Search results

  1. Shida na raha

    Na ubahili wangu lakini kwa huyu dada nilizama mfukoni

    Habari za majukumu wakubwa na wadogo.. Nilikutana na mdada mmoja fb ambae anakaa G/mboto wakati namtokea mwanzo alikua ananizungusha sasa nikaona nitakuja kumkosa kwa uzembe wangu usio na faida ikabidi nibadilishe gia angani. Niliamua kupiga nae stori za hapa na pale mpaka nikamwambia sector...
  2. Shida na raha

    Ushauri wakuu: Mke wangu amenichagulia mke wa pili nimuoe

    Habari za majukumu wakubwa.. Kama kichwa cha habari kinavosema hapo juu. Leo baada ya kutoka kitandani mke wangu ameniomba kitu ambacho kimenishangaza na sikuamini kwamba angefikia hatua ya kunishawishi nioe mke ambae amempenda yeye. STORI INAANZA: Kuna jirani yangu ana mdogo wake wa kike...
  3. Shida na raha

    Alinitapeli lakini kutokana na maisha yake nimeamua kumsamehe

    Habari za majukumu wakubwa na wadogo.. Nina siku sijapost chochote hapa lakini leo nimeamua nije nishee na nyinyi hapa. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.. Nilikutana na mdada mmoja mtandaoni fb akanifata messenger na kunisalimia, lakini baada ya salam nikataka kumjua ni nani...
  4. Shida na raha

    Huyu mzee asipokuwa makini kuna siku atalia kilio cha mbwa.

    Habari za wikiend wakuu.. Kuna mzee mmoja mfanya kazi mwenzangu lakini kwasasa amekua mtu wangu wa karibu kwa kila kitu. Akiwa na shida labda ya kuhusiana na miamala anajaribu kujiweka wazi sana hadi namuonea huruma maana nahisi siku akifanya kwa mtu mwengine atamliza. Ishu ni kwamba hajui...
  5. Shida na raha

    Niulize swali lolote kuhusiana na wapemba na Pemba yenyewe..

    Habari za majukumu wakuu.. Bila kusahau kwamba leo ni Ijumaa nawakumbusha ibada kwa wale wenzangu nami. Rudi kwenye mada.. Kama inavojieleza hapo juu nawakaribisha sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Shida na raha

    Jamani kumbe humu muna visu vikali hatari.

    Habari zenu wakuu..niende moja kwa moja kwenye mada. Kuna watu humu wanakua wanaponda sana wadada wa jf kwamba hamna kitu sijui wengi umri umeenda na maneno mengi yasiyo ya kweli. Lakini kwa macho yangu nimebahatika kupata marafiki kama wanne wa kike aiseee ni hatari. Ubaya hatukuanzisha mada...
  7. Shida na raha

    Wadada wengi hutupoteza nguvu za kiume baada ya kuuliza haya maswali ya kijinga

    Niende moja kwa moja kwenye maada... Mdada unapelekwa kwenye chumba kizuri haujawahi kuingia tangu kuzaliwa kwako humo mwisho wako ni viguest vumbi vilivyopo vichochoroni halafu unaleta mashauzi. Kitu unachotakiwa kuuliza "baby kuna sehemu ya kupata chakula cha usiku karibu hapa?" Lakini...
  8. Shida na raha

    Je, kuna ulazima wa kutoa pesa ya chakula kwa wakwe kama hujaamua?

    Habari za majukumu wakuu.. Nimekuja na swali langu hapa ambalo limetokana na mke wangu.. Ishu ni hivi.. Wife nimemwambia sikukuu inakaribia na mishahara hatuwezijua itatangulia au sikukuu ndo itatangulia? Nimemwambia ikiwa bado siku moja nenda benk katoe mahitaji watumie nyumbani na kwa bibi...
  9. Shida na raha

    Ama kweli nimeamini kikulacho kinguoni mwako...sitakaa nimuamini tena mtu yoyote.

    Habari za majukumu wakubwa na wadogo.. Niko na rafiki yangu wa karibu mfanyakazi mwenzangu, jirani yangu wa damu. Ndani ya kipindi hiki kidogo cha mda wiki kama mbili nilimuagiza rafiki yangu aninunulie tv ya inch 32 used pamoja na king'amuzi cha Zanzibar cable. Nilimwambia TV ya inch hiyo...
  10. Shida na raha

    Ushauri: Nataka kuweka advance ili ninunue nyumba.

