Search results

  1. Bloodmen

    TULIOWAHI KULALA LOCKUP/SELO TUKUTANE HAPA

    Niliwekwa ndani kwa kesi ya kusingiziwa.
  2. Bloodmen

    John Guninita arudi CCM akiihama CHADEMA, amwomba radhi Rais Magufuli

    Hivi hawa wanaorudi ccm pamoja na kuona utendaji mzuri wa mzee wanashindwa kubaki chama chao ili waendelee na mikakati yao,hawajui kuwa inawezekana kuwepo chama kingine tofauti na ccm ndio msukumo wa kufanya vizuri huyo mzee? ningewaomba ambao bado hawajahama walitambua hilo, tena kwa akili ya...
  3. Bloodmen

    Askofu Kakobe aweka wazi hujuma anazofanyiwa na TRA baada ya kumkuta hana kosa la kukwepa kodi

    Kwanini ulitamka kuwa wewe ni tajiri kuliko serikali ya Tanzania?
  4. Bloodmen

    John Magufuli Amezaliwa Tarehe 29 Mwezi wa 10 na ataapishwa Tarehe 29 Mwezi wa 10

    Alie towa taarifa za kwanza za kuzaliwa kwa raisi magufuli ali edit taarifa ya pili ya kuzaliwa kwa rais magufuli,au aliyetowa taarifa ya pili ya kuzaliwa rais magufuli ali edit taarfa ya kwanza.
  5. Bloodmen

    Nape na Zitto! Makinikeni, msonobari hauchorongwi

    Nimekuelewa kaka.
  6. Bloodmen

    Takwimu za umasikini: Katika kila watu 100, Dar 5 masikini, Kigoma 48, Geita 43 masikini!

    Mh!! sijaelewa Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Bloodmen

    Tetesi: Godlisten Malisa avamiwa na watu wasiojulikana

    Mh!!,yale yale. kiroma roma.
  8. Bloodmen

    Jeshi la Magereza katika gereza la mahabusu Keko, limefanikwa kukamata simu 5 za kisasa (smartphone)

    Siyo hilo tu kuna mambo yanayotakiwa aeleze vizuri huyo jamaa kuna kitu hapo.
  9. Bloodmen

    Nampenda sana Mahondaw

    Huyo siyo yeye unaye mzani.
  10. Bloodmen

    Nape Nnauye: Unawezaje kumtaarifu Muuza Dawa za Kulevya kuwa unataka kumkamata?

    Ujue una mtaarifu azifiche mbali zaidi.
  11. Bloodmen

    Ushauri kwa Mange Kimambi

    Kuwa makini mtoa post, unafikili utaishi nchi anaishi mange kimambi kwa ujanja ujanja? unafikili kule wanaishi kama unavyofikilia, tofautisha mambele na bongo.
  12. Bloodmen

    Machinga waondoshwa kwa nguvu Mwanza mjini eneo la Makoroboi

    Jamani wananchi mbona wanasumbuliwa, mheshimiwa rais anasema wasiondolewe. anapatikana mheshimiwa mwingine anaamuru waondolewe. Tutafika kweli?
  13. Bloodmen

    Ushauri kuhusu kupewa likizo bila ya malipo

    Omba uhamisho, uhamie hiyo sehemu unayotaka kwenda kufanya kilimo.
Back
Top Bottom