Search results

  1. karanga mbichi

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Natafuta wimbo ulioimbwa na bob Ludala,(asante kwa kunizalia mtoto) Pia wimbo wa tarsis masela ft dada mmoja sijui kurjan jina kama sijakosea
  2. karanga mbichi

    Katuni za Masoud Kipanya (Special thread)

    Duh mkuu umetumia tafsida ngumu kwa wengi
  3. karanga mbichi

    Katuni za Masoud Kipanya (Special thread)

    💪💪💪💪hahaha true
  4. karanga mbichi

    Katuni za Masoud Kipanya (Special thread)

    Moja ya watu wanaofikirisha sana akili kila unaposoma au kutazama katuni zake ni huyu mr Kipanya!!huyu jamaa ana iq ya hali ya juu sana.na jambo la kufurahisha katuni zake nyingi ni katika kutoa dira ya tulikotoka,tulipo na tunakoelekea kama taifa....hongera sana KIPANYA
  5. karanga mbichi

    kwa mwenye ile clip ya mh Rais akitaja namba zake za simu tafadhali akiweke hapa.

    Jana nikifatilia mkutano wa rais na wafanyabiashara nilipitwa na sehemu ya hotuba/maagizo ya mh rais magufuli kwa mama samiah mpaka alipotaja namba zake za simu..
  6. karanga mbichi

    ARUSHA: Watu 2 wafariki papo hapo... Ni katika Mashindano ya magari

    Hivi yule jamaa wa majengo ya chini Tasha huwa anasubaru ya Blue amepona?
  7. karanga mbichi

    Guide alieko seronera airport awasiliane na mimi haraka

    Hahahaha dah we jamaa,,,asante kwa neno lako pia
  8. karanga mbichi

    Guide alieko seronera airport awasiliane na mimi haraka

    kwa yeyote ambae yupo serengeti seronera muda huu au anajamaa yupo serengeti anijuze nimpe wqgeni watatu sasa hivi..0787803577
  9. karanga mbichi

    Nini dawa au unachoweza kufanya mpaka mdaiwa wako sugu akulipe?

    Kununua papuchi kwa laki tano mkuu huo ni uhujumu uchumi
  10. karanga mbichi

    Nini dawa au unachoweza kufanya mpaka mdaiwa wako sugu akulipe?

    😄😄😄duh inshort kwa jibu hilo hapa niandike maumivu sasa
  11. karanga mbichi

    Nini dawa au unachoweza kufanya mpaka mdaiwa wako sugu akulipe?

    Wanajamvi kuna mambo yanakera anakuja mtu unaeheshimiana nae sana,anaomba mkopo let say anataka laki tano Na unampa huku akiahidi kukupatia ndani ya siku mbili. Lakini kifuatacho baada ya kumpa nikama ndio umempa ticket ya kutosalimiana,kukupigia simu wala kukutafuta,nimejaribu kutumia njia za...
  12. karanga mbichi

    Mwenyekiti wa kitongoji cha Usinge Kati anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kulawiti

    Ngoja nimuulize jamaa yangu anaishi usinge kama hii taarifa anaifahamu,,,,mkuu Saidi Hamisi Luje hebu njoo utufafanulie hapa
  13. karanga mbichi

    Biashara ya Kuonesha Mpira wa Miguu (Kibanda-umiza): Fahamu Kiasi cha Mtaji, Vifaa na Mbinu za Uendeshaji

    Kuhusu biashara hiyo kiukweli inalipa sana,ushauri wangu,nunua decorder za Q-sat,hizi sanasana kwa tanzania unaweza kuzipata zanzibar,au pia huku nilipo U.A.E zinapatikans na ndio zinazotumika 95% Ukiwa na dish la FTA utaweza kupata channel zaidi ya mia tatu,na pia utaona ligi zote kubwa duniani...
Back
Top Bottom