asante Rais Samia kwa Kumtumbua Maharage wa TANESCO. Naomba apelekwe Mahakamani

    Makamba na Maharage ni wezi Maharage amekaa Tanesco miaka 2 hajaacha legacy yoyote, miaka miwili ilikua ni PR na kuiba hela tu mikataba isiyo na kichwa wala miguu wakiwa na Makamba.
  4. Mukulu wa Bakulu

    Uchawi upo jamani tukazane kumuomba Mungu

    Achana na imani za kijinga. Uchawi wala ushirikina ama ama kiujiza, ulozi haupo.
  5. Mukulu wa Bakulu

    Kwanini mnatumia njia ndefu sana za kumtafutia Sababu za Kumuondoa CEO wa 'Umeme Tanzania?

    Mkuu acha mihemko. Matengenezo gani yamegharimu 7 trilioni? Taarifa ya serikali ni bwawa limetumia trilioni 6.7 ila hadi sasa imelipwa trilioni 5+ Hizo figures zako unazitoa wapi? Fuatilia taarifa halisi ya serikali mkuu achana na hadithi za vijiweni.
  6. Mukulu wa Bakulu

    Picha za jiji la Montreal Canada

    Umeandika huku ukiwa umekalia mashine ama nini? Mambo ya kuabudu wazungu yametoka wapi tena?
  7. Mukulu wa Bakulu

    Kwanini mnatumia njia ndefu sana za kumtafutia Sababu za Kumuondoa CEO wa 'Umeme Tanzania?

    Maharage haondoki pale ni stori tu za watu. Kwa sababu msingi wa tatizo la umeme ni Tanzania kutokua na vyanzo vipya vya umeme wakati mahitaji yameongezeka. Sasa kwa sasa hata apewe malaika Gabriel kuongoza tanesco tatizo hili la upungufu wa umeme halitaisha hadi pale bwawa la mwalimu Nyerere...
  8. Mukulu wa Bakulu

    Picha za jiji la Montreal Canada

    Canada ni nchi iliyoendelea, sio nchi inayoendelea. Mashariki ya kati na mbali ni nchi zinazoendelea ndio maana unakna majengo ya mitindo mipya. Montreal ilishaendelea. Jambo la pili, kuyabadilisha hayo majengo yawe na mavioo vioo na kuwaka waka kama yaliyoko china sio kazi ngumu, ni kazi...
  9. Mukulu wa Bakulu

    Maharage ana uwezo kweli kuendesha shirika la kitaalam kama TANESCO?

    Sio kweli. Kinyerezi 1 ina 180MW na kinyerezi 2 ina 240 MW. Mengine ya kwako sijasoma kwa sababu hayana maana kwa sababu umeanza ma uongo sina sababu ya kusoma uharo wako mwingine.
  10. Mukulu wa Bakulu

    Maharage ana uwezo kweli kuendesha shirika la kitaalam kama TANESCO?

    Matatizo ya umeme nchini ni historical, nchi imekua, watu wameongezeka lakini vyanzo vya umeme vikabaki vile vile. Sasa kwa hali ya sasa hata awekwe malaika kuongoza tanesco mgao ama upungufu wa umeme uko pale pale kwa sababu mahitaji ni makubwa kuliko vyanzo vya uzalishaji. Magufuli aliwaza...
  11. Mukulu wa Bakulu

    Msaada kwa wenye kufahamu kuhusu malipo ya Serikali

    Huu ni uongo mkubwa sana. Mfumo wa BOT hausumbui na hauna shida.
  12. Mukulu wa Bakulu

    Shule za Tanzania zina mashariti ya kishamba, hili tukio lilitokeaga Moshi

    Mkuu unapeleka mtoto kwa ajili ya kupata divisheni one?
  13. Mukulu wa Bakulu

    Shule za Tanzania zina mashariti ya kishamba, hili tukio lilitokeaga Moshi

    Mkuu umekuja pale nilikua nasema. Sasa hao mainjinia 50 walioshindwa mtihani ukitafta wako waliosoma seminari ama private za maana Tanzania na waliosoma kayumba, no difference. Shida iko kwenye mfumo wa elimu, hakuna tofauti kati ya aliesoma private ama government.
  14. Mukulu wa Bakulu

    Shule za Tanzania zina mashariti ya kishamba, hili tukio lilitokeaga Moshi

    Exposure is a broader term, nipe specific exposure anayoipata aliesoma private kuliko wa serikalini. Halafu aliekwambia sina hela ni nani? Nimekuuliza swali wewe unaenda kwenye personal life yangu wakati hunijui, ama umekua mke wangu hadi ujue maisha yangu kwamba sina hela?
  15. Mukulu wa Bakulu

    January ame out-source majukumu yake?

    Miaka 10 ndio hii, hakuna malengo yoyote ni rushwa tu
  16. Mukulu wa Bakulu

    Ujinga wa Wanawake wa Kiafrika

    Mkuu hukupigwa miti kweli huko San Diego?
  17. Mukulu wa Bakulu

    Shule za Tanzania zina mashariti ya kishamba, hili tukio lilitokeaga Moshi

    Ili nisiendelee kujifariji unaweza kunisaidia kujua tofauti yao mkuu ili nijifunze zaidi? Tuki assume wote wana divisheni 1 ama wote wana divisheni zero. Unawezaje kuwatofautisha?
  18. Mukulu wa Bakulu

    Shule za Tanzania zina mashariti ya kishamba, hili tukio lilitokeaga Moshi

    Kujifariji kitu gani? Niambie tofauti yao basi ili nisijifariji. Niambie tofauti ya mtoto aliesoma private school ukalipa ada 8m na aliesoma shule ya bure halafu wote wana divisheni 1 ya pointi 12 ama wote wana zero. Nini kinaweza kuwatofautisha? Ama uniambie basi tofauti yao wote wamemaliza...
  19. Mukulu wa Bakulu

    Shule za Tanzania zina mashariti ya kishamba, hili tukio lilitokeaga Moshi

    Peleka mtoto shule ya serikali hakuna huo ujinga. Kwa Tanzania ya sasa kusomesha mtoto shule za private ni kupoteza hela kwa sababu wakimaliza form six ama four, hakuna kinachowatofautisha kati ya kusoma private ya milioni 8 na kusoma shule ya bure, wote ni zero brain, no life skills, no...
  20. Mukulu wa Bakulu

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Yule ni mwizi pro max, hawezi kurudi pale.
Back
Top Bottom