Search results

  1. R

    LUMIA

    Habarini wakuu,natafuta microsoft lumia 950xl,kwa dar es slaam naweza kuipata wap and for how much?
  2. R

    DATE

    Wakuu habarini za usiku,nilikua naomba msaada kidogo,ni sehemu gani kwa hapa dar ni nzuri "for having a date with a woman",neither cheap nor expensive,just middle class and romanting kwa hapa dar ?
  3. R

    Profile yangu inanichanganya

    Na mimi limenikuta hilolhilo,profile inasema niko provisionally selected to NIT ila jina halipo na ni kama NIT wameshamaliza kutoa majina
  4. R

    Microsoft smartphones

    Habarini wakuu, ni wap naweza kupata microsoft lumia 950/950xl hapa dar maana online (jumia,kaymu,kupatana) zijaziona ?
  5. R

    Wapi wanatoa course za web design?

    Za wakati wakuu,ni wap wanatoa short course ya web designing na wako vizuri hapa dar ?
  6. R

    Nambeni mbinu za kupata one night stand kutoka kwa huyu dada

    Hamna haja ya ushauri maana mpaka umeamua kuacha mabegi kwake ulikua tayari unplan nzima kichwani ndo maana ukaona starting point ni kudeposit luggage,just finish what you started
  7. R

    Binamu yangu anapenda kukaa utupu kila akiniona sijui kwanini?

    kwahiyo ina maana hamna aliewahi lala kwa nduguye na utuuzima wake ?
  8. R

    Je, huu ni uungwana? La hasha huu si uungwana

    unaniambia huyo mwanamke hafai halafu baadaye unamtambulisha eti huyu shemeji yenu
  9. R

    Chemsha Bongo

    marafiki ni watatu hivyo kila mmoja alirudishiwa 1$ ambayo kwaujumla ni 3$ ambayo ukijumlisha na 25$ ni 28$ ambayo ukijumlisha na 2$ ya karani unapata 30$ Nafikiri jibu ni hamna $ iliyopotea
  10. R

    Human brains analysis: Woman vs Man

    i'd say no. 5 is true,women are good at spotting lies and men are good at getting caught
  11. R

    Wapenda kuvunja amri ya sita hii kitu inawahusu

    mwanaume anakua confident na mwenye midadi ya hali ya juu na mwanamke hua mwoga juu ya wanachoenda kufanya(wakati wa kwenda).mwanamke hua aibu na majuto na hataki kuwepo sehemu ya tukio na mwanaume hua mtaratibu maana kamaliza kazi(wakati wa kuondoka)
  12. R

    Naomba kufahamu bei za lumia 720 , 730 na galaxy s2

    Naomba kujua bei ya simu tajwa hapo juu zikiwa mpya.
  13. R

    Wabongo kwa misemo mimi hoi

    hata samaki avuliwe vipi hawezi ishinda chupi
  14. R

    Online purchasing with kaymu

    naomba msaada na maelezo ya jinsi ya kununua na kulipia bidhaa kwenye kaymu kwa wale waliowahi kujaribu
Back
Top Bottom