    Habari za majukumu wakubwa na wadogo. Adhima ya kuleta uzi huu ni kutaka kupata ushauri kutoka kwenu.. Moja kwa moja kwenye mada. Asilimia kubwa humu najua wamepitia kipindi kigumu cha maisha ya kupanga na mpaka leo kuna wenzangu bado wamepanga kama mimi. Kuna changamoto ambazo tunakutana nazo...
  11. Shida na raha

    Kuanzia leo naacha kutumia fb rasmi mpaka nitakapotua nchini kwangu..

    Habari za majukumu wakuu... Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu.. Nimeamua kuacha kuitumia fb kwa sababu zifutazo... [emoji117]Inanishawishi kupiga punyeto Nasema hivi kwakua nadate na wasichana wengi bila mafanikio kwasababu ya umbali. Na pia sura zao naziona halisi, sasa...
  12. Shida na raha

    Wadada wa mjini haya mambo yenu..

    Kila siku mnalia lia hamuolewi,.. hampati wa kuwatuliza,.. hampendwi na wenza wenu.. Sasa mnafikiri kwa tabia kamaa hii nani atakuja kuchukua uchafu? Walio wachache wataelewa namaanisha nini..
  13. Shida na raha

    Naomba ajitojekeze mdada mmoja hapa aje pm tupige stori.

    Kichwa cha habari chajieleza, em japo mmoja aje tupige japo story tu maana pm yangu imekuwa na mavumbi hatari... Nikipata yule ambae anajua kutengeneza mazingira ya kunidanganya nikampa vijisenti ukitoka mshahara itapendeza zaidi. Sana sana nahitaji wale wa Dar maana ndo wajanja zaidi ambao...
  14. Shida na raha

    Usibadili tabia yako kisa marafiki feki

    Natumai marafiki zangu nyote mko salama na pia hatuna budi kumshukuru Muumba wetu ambae ndo muweza wa yote. Katika kipindi chote cha maisha tunayoishi tunakutana na mitihani ambayo wengi wao wameshindwa kufaulu hususan kwenye kipindi cha mpito (teenage) kwa lugha ya kueleweka kipindi cha ujana...
  15. Shida na raha

    Ndugu zangu wa mikoani mmeanza kuniangusha

    Nilikua nawasifia sana lakini kwa style hii mtaendelea kulizwa sana na watoto wa Daresalam..
  16. Shida na raha

    Ukipata mdada ukamtongoza na kukuzungusha sana fanya yafutayo.

    Habari za majukumu wapendwa. Ukimpata mdada akakuzungusha na mbunye yake na huku ameshakula sana vihela vyako bila mafanikio unayotaka usiumize kichwa kuwa na subira na pia jiandae kujipanga siku ukimtia mikononi mambo yafuatayo: [emoji117] Hakikisha kama una nguvu unamgonga mpaka alie poo...
  17. Shida na raha

    Je, mnajua kwamba asilimia kubwa wa Tanzania tunakataa watoto wetu bila kujijua?

    Habari za majukumu wakubwa na wadogo.. Kuna kitu ambacho wanaume wengi wa ki Tanzania tunakifanya lakini hatukijui kwa sababu ya kutoelewa science vizuri. Ngoja nitoe mfano ambao darasa hili nililipata kwa mzungu mmoja ambapo nilibaki na mshangao kwa kiasi fulani. "Wakati mnapofanya mapenzi...
  18. Shida na raha

    Mwezi wa tisa nahamia rasmi Dar

    Habari za majukumu wakubwa na wadogo.. Kama mada inavojieleza hapo juu. Kama kawaida ukiwa umeolewa na serikali shuruti urushwe rushwe kama kama mpira wa mdako... Kwa mara ya kwanza nilianza kufanyia kazi Kigoma...Dodoma...Kigoma...Zanzibar... Na sasa hivi nakuja Dar rasmi. Nawaomba watu Dar...
  19. Shida na raha

    Natafuta partner wa kike..

    Habari za majukumu wakubwa.. Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu.. Sifa awe anaishi Dar au Zanzibar,.. Urafiki wetu utakuwa wa kufa na kuzikana (sizungumzii mapenzi). Kwa alie tayari aje pm.. Nikipata mfanyakazi mwenzangu itapendeza zaidi maana tutakuwa tunabadilishana mawazo jinzi ya...
  20. Shida na raha

    Niulize swali lolote kuhusiana na tukio la jana huko DR Congo

    Mada inajitosheleza swali likiwa gumu na mimi nitalitupa kwa wanaohusika zaidi ili tupate kujua kilichojiri. Karibuni...
Back
Top Bottom