Search results

  1. P

    Jamani nipeni RUKSA mama wa miaka 56, i am 24yrs

    Kulingana na ulivyomsifia huyo mama kubwa, umeanza kumtamani, ukimruhusu akuzoee sana, believe u me utaingia mkenge na kula mzigo. Ilishawahi nitokea. Ila huaga ni watamu sana. Take care!
  2. P

    Baada ya engagement ring mwenzenu nimemegewa

    Heshima zenu wote wana JF. Hii ni story ya kweli. Jamani naomba ushauri kwa sababu mwenzenu nimechanganyikiwa. Nina mchumba wangu ambaye nimefahamiana takribani miaka miwil sasa. Miezi sita ilopita niliamua kutangaza nia ya kweli na kumfisha engagement ring tena mbele ya wanafamilia wote...
  3. P

    5000-7000-10000-viingilio TAIFA STARS VS MOROCCO

    Hii mechi itaanza saa ngapi?Kama ni usiku si wa Kibaha itakua ngumu kutia timu
  4. P

    Nimeshikwa pabaya - wakuu naomba msaada tutani!

    Dhu! Umetolewa kafara mkuu. pole sana.
  5. P

    Nissan Terrano for sale

    Hii ni biashara. weka details za kutosha kuhusu gari lako ikiwemo picha nk.
  6. P

    Je waweza?

    My phone is a personal property, hapewi mtu cmu wala nini. Wala sina mpango wa kuangalia cmu yake.
  7. P

    Raha ya Ubazazi/Cheating!... (?)

    To me, forgiving a cheater is a mission impossible, especially when it happens that i know the dude who fucked my cheater (wyf/gf). Its an insult of its own kind.
  8. P

    Nipo njia panda

    If you want to be happy in your marriage, you must do justice to your heart just now & marry the women you truely love. I had the same problem, my xGF was 2 years older than me, almost everybody, including some church elders adviced me to leave her, all I had to do was to find a good reason to...
  9. P

    Vituko vya ndoa Jamani

    Usimwachishe kazi, kama mshahara wake ananunulia mahitaji yake binafsi sioni tatizo kwani anakupunguzia matumizi kiasi fulani. Ukimwachisha kazi jitayarishe kuongeza matumizi ndani ya nyumba. Usichoke kumshauri umuhimu wa cost sharing.
  10. P

    Madhara ya cunninglus

    Hii ni balaa sasa, juzi tu ndo nlikua nachimba madini kwa mamsapu wangu, na ameanza kuizoea na hadi anaomba mwenyewe. Leo akitaka niingie chumvini hanipati ngo! ntamwambia nawashwa mdomoni.
  11. P

    Orodha ya Haki za Wapendanao - Tumia haki yako!

    Na hio article 13 je? this will be a hook for most couples to hang their excuses baada ya kua wamechoshana and it will encourage promiscouosity, and I think one side will suffer more.
  12. P

    A young couple, married just a couple of weeks………

    Mie ningempeleka chuo cha hotel management akasomee mambo ya misosi na gharama zote wanalipia wazazi wake kwan ndo waliomdekedeza mwanao.
  13. P

    Fahari ya macho ni kuona

    Wizi mtupu! ila kanaonekana ni katamu
  14. P

    Askari Waliowalazimisha Wanawake Kunyonya Sehemu Zao Za Siri Kukiona –Pinda

    These guys from Tarime know how to use swords( mapanga shaa) , how comes they did'nt castrate even one askari. can u imagine an askari forcing your mom, sister or wife kushika na kulamba microphone!
  15. P

    The Key To Paradise

    Dhu imekaa vizuri! Nowadys kids are super smart. Huyu mama yamemkuta.
  16. P

    Ndoa yangu imeanza kuingia kirusi cha aina yake

    WanaJF. Nina miezi mitano kwenye ndoa tuliyofunga kiserikali kwa sababu za kidini, kama kawaida maisha yanaendelelea vizuri bila migogoro yoyote. My wife anatabia ya kunieleza kila kitu tukiwa chumbani, yaani ni muwazi sana. Kila akikaribia siku zake anatoa tarifa, lakini mwezi ulopita...
  17. P

    Assalamu allaykum

    Allaykum asallamu wabarakatu
  18. P

    Mume 'ameamua' kuwa na mtoto 'nje ya ndoa'!!!

    Huyu jamaa alitaka ajihakikishie kua yeye hana reproductive problems, kwa miaka 23 amepanda mtoto wa pili kwa mke wake hajaona chochote.
  19. P

    Mapenzi Yanapozidi..

    Dhuu! ndo kufa na kuzikana
Back
Top Bottom