Search results

  1. mxsdk

    Naitaji air compressor used!

    Rejea kichwa habari apo juu,naitaji air compressor ambayo used Kwa matumizi ya kujazia upepo!Kwa mwenye anayo anauza njoo pm tuyamalize lakini weka specification zake!
  2. mxsdk

    Basi la Tashriff lateketea Kwa moto, Pongwe muda huu!

    Basi la Tashriff namba T361, lililokuwa linaelekea dar kutoka tanga, linateketea Kwa moto mudaa huu . Basi lililokuwa linaelekea Dar Es Salaam limeteketea lote kwa moto karibu na mizani Pongwe Mkoani Tanga Taarifa za awali zinasema hakuna vifo wala majeruhi
  3. mxsdk

    Kaa mbali na mtu anayeongea lugha,kama ni mpenzi wako muache.

    Lugha 18 za hatari 1)Sina mtaji - 2)Sina Connection 3)Nitaanza rasmi kesho 4)Mimi ni wa hivihivi tu 5)Mifumo mibovu ya Serikali ndiyo inayonirudisha nyuma 6) Mke/mme/ndugu zangu Ndiyo walioniangusha/kunitenda/kikwazo 7)Kupata ni majaliwa 8)Usilazimishe mambo 9)Kuna watu special siyo mimi...
  4. mxsdk

    Tukiwa tunafanya mambo mbalimbali tunatakiwa kujiuliza maswali haya..

    TUKIWA TUNAFANYA MAMBO MBALIMBALI IWE MBELE ZA WATU AU TUNAPOKUWA PEKE YETU NI VIZURI KUJIULIZA HAYA MASWALI: 1.Kwanini nafanya hiki kitu? Hapa hakikisha unapata jibu la kwanini ufanye. 2.Nataka nifanikishe kitu gani katika kufanya hiki kitu? Yaani unapofanya kitu unataka matokeo yawe nini...
  5. mxsdk

    Mambo 7 muhimu katika mahusiano, uchumba na ndoa

    1.Upendo wa dhati 2.Ukweli 3.Uwazi 4.Uaminifu 5.Uvumilivu 6.Msimamo thabiti 7.Mawasiliano N.B: HEKIMA NA BUSARA ndio msingi wa hayo yote. hakikisha upo vizuri katika hayo yote na safari yako ya mahusiano itakuwa salama.
  6. mxsdk

    Yanini kujawa na roho ya kiburi, Inakusaidia au inakubomolea?!

    Roho ya kiburi imemwagika duniani na vijana wengi wameingiwa na kiburi. Sifa kuu ya kiburi ni kujiona mkamilifu na kutokuwa tayari kukosolewa, kushauriwa na kurekebishwa. Kiburi husababishwa na fedha, elimu, muonekano, aina ya marafiki na ndugu alionao mtu na wakati mwingine mtu anakuwa na...
  7. mxsdk

    Tuwe karibu na wanawake na kuwajali nyakati zote

    Hivi karibuni nilienda hospitali moja hapa Tanga maeneo ya Mjini kati (JINA KAPUNI SITOLITAJA) kumtembelea rafiki yangu aliyekuwa amelazwa. Nilikuwa nimekaa mapokezi nikisubiri ruhusa ya kuingia wodini. Ndipo niliposikia kelele za kilio cha haja kutoka dirisha la chumba nilichokuwa nikitizama...
  8. mxsdk

    Ebu litambue hili na uliweke kichwani mwako(baby number one)

    EBU LITAMBUE HILI NA ULIWEKE KICHWANI MWAKO (BABY NUMBER ONE). Sio kazi ngumu sana kuelewa mwanamke anaekupenda kiukweli. Mwanamke anaekupenda kweli hawezi kukuomba wewe kitu chochote bali atachohitaji kutoka kwako sana sana ni muda wako na 'attention' yako kwake. Hayo mengine kuhusu pesa...
  9. mxsdk

    Hebu jifunze kuitunza ndoa yako ewe mwanamke uliyeolewa.

    1. Muite kwa jina lake la utani 2. Muache atumie mamlaka yake kama kichwa cha nyumba. 3. Usimcheke akiwa ameumizwa na jambo fulani. 4. Kaa kimya pale anapokuwa na hasira. Unaweza ukaenda kumuomba msamaha na kumueleza kwanini ulimkosea pale hasira zinapokua zimemuisha. 5. Kuwa na haraka ya...
  10. mxsdk

    Ishushe hiyo mizigo

    1..Umejipa jukumu la kuwa "mpelelezi" wa maisha ya wengine na umesahau maisha yako. 2..Umebeba vinyongo na visasi moyoni vinavyokufanya uwafikirie waliokuumiza zaidi kuliko kufikiria furaha na maendeleo yako. 3..Una marafiki wengi ambao ni kama kupe, wapo kukutumia tu na hawachangii lolote...
  11. mxsdk

    Swali langu kwako: Je penzi lako ni la ndoa au la kustarehesha miili ya watu?

    “Hapana huyu si mume wangu, ila niko naye tu kwa ajili ya kujipumzisha” “Aah, yule msichana wa jana usiku? Siyo mchumba wangu, ‘nazuga’ naye tu, mchumba wangu yuko masomoni.” “Hapana yule ni ‘demu’ wangu mwingine, mwenyewe amesafiri” Hizi ni baadhi ya kauli ambazo watu huzitaja kuelezea namna...
  12. mxsdk

    Mtandao wa Tigo mnakera sana

    Yani jijini Tanga tikea asubuhi mawasiliano yamekuwa mabovu kwa 100% unampigia simu mtu alafu unashtuka uliyempigia siye wakati namba iko sahihi, hivi nyie TCRA kazi yenu ni nini? Mbona mnawachekea hawa Tigo kwa huduma mbovu hivi? Hivi nyie TCRA nikisema haumjui mkifanyacho, nitakuwa nmekosea...
Back
Top Bottom