Dear friends, please share these links for scholarship opportunities (Current university students, Bachelors, Masters and PhD) in Europe and North America. All these scholarships are 100% funding (tuition and fees). Forward to others through WhatsApp groups, share on Facebook, E-mails etc.
Don’t...
Dear friends, please share these links for scholarship opportunities (Current university students, Bachelors, Masters and PhD) in Europe and North America. All these scholarships are 100% funding (tuition and fees). Forward to others through WhatsApp groups, share on Facebook, E-mails etc...
In Loving Memory of Fr. Andrew Lupondya
My dear friend, schoolmate, Fr. Lupondya,
You have gone today on Christmas Eve. I think you have gone early to celebrate with Angels and Jesus in Heaven in this Christmas. For us as friends, and all people you have been teaching and giving the Word of...
Kuna ujumbe umekuwa unatembea kila kona kuhusu tangazo la utafiti wa TWAWEZA. Miongoni mwa wageni walioorodheshwa ni Dr. Alexander Makulilo wa Political Science UDSM
Nimewasiliana naye muda si mrefu. Hahusiki na utafiti huo. Na tafiti za namna hizi ameshazitolewa articles mbali mbali...
Donald Trump ni bilionea wa dola (trillionea wa hela za madafu) anachangiwa fedha za kampeni hapa Marekani. Hakuna mgombea wa uchaguzi USA ambaye hachangiwi
CCM inachukua hela za walipa kodi kupitia EPA, ESCROW, DEEP GREEN, BUZWAGI nk kufanyia kampeni ndio maana haichangishi. Na pia wanaogopa...
Kweaheri bao la mkono...maana kusubiria tume ya taifa ya uchaguzi makao makuu kutangaza mgombea hapo ndio huwa wanaiba kura kwa kuweka namba tofauti...sasa hapa ndio mwisho
Mbona Askofu Gwajima alisema yeye aliingia kwenye kamati kuu kama nani. Alisema aliingia kwenye kwenye kamati kuu kama mediator, yaani msuluhishi ambaye tangu awali alikuwepo kuhakikisha mambo yanakwenda kama yalivyopangwa
UDA yavua nguo wabunge wa CCM
Mbunge wa Temeke (CCM), Abbas Mtemvu ( aliyesimama kushoto), akimnyoshea kidole Mbunge wa Urambo Magharibi (CCM), Profesa Juma Kapuya (kulia), kwenye mjadala mkali wa bajeti ya Wizara ya Fedha kwa mwaka 2014/2015 , bungeni mjini Dodoma jana. Wengine pichani ni...
Unaposema alimia zaidi ya 80% ipo vijijini ukimaanisha kuwa wao ndio "wajinga" hawajui kinachoendelea umepotoka sana. Hivi kati ya Dar es Salaam na Shinyanga wapi ni mjini na wapi ni kijijini? Kuna wabunge wangapi wa upinzani kutoka Dar es Salaam, na kuna wabunge wangapi wa upinzani kutoka...
Usiwe mgumu wa kuamini kinachoendelea. Tumia mfano mdogo huu, halafu uangalie kauli yako kuwa "upinzani bado sana kuing'oa CCM".
Mwaka 2005, Kikwete alishinda kwa kupata kura 9,123,952 sawa na 80.28%, aliyefuata ni Lipumba (CUF) kwa kura 1,327,125 (11.68%), na watatu ni Mbowe (CHADEMA) kwa kura...
Kinachoendelea sasahivi Tanzania na siasa: Imevuka ile hali ya CCM vs CHADEMA, CCM vs CUF, CCM vs NCCR etc. Sasahivi imebadilika na kuwa MOVEMENT. Wananchi wengi wana wanataka CCM iondoke madarakani. Na kwa mara kwanza katika siasa za Tanzania, uchguzi huu, CCM yenyewe imeona hilo kuwa inaenda...
Nimefungua kampuni EBM WHOLESALE, LLC ambayo inauza Clothing and Accessories MADE IN USA nchini Tanzania. Unaweza kupitia tovuti yetu www.ebmwholesale.com na Follow us on www.instagram.com/ebmwholesale_llc , na www.twitter.com/ebmwholesale , Like us on www.facebook.com/ebmwholesale
Unaweza...
County sio Country. County ni kama wilaya kwa kiswahili. Hakuna nchi ya Gwinnett ktk jimbo la Georgia (GA). Ni kama ilivyo kwa Orange County au other counties
Si kwamba Zito anataka uenyekiti wa Mbowe. Mbowe ameshamaliza awamu zake mbili za uongozi kwa mujibu wa katiba hivyo atoke madarakani. Zito Kama mwanachama yoyote ana haki kikatiba kugombea.
Hivi Kikwete akitaka kuendelea kuwa rais kwa kubadili katiba kipengele cha ukomo wa awamu mbili, je...
WHEN LOOKING AT YOU, BENEDIKT
HAPPY 2ND BIRTHDAY
My dearest son, Benedikt Fulbright Makulilo,
Guess what Benedikt? It is another February 10th. On every change of calendar year, such day is very significant and special to you. It was on February 10th 2011 at 5:42pm Pacific Time when you...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.