Search results

  1. ndama1

    ACT Wazalendo yamtaka Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kufika Rufiji haraka

    Mafuriko hayo waliyakuta yapo miaka yote yapo kama Kilosa Morogoro.!
  2. ndama1

    Orodha ya Watanzania maarufu waliokufa bila kujenga nyumba

    Kwani nani alikuambia duniani in makazi ya kudumu? Sisi wote tunapita sasa tujenge ili iweje?
  3. ndama1

    Januari Makamba: Wanaohoji kuchelewa Mradi wa JNHPP ni upuuzi tu

    Huu jamaa sijawahi kumuelewa.!
  4. ndama1

    Wasifu wa Rais Samia Suluhu Hassan

    Hapo kwenye EDUCATION hapaeleweki kabisaa.! Yaani inaonesha kila shule kasoma mwaka mmoja mmoja.
  5. ndama1

    Makonda naye ahudhuria maadhimisho ya mwaka mwaka mmoja wa kifo cha Magufuli

    Wangemruhusu na Sabaya akafanye kumbukizi kwa fathergod.
  6. ndama1

    Gavana BoT: Nchi haiweki rehani Watu wake inapochukua Mikopo

    Airport ya Entebbe Uganda imechukuliwa na China ishu hizo hizo za mikopo. Sasa we unatueleza nini sasa?
  7. ndama1

    Tanzania huenda ikatuchukua karne nzima kumpata Rais Samia mwingine

    Kwenye namba 2 na 3 hapo broo tumepigwa na kitu kizito.
  8. ndama1

    Nahitaji kujua kama jiwe hili lina dhahabu

    Nami ninajiwe linaendana na hilo lina rangi mbalimbali nimeamua kulihifadhi kabatini endapo nitapata wataamu nitawahusisha ili wanishauri.
  9. ndama1

    Jinsi ya Kusajili kampuni katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Broo nomba muongozo taratibu za kujisajiri TBS.
  10. ndama1

    Natafuta Mchumba

    Nicheki tuyajenge basi mi nipo Moro.!
  11. ndama1

    Ona mambo ya Magufuli nyanda za juu

    Sio kweli nyanda za juu kusini atuna sehem kama hiyo.!
  12. ndama1

    Uhitaji wa soko la mahindi na maharage Morogoro

    Debe unauzaje broo! Nipe bei tufanye biashara au nicheki 0712555352
  13. ndama1

    Idadi ya mbu niliowaua usiku huu kwa makofi

    We kauzu balaa.
  14. ndama1

    Tuliopoteza Vyeti Vs Changamoto za Necta

    Jamani anaejua taratibu za kufuata atueleze basi maana naona mada inahamia kwa aliye maliza shule miaka ya 1990.
  15. ndama1

    Service ya kufanya kwa ajili ya masafa marefu

    Mafundi Watakapo kuwa wanafanya services akikisha umesimamia. Mi mwaka jana nilikuwa nasafiri naenda Mbeya nilipeleka gari services. Kumbe fundi ni muhuni akuweka Gear box oil ya kutosha na Mimi ata sikuangalia kujiridhisha nikaanza safari tu. Nilikaanga gear box maeneo ya Igurusi
  16. ndama1

    Msaada: Namna bora ya kuua paka pori/shume kwa sumu

    Mi nilitega sumu ya panya paka wawili ambao ni wasumbufu wamekufa mtaani.
  17. ndama1

    Wachimbaji visima virefu vya maji safi, wasiliana nasi

    Mambo vp! nisaidie namba zenu tuwasiliane.
  18. ndama1

    Wapi naweza kupata wauzaji wa mayai ya kisasa kwa bei ya jumla.

    Broo! VP mayai bado yanapatikana.? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom