Search results

  1. paulndasi9

    Hivi ni kweli Marehemu Kanumba hakuwahi kuwa na mtoto?

    Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu nikiwa katika shuguli zangu hapa mkoani rukwa wilaya ya sumbawanga nakutana na hii stori kwamba huyu gwiji wafiramu Tanzania marehemu stivin kanumba alizaa na mwanamke mmoja ambaye yeye kwa maelezo yake alidai alikua mfanya kazi wake sikutaka...
  2. paulndasi9

    Ikitokea CHADEMA wakatangaza kuahirisha UKUTA kesho, je watatoa sababu gani? Na je wataeleweka?

    Kiukweli MKUU pasco kalibu yote ulio yatabili Leo yameongelewa
  3. paulndasi9

    This is good

    Mange kimambi povu linamtoka huko insa siasa mchezo huu hauitaji hasira ukiwa na hasira utaumia sana
  4. paulndasi9

    CHADEMA: Msimamo wetu wa kufanya mikutano nchi nzima upo palepale

    Hii siku ya Leo nilijua ita kuwa siku tofauti na siku nyingine mpaka mdaa huu jua lina elekea kuzama sija ona wajenzi wa UKUTA wakileta tarifa za ujenzi wa ukuta duu kweli kelele za chula...................... Nime kumbuka na lile la dodoma
  5. paulndasi9

    KKKT kurejesha serikalini shilingi milioni 129 baada ya kubanwa na TAKUKURU

    Hawa ni mafisadii kabisaa baba yangu alikuwa dactari alistafu kazi serikarin kuna shilika moja la Roma wana hosptarii kubwa tuu na nying hapa nchin walikuja wakamwomba baba yangu nayee akaenda bila kinyongo toka mwaka 2006 alikuwa analipwa mshala na serikal na sary slip zilikua zinatoka hazina...
  6. paulndasi9

    Msaada juu ya bayport

    Naombeni msaadaa juu ya hii baypotr mimi nimeekopa mkopo wa miaka mitano na vigezoo vyootee tukawa tume kubaliana sasa cha kushangazaa hawa jamaa wana kata kimaaa cha juuu saana nina takiwa nibaki na moja ya tano ya mshala wangu lakini hata hiyoo siiipatiii basic saly ni 360000tsh nikipigaa...
  7. paulndasi9

    Anakipajii anahitajii kuendelezwaa hebu cheeki

    Kiukwelii imee ni vutiaa saana kipaji kama hichii kinaitajii kuendelezwaa ili kisipotee haya yotee ameyafanyaa kwa kuunganisha miti na vyumaa baadhiii
  8. paulndasi9

    Anakipajii anahitajii kuendelezwaa hebu cheeki

    Hiyooo ni pikpiki alioo iundaa mmfano wa guta na kuiwekeea injini ya pikipiki
  9. paulndasi9

    Anakipajii anahitajii kuendelezwaa hebu cheeki

    Kipajii cha huyuu jama ndichoo kilichoo nifnya nimtafutee hukoo kijijini kwakee
  10. paulndasi9

    Mahakama Kuu Kanda ya Dar: Marufuku Mikusanyiko ndani ya mita 200 baada ya kupiga kura

    Nimefurahishwa na maamuzi ya mahakama kuu juu ya swala la mita 200 ili kulindaa kura mahakama imewatosa wana ukawa na hamna cha mita 200 wala nini piga kura uka subili kwako sasa wewe sijui nani vilee ubisheee
  11. paulndasi9

    Mama Magufuli yuko wapi, mbona hamsaidii Mumewe kwenye kampeni?

    Hahaha alimpiga dolee mkee wa mweshimiwaaa daaa mama katili kampiga jamaa na maik daaa nishidaaa mama mlevii. Ikulu hawaendii walevii jameni
  12. paulndasi9

    Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

    Jaamaa wewe zoba hiyo michoro yakoo ya kijinga kuna watuu walikua waanangalia screen na weengine waana mwoona raisii moja kwa mojaa hamna editing hapo rofa we
  13. paulndasi9

    Hivi watu watakao ipigia kura CCM ni akina nani? Tuache ushabiki pembeni tuzungumze ukweli

    Hilo swalii ujiulizee tarehe 26 kuamkia tarehe 27 /10/2015 jibu utalipataa sawaa ww siunaangalia kwenyee tiv tuu ukiona umatii basi wotee wapiga kulaa angalia usijee kufaa bwana
  14. paulndasi9

    Kesho Magufuli yupo Mwembe Yanga, mdhamini mkuu Makamba

    Hapa kazii tuu utasikia limtuu linaniuliza UNA SEMA HAPA KAZI TUU NAHUKU HUNA KAZI nina kazii tena nimejiajil ndio maana na sema hapa kazii tuuu mijituu haitakii kujishugulishaa inasubili hela kama za tasafu etii nayeenyewe ipewe duuu naionea hulumaaa
  15. paulndasi9

    PPRA yaibua ufisadi mkubwa katika wizara, idara, wakala za serikali

    Hapa kazii tuuu majunguu pelekeni huko
  16. paulndasi9

    PPRA yaibua ufisadi mkubwa katika wizara, idara, wakala za serikali

    Kwahioo hao mlionao wao ni vibaka au manaaa hata kama hauelew kweli mmetumia miaka nane kutuaminisha kuwa lowasa ni fisadi leo mnatumia siku 60 kumsafishaa tena kwanguvu zotee kuwa sii fisaaadi kama mngekuwa na nia ya kwelii kwanini msingee fanya uchunguzii wakini kablaa ya kumbana mpaka...
Back
Top Bottom