Malipo ya PAYE yanatofautiana. Siku zote kwenye hili punguzo hawajawahi kuwagusa wanaopata kuanzia 720000. Hili kundi linalipa kodi kubwa sana. 25% nadhani ndio huwa wanakatwa kwa mwezi.
Wamebeba mastree yote ya dunia hii. Matusi yako mlangoni yanatoka tu bila hodi. Asee sipati picha akiongea live inakuwaje na hayo malezi yakujivunia ni tabu tu.
Hakuna cha watoto kuwa na akili nyingi hapo. Huwa mnadhani kulea mtoto wa kumkuta tena mkubwa ni kazi rahisi? Watoto wameshalelewa malezi ya aina tofauti tofauti kuwa weka kwenye mstari anaotaka mtu ni kazi kubwa sana. Ni bora kukuta mtoto mdogo chini ya miaka mitano huyo utamnyoosha au mkubwa...
Eeee wewe sasa hutofautiani na baba watoto wa zamani yaani mwanzoni tu unakalika hivi. Niache tu nijipange kurudi nikilalamikia wazee wa fursa wamefanya yao wakasepa.
Wameokoka wanaogopa kutoa wamezoea vya kukuta njia ishatengenezwa. Kwa hiyo hawapo kabisa wapo tu hapa wanasoma na kutoa michango. Wanaume nao si wanaakili nyingi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.