Search results

  1. C

    Bangi nouma

    SIKU MOJA RAIS WA YEMEN ALIAMUA KUFANYA ZIARA YAKE BINAFSI KWENYE JANGWA, KATIKA PITA PITA ZAKE HUKO JANGWANI AKAMUONA JAMAA MOJA AKIWA ANAVUTA GANJA AKAANZA KUMOJI MASWALI= RAIS= HIVI HUOGOPI KUKAA MWENYEWE HAPA? MVUTA BANGI= SIOGOPI NDIO MI NAPENDA KUKAA MWENYEWE NK. RAISI= NA HIYO NI NINI...
  2. C

    TV Iman imebadili frequence

    Frequency describes the number of waves that pass a fixed place in a given amount of time. So if the time it takes for a wave to pass is is 1/2 second, the frequency is 2 per second. If it takes 1/100 of an hour, the frequency is 100 per hour.
  3. C

    Ps vita memory card

    kaka nimejaribu sandisk m2 haikubali japo infit vizuri. hata sony nayo ni hivyo hivyo. nimeabiwa lazima iwe ni ya sony ps vita og inauzwa tofauti
  4. C

    Ps vita memory card

    Hali zenu wandugu. Nombeni msaad wa kupata memory card ya sony playstation vita (ps vita) maana arusha nimetafuta kila kona sijapata,kama kuna mtu anaefahamu anisadie iwe mkoani.
  5. C

    Tofauti ya modem za zamani na sasa za airtel?

    Hata za airtel zinachakachulika ila hapo kwenye 7.2mbps ina saidia nini kama prov wako anakupa 512kbps.
  6. C

    Bongo movies bwana, du!

    Halafu 2seme ndio zinafundisha jamii.
  7. C

    UC Browser version 8

    Uki jaribu kuinstall, install kwenye mmc ndio powa
  8. C

    Je naweza kubadilisha operating system ya simu?

    Ndio inawezekana. Tafuta nokia n900 unaweza change os ya android
  9. C

    Airtel slow

    Hali zenu wandugu. Mimi nina tatizo. Tatizo langu ni kuhusu airtel internet kila nijaribu kuunganisha bundle 400b wakati nikitumia kwenye pc speed inakuwa ndogo sana hata kama ikiwa kwenye wcdma au 3g? Naombdni msaada wandugu
  10. C

    Mission Imposible ghost protocal

    Kuna ghost rider 2 imdtoka wiki hee.
  11. C

    Kujizima kwa Nokia 5800 xpress music

    Kaflash 2 hyo ndio dawa yake
  12. C

    Free internet chap chap

    Nenda tigo wambie shida yako watakupa hyo line.
  13. C

    Msaada youtube mobile streaming?

    2mia Tubidy Free 3GP Mobile Videos
  14. C

    Unlock huawei e153,153u-2,153u-3

    Here is solution for unlock ZTE AC2766 1.use cdma workshop and connect modem go to security tab put spc (000000) send spc you see spc is correct phone unlocked next go to others tab select ruim if avail and write you got 3 thing sucess 2.use this unlocker select com then write software ask for...
  15. C

    Unlock huawei e153,153u-2,153u-3

    habari zenu wandugu anaehitaji ku unlock huawei ambazo zimeshindikana atumie hii software
  16. C

    HOW TO UNLOCK MODEM E153u-2(AIRTEL)

    Tatizo co link au maelezo, kinachohitajika ni kuwa na modem kwa sababu dc unlocker inafungua online
  17. C

    HOW TO UNLOCK MODEM E153u-2(AIRTEL)

    Hzo hazijashindikana kama uko arusha njoo mskiti mkuu wa ijumaa kuna internet cafe imeandikwa Friends & Company.
  18. C

    Iphone4

    Hali zenu wandugu. Tatizo langu ni kuhusu iphone4 yangu, nilijaribu kupgrade OS mpya bila kufanya backup kwenye pc, kwa hyo imfuta vitu vyangu muhimu kama number, sms, picha, email nk. Je kunauwezekano wakurudisha hvyo vitu vilivyo futika? Msaada wenu tafadhali!!
  19. C

    Taa za barabarani

    kuna jamaa moja aliniambia kuwa ukichukua tochi ukwamwilika kwenye box ambalo liko hapo ile taa inazima
  20. C

    Huawei Mobile Broadband EC122 (Uchakachuaji)

    inawezekana, kama uko arusha
Back
Top Bottom