Search results

  1. UTC

    Mwenge-Tegeta Road: Poorly designed, poorly constructed! Nani awajibike?

    Kama unatoka mjini, ukifika Africana huo mchepuo unaokuwezesha kufanya right turn unaitwa "deceleration lane" sio acc***
  2. UTC

    Top 5 Underrated Football Players Of All Time

    ...Didi conceded a penalty which was saved by Petr...of-course Didi grabbed the equalizer...but then Petr had his finger nails on Bastian penalty!
  3. UTC

    Top 5 Underrated Football Players Of All Time

    by match: Work done by Petr Cech was underrated during the CL final btn CFC and Bayern Munchen...much of the credit was directed to Didi!
  4. UTC

    Wanaume wengi hupenda baadae

    ...super!
  5. UTC

    Wanaume wengi hupenda baadae

    ...relax...too uptight!
  6. UTC

    Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    Mdau, Umebobea kwenye shughuli gani? Umeajiriwa kwenye shughuli gani? Unaishi wapi? Umeoa/olewa? Kama umeoa "partner" wako anajishughulisha na nini?
  7. UTC

    Tahadhari kali kwa nyote mlio na magari binafsi; chunga sana na waambie wengine!

    ...well said! Unakuta mtu hajafanya "body workout" mwaka mzima...halafu from nowhere yupo TANZAM Highway anaitafuta Mbeya kabla ya giza!
  8. UTC

    Naomba kufahamu kuhusu Wi-Fi

    Ni kweli kabisa! Wakati mwingine usiwe mvivu wa kuandika sawasawa!
  9. UTC

    PCB na PCM ipi ni ngumu advance kusoma

    Zote rahisi; Usipende kuwaza ku-fail kabla hujaanza kitu!
  10. UTC

    Nani anamkumbuka huyu mbabe wa Muvi,kubwa la maadui!!

    Usimchang'anye na Antonio Banderas
  11. UTC

    CRDB bank inafilisika?

    acha semantics...ni sawa na mimi kusema wanawake wote ni malaya wakati si mjui mama yako!
  12. UTC

    CRDB bank inafilisika?

    Unaweza kujenga hoja bila kuwa stereotype!
  13. UTC

    Leo nimeweka full tank

    Tofauti ndogo au hebu tizama kwa hivi; Mafuta mengi zaidi yanaongeza uzito wa gari hivyo engine itatumia nguvu zaidi kwa safari ile ile au Kama una jirani bonge kimtindo unayempa lift anakutia hasara ya mafuta kutoka na uzito wake!
  14. UTC

    Nani anamkumbuka huyu mbabe wa Muvi,kubwa la maadui!!

    Amrish Puri died 12.01.2005
  15. UTC

    Kwanini Mama wa Kambo huwa na Visa?

    Unyama wa hali ya juu.
  16. UTC

    List ya watu 10 wenye IQ kubwa duniani

    Ten years later, Malcolm Gladwell brought up a similar question, but in the context of personal success. Why are some people more successful than others? Is it their IQ or is it their ability to get other people to do what they want, a skill he calls Practical Intelligence. In a fascinating...
  17. UTC

    Kwanini NASA hawakurudi tena mwezini?

    ...hata mimi simuamini Snowden wala eti wikileaks...naamini NSA
  18. UTC

    Msaada juu ya kujenga nyumba Dar es salaam

    Shark gharama za "design services" kamwe haziwezi kuwa nusu ya gharama za "actual works". In most cases zinakuwa single-digit percent ya "actual work contract".
  19. UTC

    Msaada juu ya kujenga nyumba Dar es salaam

    Kujenga huwa rahisi sana kama planning ni nzuri. Tafuta architect mpeleke site, mweleze unachotaka, kubaliana naye bei, akikupa michoro angalia kama ndo unachotaka, kama sio asahihishe, tafuta engineer afanye structural design, tafuta electrical engineer akufanyie design ya umeme, i.e. AC...
Back
Top Bottom