Search results

  1. ndama1

    MREJESHO: Ushauri Gari yangu haichanganyi speed mwisho 60km/h

    Ndugu wana Jf napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa wale members wote waliotoa mchango wao wa mawazo, elimu, ushauri atimae nimefanikiwa kusolve tatizo LA gari yangu. Gari yangu in Toyota Voltz tatizo lake kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza. Kwa awamu ya kwanza kabla sijaomba...
  2. ndama1

    Ushauri Gari yangu aichanganyi speed mwisho 60 tu!

    Nomba ushauri gari yangu TOYOTA VOLTZ ugonjwa wake gari ni nzito nikapeleka garage za mtaani wakafungua gear box na kubadilisha hydrolic cha ajabu imekuwa ata afadhali na awali imekuwa nzito zaidi. Nomba mwenye kujua au mwenye kunishauri anisaidie ili niweze kujua namna ya kuweza kupata...
  3. ndama1

    Mahaba niuweee!

  4. ndama1

    Kapeti jekundu!

  5. ndama1

    Hasira hasara!

  6. ndama1

    Viatu vya mchuchumio!

  7. ndama1

    Honda CR-V & Mazda Tribute

    Ndugu waheshimiwa, Plani yangu ilikuwa kuagiza Voltz bahati mbaya bajeti imegoma, nikaona nitafute gari nyingine, SUV, itayoendana na hali ya mfuko wangu na hali ya barabara ninakoishi. Gari tajwa hapo juu nahitaji mojawapo. Naomba ushauri wenu kwa wenye nazo au experience na hizo gari hasa...
  8. ndama1

    Honda HR-V

    Ndugu JF wenzangu leo katika pita website za usedcars Japan nimeona gari aina HONDA HR-V SUV drive 4WD engine cc1600 bei yake 2500 dollas. Ninavyojua mimi gari hizi bei yake huwa juu sana lakini hii bei cheap na cc ndogo na nimeipenda kutokana na kipato changu na hali ya barabara ninakoishi...
  9. ndama1

    Nauza umbwa!!

  10. ndama1

    Natafuta Binti wa kuoa

    Natafuta binti wa kuoa umri 23 - 27, sibagui dini wala kabila awe na elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea, mimi ni mkazi wa Dar na ni mwajiliwa serikalini, umri wangu miaka 29.
  11. ndama1

    Car4Sale Kwa wanaohitaji kwa ajili ya spares

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza iko chalinze mkoa wa pwani, imebondeka mbele injini nzima kwa anae hitaji BEI MAELEWANO PM
  12. ndama1

    Shikamoo babu.!

  13. ndama1

    Kilicho nishangaza.!

  14. ndama1

    Baunsa!

  15. ndama1

    Nyasi za bandia

  16. ndama1

    Mbunge wa Jamaica

  17. ndama1

    Napiga picha bei chee.!

    Napiga picha
Back
Top Bottom