Tanzania ni nchi inayozingatia sheria na uhuru wa mtu binafsi bila kutizama jinsia,rangi na utaifa au ukabila na kuzingatia hayo ni vema kwa Tanzania kujari na kutoa fulsa ya wananchi wake kutoa mawazo yao bila kizuizi chochote kutoka katika ngazi yoyote iwe ya chama au serikari hivyo basi...
nadhani wakati umefika watu kufunguka macho nakuanza kutumia akili katika suala zima la kuajiri housegirl(beki tatu)kuwa waangalifu sana lasivyo yanaweza kukututa makubwa zaidi ya huyu baba na familia yake........
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.