Search results

  1. Sufian Jr

    Ajira ya kujitolea dawasa

    Wakuu Habari, Zenu nilibahatika kuhitimu course ya water supply and sanitation engineering pale chuo cha maji ubungo kwa ngazi ya NTA 4. Changamoto ambayo nakutana nayo katika hivi vituo vya dawasa Ata nafasi ya kupatia uzoefu nakosa namaanisha kujitolea ngumu ila wapo form 4 leavers dawasa...
  2. Sufian Jr

    Anayefahamu vyuo vya kuendesha mitambo Afrika Kusini

    Habari naulizia kwa yoyote anayefahamu vyuo vinavyofundisha kozi za kuendesha mitambo south africa na kama wanafanya process za kubadili cheti maana nna cheti Cha forklift Cha hapa TZ Kwa yoyote anayefahamu hivyo vyuo anijulishe kozi nnayo itaka Sana ni EXCAVATOR .. na kwa mwenye uelewa vizuri...
  3. Sufian Jr

    Naombeni ushauri juu ya utafutaji wa kazi nchi za Canada, Sweden na Norway kama Forklift Operator

    Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu mi ni kijana wa Kitanzania nadhamira yangu kubwa ni kutaka kuthubutu kwenda nchi za ng'ambo kutafuta ridhiki. Nimebahatika kupata diploma in water supply and sanitation engineering pia baada ya msoto mrefu nikasomea Mambo ya kuendesha mitambo ijulikanayo kama...
Back
Top Bottom