Search results

  1. karanga mbichi

    kwa mwenye ile clip ya mh Rais akitaja namba zake za simu tafadhali akiweke hapa.

    Jana nikifatilia mkutano wa rais na wafanyabiashara nilipitwa na sehemu ya hotuba/maagizo ya mh rais magufuli kwa mama samiah mpaka alipotaja namba zake za simu..
  2. karanga mbichi

    Guide alieko seronera airport awasiliane na mimi haraka

    kwa yeyote ambae yupo serengeti seronera muda huu au anajamaa yupo serengeti anijuze nimpe wqgeni watatu sasa hivi..0787803577
  3. karanga mbichi

    Nini dawa au unachoweza kufanya mpaka mdaiwa wako sugu akulipe?

    Wanajamvi kuna mambo yanakera anakuja mtu unaeheshimiana nae sana,anaomba mkopo let say anataka laki tano Na unampa huku akiahidi kukupatia ndani ya siku mbili. Lakini kifuatacho baada ya kumpa nikama ndio umempa ticket ya kutosalimiana,kukupigia simu wala kukutafuta,nimejaribu kutumia njia za...
  4. karanga mbichi

    Nyumba ya kupanga inatakiwa haraka arusha

    Nyumba ya kupanga inatakiwa self contained,iwe na eneo kubwa na parking,garden na fans yenye security systeam,iwe na vyumba kuanzia viwili au vitatu kimoja au viwili viwe ni masterbedroom Kama unayo wasiliana nami kwa whatsap no +97455783566 Tuma pic ya nyumba ndani na nje. Iwe eneo linalofikika...
  5. karanga mbichi

    Nina silva kg mbili soko liko wapi wadau

    Nina madini yangu hapa kidogo silver kg mbili kwa anaenunua au kujua soko aje tufanye biashara
  6. karanga mbichi

    Blandina gregory binti aliezaliwa bila mikono na miguu

    Dada BRANDINA GREGORY mlemavu asie na miguu na mikono ila anaandika vizuri mwanafunzi kidato cha 4 shule ya sekondari kaliua mkoa Tabora anahitaji msaada wako kwa ajili ya mahitaji yake 1. CHOO anasema anateseka sana choo anachotumia ni kile wanachotumia wazima pale wanapoweka miguu wazima yeye...
  7. karanga mbichi

    Blandina Gregory mlemavu aliezaliwa bila miguu wala mikono mwenye nia ya kuwa mwanasheria

    Ni mwanafunzi wa kidato cha nne shule ya Secondari Kaliua mkoani Tabora wilaya ya Kaliua. Alizaliwa hana miguu wala mikono na mpaka sasa anamudu kuandika vizuri na kufanya shughuli zake ndogo ndogo. Ana ndoto za kuwa mwanasheria mkubwa nchini atakaesimama kuwatetea hasa watoto wakike...
  8. karanga mbichi

    Kuachwa kufungiwa wimbo wa ney wamitego WAPO ilikuwa kuficha aibu au ulikidhi vigezo?

    Wakuu nimefatilia nyimbo zote kumi na tano zilizofungiwa, Mpaka sasa wimbo wa young D bongo bahati mbaya sijui wametumia vigezo gani kuufungia,hapo ndipo nikawa namaswali kibao mojawapo ni kuhusu wimbo wa ney wamitego,Wapo. Wimbo ulifungiwa na mwakyembe,siku mbili baadae mkulu akauachia,nikabaki...
  9. karanga mbichi

    Noah road Tour inahitajika haraka.

    Kama unauza au unamjua mtu mwenye noah road tour anayoiuza njoo inbox au nichek whatsap no +97455783566 Iwe arusha au moshi.
  10. karanga mbichi

    Noah no D inahitajika haraka, kama unayo unauza iwe Arusha au Moshi

    Kama una noah no D unauza arusha au moshi nichek whatsap no +97455783566
  11. karanga mbichi

    Noah namba D inahitajika haraka

    Kama upo arusha au Moshi unauza gari noah namba D iwe haijawahi kuanguka/kunyooshwa nicheck whatsap no +97455783566 tuzungumze,,pia tuma picha za gari
  12. karanga mbichi

    Pikipiki aina ya Toyo 150cc ipo Arusha Inauzwa

    Pikipiki aina ya Toyo 150cc inahali nzuri kabisa inamiezi kumi.haijawahi kutumika kama bodaboda inauzwa..mmiliki amehamishwa kikazi hivyo inauzwa.kama upo arusha wasiliana na muhusika kwa 0787803577.pia no ipo whatsap....
  13. karanga mbichi

    Tahadhari: Veronica Anthony na Anthony Wilium Lwitiko; Matapeli wakubwa katika Forex

    Kumekuwa na makundi tofauti tofauti katika whatsapp yanayoibuka Ili kumvutia mtu awekeze pesa ili wajanja wazipige kwa kisingizio cha kutrade ili upewe mpaka 70%ya mtaji wako in 4days only. Makundi hayo ni kama tajirika na forex,forex investors nk. Vinara wa wizi huu ni Dada mmoja anaejulikana...
  14. karanga mbichi

    Je unahitaji fundi wa kupaua nyumba yako??

    Kwa muonekano mzuri wa kisasa katika paa la nyumba yako hapa ni sehemu sahihi kwa kazi hiyo. tupo arusha na tunafanya kazi mahali popote tanzania...wasikiana kwa no ....
  15. karanga mbichi

    Kwa anayeuza azam dish aje tufanye biashara

    Kama upo arusha na unauza azam dish(package nzima)nijuze hapa tufanye biashara,,,iwe used au new brand,,,bei isizidi 150000/=
  16. karanga mbichi

    Nahitaji projector nzuri brand ya Sony

    Kama Upo dsm na unafahamu au unauza projector nzuri na za kiwango cha juu njoo tufanye biashara. Nichek ktk no hiyo
  17. karanga mbichi

    Toyota spacio new model inatakiwa,,

    kama upo arusha na una gari ya kuuza spacio namba C-D njoo inbox tuzungumze,offer ni 7.5--8 mil.
  18. karanga mbichi

    kama una chet cha computer na ni msichana umri usizidi 24yrs na use mrembo nicheki inbox

    kama unasifa hizo tajwa hapo juu tafadhali nicheki inbox kwa no zo nikupe shav vodacom,hii ni kwa wakazi wa arusha tu.
  19. karanga mbichi

    Polisi Morogoro tafadhali msishiriki dhambi hii ya dhulma,mungu amawaona!!

    leo jioni nimepokea hbr za kusikitisha saana,kaka yangu ni mkulima wa eneo la dumila,Jana amepeleka mazao yake kuuza ambapo yalifikia mikononi mwa madalali,wakaelewana kuwa wauze mzigo then pesa wapeane Leo tar 30/10/2016 mzigo wote ulikuwa na thamani ya mil 4.6.cha kushangaza Jana wakakamatwa...
  20. karanga mbichi

    Wizi wa wazi unaofanywa na trafiki Ubungo udhibitiwe

    Kumekuwa na tabia ya skari wa barabarani kituo cha mabasi ubungo kuwakamata bodaboda na kuwadai fedha (rushwa)ili waachiwe. Askari hao wameunda vikosi kazi vya vijana wahuni wa hapo,,vijana hao hufanya kazi ya kuzunguka maeneo mbali mbali na kukamata pikipiki.kisha huzipeleka alipo askari...
Back
Top Bottom