Search results

  1. Donyongijape

    Tafsiri ya ugaidi Tanzania; Serikali ijifunze

    Bro, Umeandika... kudos
  2. Donyongijape

    Rasmi: Kibu Dennis ni Mtanzania

    Taarifa zote hazisemi huyo Kibu alikuwa Raia wa Nchi gani?
  3. Donyongijape

    Siku ya Demokrasia Duniani (2021): Rais Samia azungumza na Wanawake wa Tanzania, jijini Dar es Salaam

    Duh, Rais mzururaji, mara Dar Mara Dodoma... week in week out. Perdiem tu hapo zinapigwa
  4. Donyongijape

    Zitto Kabwe, James Mbatia Wahudhuria kesi ya Uhujumu Uchumi yenye Mashtaka ya ugaidi ndani yake inayomkabili Mbowe

    Mahakama ya Mafisadi papa inashughulikia Ufisadi/Ugaidi wa LAKI SITA, 600,000/=. Magufuli akifufuka atawachapa makofi mbwa hawa
  5. Donyongijape

    #COVID19 Sijui kama mtazamo wangu uko sawa, ila nawaona wote wanaopinga chanjo kama wana shortage kichwani!

    Na wewe unayekubali tunakuona una shortage vile vile. Tusipangiane
  6. Donyongijape

    Je, Rais Magufuli alikuwa na Pacemaker au Defibrillator? Ilidukuliwa?

    Hakuna Bwana Hayati, Kuna Hayati, Marehemu au Mwendazake. JPM enzi zimekwisha
  7. Donyongijape

    William Erio: Mwisho wa Enzi kwa Boss wa NSSF au Mwanzo Mpya?

    Lini aliwahi kutupwa? Ila hapo alipokwenda ni kama wale mapolisi wanaopelekwa makao makuu kusoma magazeti 🤣
  8. Donyongijape

    Mzee Kikwete avaa fulana isemayo "Kasi isambazayo tabasamu"

    Hio Sio Tshirt ya Yanga, ni Tshirt maalum ya Mbio ya CRDB Marathon 2020.
  9. Donyongijape

    A living legend: Bado namuomboleza Hayati Magufuli, Shujaa wa Afrika

    Tusilazimishane kwamba eti kafanya mazuri tu oooh blabla, kila mmoja ana haki ya kuona katika angle yake, na sio dhambi ndo diversity ya ubinadamu. Marehemu atabaki kwa historia kama rais aliyebinya demokrasia zaidi, rais alieiba kura kupindukia, rais aliyefunga kila aliyemkosoa, rais...
  10. Donyongijape

    Je, Rais Samia anayo haki na misingi ya kuongoza Tanzania Bara (Tanganyika) kwa mambo yasiyo ya Muungano?

    Mzee nilikuwa sijakuelewa kutokana heading ila nimesoma mara mbili mbili nimekuelewa. Kudos
  11. Donyongijape

    Rais Samia ahudhuria Kikao cha Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi kilichoketi leo Dodoma

    Mimi mwananchi napaswa kujua ratiba ya rais wangu, leo atakuwa wapi kesho wapi n.k! Ni haki yangu ya msingi ya kupata taarifa.
  12. Donyongijape

    Rais Samia ahudhuria Kikao cha Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi kilichoketi leo Dodoma

    Marais wengi ikiwemo Rais wa Marekani ratiba zao za week nzima zipo on. Nenda katafute WhiteHouse utaona ratiba ya rais. Sasa huyu wa Tanzania eti haitoki kwa sababu za usalama, usalama gani? Huo ni Ushamba wa Usalama.
  13. Donyongijape

    Rais Samia ahudhuria Kikao cha Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi kilichoketi leo Dodoma

    Hivi hatuwezi kupata ratiba ya raisi kwa ujumla wake, mfano weekly!
Back
Top Bottom